Usiwe mpole ,kuwa mtalibani aka mkacobodia ndio venye wanapenda.Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.
Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.
Kama kila unaetongoza anakataa, Tafuta malaya tuCall ndio nini?
Vua upole zama kitaa kula mitaa kata mitaa usiruhusu demu yeyote akatize mbele yako bila kumsemesha na kuchukua mawasiliano, hapo huwezi kosa.Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu.
Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.
Eeh Mungu wangu nisaidia.
Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine , kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.
Kwa mwendo huu kweli nitaoa.
Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.
Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.