Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Kibarua ninacho otherwise ningekuja kuomba kazi.
Kutoa upwiru hiyo ni kazi ndogo sana, ni pesa yako.
Tusijadili hili
Kwaiyo shida yako ni kutongoza au sio, basi cheki na wazee wakutafutie mke then tuma mshenga amalize mchezo.
 
Hizi sehemu zote zilishavunjwa hazipo labda kwenye Ma Saloon yaliyopo karibu na Manight Club makubwa kama Conner Bar, Ambiance, Meeda (Sinza-Kitambaa Cheupe)
Sawa sawa legend.. maana sikua na update sijapita mitaa ile kitambo sana
 
Acha kulazimisha visivyowezekana kwa sasa muda ukifika wako atakuja na utapata tu mbinu zakumuingia, mapenzi si kama somo la hisabati kwamba kanuni ni zile zile zakupata jibu wako mtaendana karibia kila aina ya vitu bila complain.
 
Mkuu nimekuambia pesa ukianza kuwa nayo tu watajua na utawaona, huwa wana machale sana.
“watoto ni wengi siku hizi hatupigi pulii”
uko vizuri mkuu, una experience ya kutosha kwa hawa warembo
kuna kitu nimepata hapo, “ukishapata pesa utawaona tu wana machale sana”
 
Kwenye kunusa nimewakubali, huwa hawakosei
Hata uvae rough, ujifanye unapanda bodaboda bado watajua juu
 
All in all the problems start with you bro, iko hivi kuna kipindi niliwahi pitia ugumu kama wako ikabidi nikapitie kozi ya attraction na intimacy aiseee

Anyway, mkuu kwanza jipende mwenyewe yaan uwe smart,
Afu soma vitabu vya mambo ya kuimprove your confidence na piah usisahau kuwa mtu anayefikikaa

Jaribu kuwa attractive kwa ke kwa kujipenda mwenyew kwanza then mengn yatafat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…