Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

hayo mahusiano uliyobahatisha ulibahatisha vipi?
 
hayo mahusiano uliyobahatisha ulibahatisha

hayo mahusiano uliyobahatisha ulibahatisha vipi?
Mengi yalikuwa lengo ni kuondoa upwiru.
Walikuwa ni wanawake ambao siwezi kuwaoa.( wengi single mothers)

Except
1. Ilikuwa chuo, alikuwa awe demu wa jamaa angu, within that process jamaa akpata majanga akasepa chuo.
Mimi nikatake ova. Baadae tuliachana.



2. Jesca(RIP), nilikutana nae kitaa nikamtongoza akakubali, sikumpenda kivile. So nilikuwa napita tuu.
Mwaka jana mwezi wa pili tukaachana.
 
Ukitaka kuwa na watu wakuzunguke hasa wanawake kuwa mtoaji be a giver

Binadamu sisi kiasili ni wabinafsi that is way tumekuambia usitafute mwanamke Ila kaa mkao wa wewe kutafutwa penda kuwa mtoaji

Na sio lazima utoe pesa toa hata ushauri .

If you have nothing to offer you will end up chasing vacuum
 
Niwe mtoaji kwa nani kwa wanawake au watu wote kwa ujumla?
 
ni wanawake wangapi wamekukataa mpaka ukajiona una shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ