Hapa shida ni kazi yako inakufanya kua busy sana.
Yes sio wewe tu hata wanawake hukumbana na hii hali,
Kuna baadhi ya kazi hukutanisha na watu wachache mno,na inakua ngumu kutengenexa "soft relationship",ambayo inaweza pelekea mahusiano ya uchumba
Mfano mtu anayefanya kazi hospitali ambapo huja watu wa namna mbali mbali ana chance kubwa ya kutengeneza urafiki na watu kuliko bank teller
Ufanye nini katika hili?
Mi nashauri weka Nia ya kutaka kuoa,kwa kua umri wako ni karibu 30,pia tayari unakazi
Utapataje mchumba?
The "funny fact" kuhusu mchumba wa kuoa,mwenye maadili,bikira,huyu huwezi kukutana naye kirahisi,maana hawa wengi hawazululi na kutembea ovyo ovyo wakiomba hela wanaume,
Hapa lazima uwashirikishe watu wenye busara kwenye circle yako
Sikushauri ulazimishe mahusiano na wanawake wenye njaa,wanaodhani mwanaume ni chanzo cha mapato,"transactional sexual worker"watakudrain,spiritual,physical, economical......utapoteza malengo na focus yako kubwa sana kuhusu malengo Yako ya baadae na pesa kiujumla