Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Jinsi gani naweza kupata mchumba wa kuoa?

Njia rahisi kwa watu kama wenye haya au walio busy ni kutongoza mtandaoni.
Ingia Facebook, kuna videmu kibao huko havina maringo.
Tumia wao messages, wakipotezea tuma tena.
Kuwa mbunifu.
Wiki mbili tu utakuwa na dates za kutosha.
 
Usitafute mke mke atakuja mwenywe just live yourlife tu pia mshirikishe mwenyezi mungu upate mtu sahihi siku ukitaka ufunge ndoa ila hakikisha uwe una mademu wengi wengi hata mia halafu uchague mmoja sahihi ukideal na mmoja tu ndio shida sababu hata wanawake ambao hawajaolewa wanadili na wanaume mia pia ,HOPE UMENIELEWA MWAMBA
 
Wanawake wa Dar wako fasta wameweka earpods au earphone masikioni + wamekunja sura kama wanadaiwa kodi.
SIo rahisi kukupa nafasi ya kuwatongoza.
Kaka kwahyo wewe ukimsimamisha tu mwanamke unamtongoza hapo kwa hapo kama ajali?

Chukua namba, vunga nayo hata siku 1 au mbili alafu mtafute jitambulishe jenga ukaribu/urafiki kwa muda baada ya hapo mwaga sera, hakikisha unamvutia kwa sera zako muaminishe kwako yeye anafaa kwa namna yeyote ile. Haya ni kwa mwanamke wa malengo zaidi, sijui nielezeje ila sio kila ke anastahili kupata hiyo nafasi, binafsi huwa nna aina fulani ya wanawake nnaopenda kujihusisha nao, wapole na wasio waropokaji(wastaarabu) shida ipo kwenye kuwajua, ke mpole namjua hata kwa anavyotembea.

Tulia usiwe na haraka kupata mwenza sahihi sio jambo jepesi kama wengi tunavyodhani.
 
Ok hii kanuni nimeielewa.

Shida kazi ninayofanya hainipi furusa ya kukutana na wanawake wengi.

Route yangu ni
Home(0730)- kituoni- mwendokasi- kazini(1700)- kituoni-mwendokasi-home.
Mkuu kuna mahali unazembea, labda kama huko kituoni huwa unashinda kwenye injini ila kama ni dereva, mlinzi, nk. Unazingua.
 
TOka mwaka jana mwenzi wa pili sijawahi kuwa kwenye mahusiano.
Hii ndio shida kwangu.
Wewe unashangaa huna mahusiano tangu mwaka jana, mimi tangu mwaka 2014 mpaka leo, sijawahi kuwa kwenye mahusiano, miaka 10 sasa imepita, am 30 years now, kila nikitongoza nakataliwa, naishia kununua malaya wanajiuza kukidhi haja zangu za kimwili.

Kimuonekano mm wa kawaida, mrefu 6'3, sura, masikio na wembamba, hata nikicheka nafanana kama Obama kwa mbali MaT2B Depal
 
Kila la heri, usisahau kupita hapa 👇
 
Hadi leo nakaribia floor namba tatu, sina mchumba, mpenzi, wala demu.

Kutongoza imekuwa kazi ngumu sana kwangu. Ninaobahatisha kutongoza wananikataa.

Eeh Mungu wangu nisaidia. Natamani nipate mchumba nioe niendelee na maisha mengine, kuishi hivi pekee yangu upweke mwingi, geto ninapoishi hakuna hata demu wa kuja kunitembelea. Mara moja moja.

Kwa mwendo huu kweli nitaoa?

Kitabia mimi ni
Mpole,
Mkimya kiasi,
Agreeable person.

Watu wenye hekima JF naombeni ushauri wenu.
Kula dada au shangazi zako, nuksi itaondoka.Lakini usiwabake, wanyegeshe wakupe wenyewe.
 
Back
Top Bottom