Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usifanye kitu mkuuNifanye nini wakuu?😪😪
Ahsante mkuu, nimejitahidi kusahau , naendelea vizuri sasaPole sana kwa changamoto hiyo. Kibinadamu ni ngumu lakn iwapo unataka kumsahahu basi jitahidi kukumbuka mabaya aliyokufanyia na kama mliachana kwa amani basi kila mara fikiria kabla ya kuwa nae maisha yako yalikuwaje japokuwa ni ngumu.
Ahsante kweli sijabakiza kumbukumbu zake zozote, nashukuruFuta picha zake, usiperuz status wala account zake za social networks, maana itakuumiza the most,
Kula vizuri, fanya mazoez, pumzisha mwili wako.
Thank you dear, niko poa sasa nimekubaliana na matokeo kwamba hayupo basi maisha yanaendeleaBila shaka ushakua poa kiakili mamy! With time kila kitu kinajiset
Amen Inapendeza sana.. na maisha lazima yaendelee!Thank you dear, niko poa sasa nimekubaliana na matokeo kwamba hayupo basi maisha yanaendelea
Huo ni udhaifu, Mimi mpenzi wangu alileta pigo hizo za kutishia kuachana mwaka jana, na tulidate for five years, mpaka leo anapigaga simu, na sijawahi kumsamehe. Wanawake walivyo wengi halafu unaanza kuwa mnyonge kwa mwanamke mmoja? Sometimes hakuna hata ulazima wa kuwa na mahusiano, jipe muda hata wa miaka mitatu ukijijenga zaidi. Usipobadilika atakuendesha sana.mkuu acha tu wangu adi ufunguo wa getto nilimwachia niliumia sana ila nilishidwa kumwacha
but nachati nae mana kumwacha nilishindwa
Ni mbinu gani hiyo mkuu, tusaidie hapa kwa manufaa ya baadaye, si unajua tena haya mambo siku yoyote yanaweza kutokea tena[emoji23][emoji23]
Thank you mkuu, nimeamua kujikeep busy na hakika inanisaidia na nimemove on kabisa simuwazii tena, thank you👏Never make a person feel like you need them or can't live with without them. Never make a person feel like your life happiness depends on them being in your life.
Njia nzuri ya kumtoa akilini ni kuwa busy, na ukipata hela ama mshahara treat yourself well, nenda sehemu nzuri, nunua vitu unavyopenda, endeleza vipaji ulivyo navyo. Life will be heaven.
financial services
Nadhani mimi nafit hiyo experience nnayo ya kuumizwa mara 4😂Natafuta mchumbaa...vigezo awe na experienc ya kuumizwa zaid ya mara mbili...
Aisee umenikumbusha niliwahi kupata demu mmoja hivi kutoka Tarime alikuwa ananipenda balaa mpaka nikamtambulisha nyumbani kwa wazazi mahusiano yetu yalidumu miezi 9 tu mwezi wa mwisho ndo nikaju kujuwa kuwa alikuwa ni kahaba anayejiuza, hakika hali hii inanitesa mpaka kesho na sijawahi kutamani msichana yeyote japo umri unaenda ila matumaini ya kuoa yamekata kabisa, aibu mitaani kwa namna walivyo kuwa wakituona kama mahusiano ya kuigwa ila sasa kumbe nilikuwa nadate na kahaba anayefanya biashara yake nje ya mkoa tunaoishi,Habari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.
Nifanye nini wakuu?😪😪
Pole sana mkuu, ila amini tu bado kuna wasichana wastaarabu na wenye upendo wa kweli so usikate tamaa, siku utakutana na mpendwa wako na utaenjoy.Aisee umenikumbusha niliwahi kupata demu mmoja hivi kutoka Tarime alikuwa ananipenda balaa mpaka nikamtambulisha nyumbani kwa wazazi mahusiano yetu yalidumu miezi 9 tu mwezi wa mwisho ndo nikaju kujuwa kuwa alikuwa ni kahaba anayejiuza, hakika hali hii inanitesa mpaka kesho na sijawahi kutamani msichana yeyote japo umri unaenda ila matumaini ya kuoa yamekata kabisa, aibu mitaani kwa namna walivyo kuwa wakituona kama mahusiano ya kuigwa ila sasa kumbe nilikuwa nadate na kahaba anayefanya biashara yake nje ya mkoa tunaoishi,
Hii Dunia imejawa na vitu vingi sana asikwambie mtu
But nashindwa nianzie wapi ikiwa niliyemuamini na sikuwahi kuchepuka wala kumuonyesha dariri ya tamaa ameuumiza moyo vibaya nguvu ya kutongoza wengine nitaitoa wapi, pia nitaanzia wapi kumtambulishaPole sana mkuu, ila amini tu bado kuna wasichana wastaarabu na wenye upendo wa kweli so usikate tamaa, siku utakutana na mpendwa wako na utaenjoy.
Wewe ni mwanamke uliyekamilika, usiye na dosari na unafaa kwenye mahusiano yenye heshima.Habari wakuu.
Hivi mliwezaje kumove on, mimi nashindwa kabisa kumsahau huyu EX mpenzi niliyetokea kumpenda sana ila kutokana na sababu kadhaa hatukuweza kuendelea na mahusiano, ni muda sasa umepita tangu alivoniacha ila bado namfikiria sana na nilijipa muda huenda angeweza kurudi ila ndiyo kwanza yeye alishaendelea na maisha mengine huko.
Sijawahi kufikiria kama mimi ninavyojionaga mgumu ningeweza kusumbuliwa na mahusiano hivi ila ndiyo hivo imetokea, najitahidi kujikeep busy ili nisipate mda wa kufikiria sana lakini haisaidii.
Nifanye nini wakuu?[emoji25][emoji25]