Pre GE2025 Jinsi Freeman Mbowe anavyoenda kumfuta Lissu kwenye siasa za Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo mihemko,kanywe maji mengiiiiiiiii.
Afu urudi kwenye content za siasa za Nchi hii.
Siasa za sasa,hazihitaji mwenye roho za kitume tume.

Maana tushatoka huko.
Ungezungumzia uharamia wa Ccm katika siasa za Nchi yetu ungeeleweka.Tofauti na hapo,wewe ni chawa wa CCM TU.
 
Nafikiri tuache uoga kwa kuwa mnaamini Lissu ndio hitaji la wanachadema kwa sasa basi twende kwenye kisanduku cha kula alafu tutajua mwanaume ni nani.
Viashiria vinaonesha kuwa upande wa pili wameshaandaa mazingira ya kujinyakulia ushindi.....maneno makali ya wapambe wa Mbowe inaonyesha wazi kuwa wengi hawako tayari kuyapokea mambo tofauti
 
Siasa ni ajenda na upepo. Mbowe atakuja na siasa mpya ndio maana hata sura za chama zimeanza kuwa mpya. So don't worry about it .

Au unafikiri Lissu anaweza kuindoa CCM madarakani kwa siasa zake za Daruso?
Lissu hawezi kabisa kuthubutu kuiondoa CCM.
Nakumbuka kipindi cha Hard Talk cha BBC "kitimoto"na mwandishi mahili Stephen, akiulizwa maswali mepesi anaanza ngonjela zisizo na kichwa wala mguu hadi Stephen akawa mara kwa mara anamkumbusha aje na facts sio porojo.
Mwisho wa mahojiano ilikuwa aibu tupu hata kingereza chenyewe kilikuwa cha kuunga unga sijui kama amewahi kushinda kesi ngapi kama wakili nje ya Tanzania?
 
... kama Mbowe asingechukua form ya kugombea uenyekiti drama za team Lissu mitandaoni na uswahilini zingetoka wapi!? ... angepita bila ushindani!
🀣
 
... hivi ni mimi ndo sipati hizi Habari? ... ni lini uongozi wa CCM umetoa tamko lolote kuhusu uenyekiti wa CHADEMA? ... kuna majeshi yeyote yametumwa na CCM kushughulikia watia nia wa nafasi hiyo CHADEMA?
Ninachoona mimi ni 'trolls' wa mitandaoni kina Mwashambwa & co, tena wakiwa na misimamo iliyogawanyika, ndo wanaotoa maoni yao JF na kwingine mitandaoni!
MWENYE USHAHIDI WA SHINIKIZO LA CCM TAFADHALI TULETEE!
πŸ˜±πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Lisa kikinuka anapanda ndege anatukimbia hana ujasiri wowote ni joga la kutupwa.
Kupambana na JPM mpaa kumepelekesha vile kwenye kampeni unadhani mtu muoga angeweza? Kama ni kukimbia hata Mbowe alikimbilia Dubai mpaka JPM alivyofariki.
 
Mbowe anataka siasa zinazoendana na nature ya watanzania.
Hizo siasa za kistaarabu ndio zimefeli sasa, Mbona Dr Slaa alitumia radical opposition na ikafanya kazi au umesahau yale maandamano ya Arusha? Unadhani Mbowe anaweza imitate hilo?
 
Hata hapa tunaposema mambo yanayowahusu CHADEMA yanayowazungumzia CHADEMA hatuyasemi hayo kwa kuwa chadema wametoa tamko la moja kwa moja......Bali wanachama na wapenzi..... kwenye ulimwengu wa siasa maneno ya wanachama WA chama fulani yanayoleta au kusema jambo fulani pasi na tamko rasmi la chama linaweza kuhesabika kama linaungwa mkono na chama husika
 
Hivi mbowe akipita kutakuwa uthubutu wa kuwaambia ccm wanang'ang'ania madaraka? Kwa hali hiyo ngoja tuendelee na ccm tu mapoyoyo bado wako wengi

Hivi unategemea siku moja CCM ikwambie haya njoo uchukuwe madaraka!!!!
Njia pekee ni sanduku la kura, hivyo TAL asiogope sanduku la kura, ashindane na mtu size yake akishinda ni kiongozi wetu akishindwa ni mwanachama mwenzetu na maisha yanaendelea
Ondao dhana ya kupata ushindi mezani mkuu.
Na yeyote mwenye ubavu akachukuwe fomu muda bado upo tuache ngonjera za mitandaoni.
 
Chadema ndio chama kikuu cha upinzani chini ya Mbowe iweje uchaguzi huu ndio kisiwe chama cha upinzani?

Mbowe anaenda kumfuta kabisa Lissu kwenye siasa za Tanzania sababu Lissu ni baba aambiliki.
Naona unaota ndoto ya mchana!!

Mbowe hata atoe rushwa hatashinda!!!
Zaidi SHOST zake CCM dola waingilie kati na kupindua Matokeo!!!
 
Tundu Lissu yuko kwenye mioyo ya watanzania wengi hata wasio wanachama wa chadema wala chama Kingine chochote cha kisiasa nchini.

Hakuna wa kumuweza Tundu Lisu kwa namna yoyote ile.
Jamaa anaishi kwa makusudi Kamilki ya Muumbaji.
Mpeni nafasi atumikie watanzania atupekeke mahala hatujawahi kufikishwa na watangulizi.
 
We yerico nyerere unatapatapa sana
 
Sidhani kama ni rahisi, amini na kwambia ikiwa mwanasiasa yeyote yule hata Lisu let say akahamia chama chochote kile akalitumia vyema jina la JPM atasumbua sana.
 
Haahaa mbowe ni sawa na chatu aliyekaa watoto wengi akaanza kuwameza mwenyewe, atabaki peke yake mwishoni
 
Hatimaye Mbowe amejifuta mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…