Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Jinsi gani uliweza kuendelea baada ya kuachana na mpenzi uliyekuwa unampenda sana?

Pole sana kwa changamoto hiyo. Kibinadamu ni ngumu lakn iwapo unataka kumsahahu basi jitahidi kukumbuka mabaya aliyokufanyia na kama mliachana kwa amani basi kila mara fikiria kabla ya kuwa nae maisha yako yalikuwaje japokuwa ni ngumu.
 
Ahsante mkuu, nimejitahidi kusahau , naendelea vizuri sasa
 
Futa picha zake, usiperuz status wala account zake za social networks, maana itakuumiza the most,

Kula vizuri, fanya mazoez, pumzisha mwili wako.
Ahsante kweli sijabakiza kumbukumbu zake zozote, nashukuru
 
mkuu acha tu wangu adi ufunguo wa getto nilimwachia niliumia sana ila nilishidwa kumwacha
but nachati nae mana kumwacha nilishindwa
Huo ni udhaifu, Mimi mpenzi wangu alileta pigo hizo za kutishia kuachana mwaka jana, na tulidate for five years, mpaka leo anapigaga simu, na sijawahi kumsamehe. Wanawake walivyo wengi halafu unaanza kuwa mnyonge kwa mwanamke mmoja? Sometimes hakuna hata ulazima wa kuwa na mahusiano, jipe muda hata wa miaka mitatu ukijijenga zaidi. Usipobadilika atakuendesha sana.
 
Never make a person feel like you need them or can't live with without them. Never make a person feel like your life happiness depends on them being in your life.
Njia nzuri ya kumtoa akilini ni kuwa busy, na ukipata hela ama mshahara treat yourself well, nenda sehemu nzuri, nunua vitu unavyopenda, endeleza vipaji ulivyo navyo. Life will be heaven.
financial services
 
Thank you mkuu, nimeamua kujikeep busy na hakika inanisaidia na nimemove on kabisa simuwazii tena, thank you👏
 
Hakuna ki2 kinaxhindikana katika hii dunia ilimrad 2 mungu awe ameridhia jambo hilo lifanyike so kua mvumilivu kwani hayo ni mapito
 
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.

Nifanye nini wakuu?😪😪

Aisee umenikumbusha niliwahi kupata demu mmoja hivi kutoka Tarime alikuwa ananipenda balaa mpaka nikamtambulisha nyumbani kwa wazazi mahusiano yetu yalidumu miezi 9 tu mwezi wa mwisho ndo nikaju kujuwa kuwa alikuwa ni kahaba anayejiuza, hakika hali hii inanitesa mpaka kesho na sijawahi kutamani msichana yeyote japo umri unaenda ila matumaini ya kuoa yamekata kabisa, aibu mitaani kwa namna walivyo kuwa wakituona kama mahusiano ya kuigwa ila sasa kumbe nilikuwa nadate na kahaba anayefanya biashara yake nje ya mkoa tunaoishi,
Hii Dunia imejawa na vitu vingi sana asikwambie mtu
 
Pole sana mkuu, ila amini tu bado kuna wasichana wastaarabu na wenye upendo wa kweli so usikate tamaa, siku utakutana na mpendwa wako na utaenjoy.
 
Pole sana mkuu, ila amini tu bado kuna wasichana wastaarabu na wenye upendo wa kweli so usikate tamaa, siku utakutana na mpendwa wako na utaenjoy.
But nashindwa nianzie wapi ikiwa niliyemuamini na sikuwahi kuchepuka wala kumuonyesha dariri ya tamaa ameuumiza moyo vibaya nguvu ya kutongoza wengine nitaitoa wapi, pia nitaanzia wapi kumtambulisha
 
Habari wakuu.

Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.

Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.

Nifanye nini wakuu?[emoji25][emoji25]

Wewe ni mwanamke uliyekamilika, usiye na dosari na unafaa kwenye mahusiano yenye heshima.

Ungejimwambafai kwamba wewe huna taim na mahusiano ningelikuita mzushi na ningelikudharau sana.

Maana wa hivyo huwa bado hawajapata "size" yao na wakipata huwa wanakwamishwa hasa na kuwa ni slave wa mapenzi, maana hakuna mjanja wala mwamba kwenye mambo hayo.

Labda kuna jambo ambalo napenda ulielewe sasa ni kwamba, duniani hapa mizani ya mapenzi huwa haibalansi, labda hutokea kwa kudra sana.

Hauwezi kuta wapenzi wawili wanaopendana, wakabalansi kwenye mizani ya penzi, lazima mmoja awe juu na mwingine yupo chini.

Ukiona mtu unampenda sanaa, elewa kuwa yeye hakupendi sanaa.

Wakati unamshobokea huyo mtu, kuna mtu mwingine anakusorolea wewe, tena kwa kujiapiza rohoni mwake kuwa siku akikupata wewe, atapumzika na shida za kusaka wapenzi, atakuwa ameshafika.

Mtu huyo hata akikufungukia nia yake hiyo, wewe wala hautashituka, maana utaona hakuvutii na ndivyo ilivyo.

Sasa kwa huyo X wako, hesabu ulishampoteza kwa kufiwa ili umzike kwa sahau ili roho yako ipumzike kwa kubeba huo mzigo.

Angelikuwa anakupenda kama unavyompenda na kuumia kukukosa kama unavyoumia wewe, asingelithubutu kukupoteza kwa kisingizio chochote kile, hakukupenda huyo.

Move on mama, dunia imejaa wahitaji hii, utapata mwenza ambaye mtachukuliana naye na kufarijiana na kutibu majeraha ya vidonda vya mapenzi unavyougulia hadi sasa.

Kikubwa hapo, linda afya yako pamoja na uvumilivu tu, lazima ipo siku nawe utafarijika.
 
Back
Top Bottom