Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Mkuu push up 60 ndo zimekufanya uachike...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Aseee

Kwan we uko mkoa gani mkuu?
 
Mkuu push up 60 ndo zimekufanya uachike...
Hamna yaan nilikuwa kila nikiamka asubui nafanya jogging na nikrudi kutoka kazin nafanya ivo ivo tena lkn tokea nimeachwa na ivyo nahisi vimeniacha, 6 packs nazo zimesambaratika yaani mapenzi acha tu[emoji21]
 
Ahsante mkuu Heaven Sent kindly assist as per above👆
 
Ni kweli kabisa mkuu but siwezi kurudi tena huko sahivi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wengine toka mwaka jana mwezi wa pili tumeachwa na wala hatuwazi ingawa mwanzo ilikua shida kwa sababu aliacha kupatikana ghafla tu, katiwa na mimba juu si ni life tu

Rejection sometimes is redirection in disguise
 
Mtoto mzur naamini sahv ushamsahau Huyo boya c ndio [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Ndiyo huwezi amini ni sauti yake pia inayonifanya nimkumbuke zaidi! Sauti ya kokoto wangu mwee, mnyakyusa wa watu miye nakufa[emoji25]
Kwa hiyo Kalumbu financial services umeshindwa kabisa kumove on ndani ya mwaka mmoja kisa sauti kokoto?[emoji848]

Kuteseka kwako ndio kunamfanya aendelee kukutesa. Siku ukiamua kula jiwe ukakubaliana na hali in hard way basi mambo yote yataenda sawa.

Wewe jambo kitu kitakachokusaidia ku move on ni ku delete kila kilicho chake ikiwemo ndugu na marafiki zake. Usione chochote kinachomhusu. Ila usikurupuke kuvamia watu utaumia tukashindwa kwenda Urumi kujumua ulezi [emoji28][emoji28][emoji28]


Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…