Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Yawezekana kiswahili ni kigumu ila jaribu kutokutumia lugha ya kebehi na kubeza
Huwezi jua mtu anapitia Nini,
Heshima ni kitu cha bure .
Yes I understand Ila ukijibu pumba na wewe jiandae kujibiwa mashudu ukiona wapi umejibu vizuri ukajibiwa vibaya? Soma comments vizuri utagundua tatizo ni nini yupo stressed tunamshauri vizuri anafimbisha mashavu
 
Yes I understand Ila ukijibu pumba na wewe jiandae kujibiwa mashudu ukiona wapi umejibu vizuri ukajibiwa vibaya? Soma comments vizuri utagundua tatizo ni nini yupo stressed tunamshauri vizuri anafimbisha mashavu
Sawa Mkuu,
Tuendelee kuchangia uzi wa nature kukacha show ya wasafi.
 
Unasema ulidhani atarudi...
Kwa nini wewe usimuendee ukamwambia vile unampenda ukamuomba mrudiane?
Muda mwingine mtu anakuwa anaogopa akija kwako kuomba kurudi ukikataa atafedheheka.
Kwa hiyo huenda hata yeye anakuwaza huko.
Yaani uombe mrudiane na haujui nani ndio sababu kuu ya kuvunja mahusiano mkuu
 
Kula chuma hicho

Wewe ni nani wa kuniuliza hilo swali la kipuuzi si Bora ule buyu Mzee utapungukiwa nini who told you I'm jobless huna point au unabwatu tu?

Usinifananishe na mumeo au yule bwanako aliekutema baada ya kukugonga sana

Njaa na Stress dogo tu hizi.
 
Njia nzuri ni kumuombea mema.!
Kumshukru kwa mema aliyowahi kukufanyia.
Kumshukuru kwa vile amekuwa mwl mwema kwako.

Toa shukrani za mema mengi sana
Mfano. Zawadi zake, kujali hisia zako, n.k
hii itaondoa chuki dhidi yake.
Nafsi yako itajenga hali ya amani na kumuwazia mazuri. Mwisho utapata mwingine.
 
Somo zuri Sana financial services umekuwa daraja na darasa kwangu na hata Wengi watakao endelea kupitia uzi huu sharing is caring ....much credits piah KWA wote walotoa na watakaoendelea kutoa madini, haya maswala ya mapenzi yapo,yamekwepo na yatakuwepo ....
 
Back
Top Bottom