Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

MaT2B

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2019
Posts
658
Reaction score
2,081
Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.

Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.

Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.

Kwa mwendo huu kweli nitaoa?

Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.

Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.
 
Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu.
Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.

Eeh Mungu wangu nisaidia.
Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine , kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.

Kwa mwendo huu kweli nitaoa.

Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.

Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.
Vua upole zama kitaa kula mitaa kata mitaa usiruhusu demu yeyote akatize mbele yako bila kumsemesha na kuchukua mawasiliano, hapo huwezi kosa.


Ama vipi ukiona domo zito saaaaana nenda makanisani kuna pisi nyingi zishajichokea na marungu ya wazandik zinatafta anaepumua tu zitulie nae ndani
 
Back
Top Bottom