MaT2B
JF-Expert Member
- Jul 12, 2019
- 658
- 2,081
Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.
Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.
Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.
Kwa mwendo huu kweli nitaoa?
Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.
Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.