Jinsi gani ya kukabiliana na wizi/utapeli unaotokana na kusemeshwa na kupumbazwa na mtu usiyemjua?

Na tuliwaambia ujanja tutakula wapi



Halafu ukiwa na mawazo hii njia inafanya kazi vizuri
Tayari nishaunganisha doti. Wuuh! Ukiacha na dawa za kulevya inabaki ni akili tu hamna cha uchawi wala nini. Ni akili kubwa kuitawala ile ndogo baaas!
 
kupata dawa kama hiyo lazima umpatie sadaka shetani vizazi vyako
 
Hawa jamaa nime kutana nao Mala kadhaa alafu sehem tofaut tofauti
Ifakara... Waka Sanda...
Mbeya mjini pale mwanjelwa hii niliogopa Sana mana nilikuwa na pesa kama laki nne za ada nashukur walidunda, dodoma napo makuru pale Waka Sanda dar napo ubungo hapa juz juz tuu Nika chomoa.....

Mataper ni rahisi Sana kuwa jua Sema tuu shida na tamaa zetu za kupata ngekewa
 
Nimekutana na matapeli dizain hiyo kama kumi hapo mlimani city na kawe wanajifanya wanaongea English kali balaa ila hamna aliewahi nipiga hata buku mbovu, dadeki zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeh sana.
 
Mjini kuna mengi...hivi visa vinasisimua sana
 
Juzi kati hapa nimekutana nao stend moshi wakawa wanauliza dispensary ya doctor hata siijui. Jibu ilikua short tu simjui halafu nikaondoka
 
Juzi kati hapa nimekutana nao stend moshi wakawa wanauliza dispensary ya doctor hata siijui. Jibu ilikua short tu simjui halafu nikaondoka
Ndio inatakiwa hivi jibu moja na kusepa. Ukiwapa tu nafas ya kuwasikiliza yanaweza kukukuta makubwa.
 
Duuh unakua huna nafsi ama?? Yani mpaka unaenda home kutoa vitu kama unahama hushtuki tu.
Hiyo ni hatari sasa.
 
Na wewe walikupopoaa...pole mchmb

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha

Mwenyekiti wa uzi wetu pendwa wa Kimasikhara uliingia kwenye mikono ya Wajuba wa kapaa na wewee[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kinga ya kuepuka utapeli ni kua tahadhari na kila mtu kama threat kwako

Kuna siku npo kwenye kivuko navuka kwenda magetoni kigamboni nikaona pisi mbili za chuga wananiangalia sana kila nikivunga kushangaa meli nikirudsha macho nakuta wananiangalia..

Mimi kawaida yangu siaminiagi vitu adimu Kuja kirahisi yani pisi kali kujilengesha kwangu nachukuliaga ni possibility ya mwsho apo nlkua na elfu 24 mfukon spidernyoka nawaza nasema hapa anaisaka hii 24k yule dem

Tulivoshuka tu kwenye MV magogoni naona wanakuja kwa upande wangu kwa kasi nikajua sasa ni muda wa kujihami au nifanye maujanja ya U-P

Anakuja mdada mkubwa na mdogo ake wananisalimia mm nawajibu huku siwangalii usoni wananiuliza kaka unaelekea wapiii (naona huu mtego wa mdude) namjibu uongo namuacha naenda kupanda daldala

Nmekaa na wao tena wanapenda anakuja kukaa nyuma yangu ananambia kwann umetudanganya ikabidi nimwambie ukwel sasa akanambia amekuja kumpokea mdgo ake aanze MUNMA

Mpaka leo nataman nikutane nae sjaonana nae tena na jina sikumjua ila wasiwasi ndo akili heri ukose pisi kulko upigwe pesa

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Mpokee Yesu maishani mwako kama bado hujampokea. Huyu ni komesha. Mimi ni shahidi wake.
 
Kama hata wewe tu hujawahi fanyiwa hivyo, na umesikia tu stori mtaani kwanini tuhangaike na mambo ya kusadikika wakati mambo halisi yametushinda?
Acha kujifanya Bashite wewe
 
Dawa ni kuwa na Yesu moyoni.

Mtu yeyote aliyeokoka kwa maana ya kuzaliwa mara ya pili huwa anazungukwa na jeshi kubwa la malaika walinzi, ni kwa vile haya macho yetu ya damu na nyama hayana uwezo wa kuona, ila ndio uhalisia.

UHAKIKA NI KUWA MTU ALIYEMKABIDHI YESU MAISHA YAKE ANA UHAKIKA WA MAISHA HAYA NA YALE YAJAYO (YA MILELE)

Jesus is LORD!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…