Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Wale wanacheza na akili yako tu ukizubaa umekwisha.Unaona hakuna cha dawa wala nini,hizo story ungejikuta umeshawishika,hata huko mnakomsindikiza mnakupotezea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wanacheza na akili yako tu ukizubaa umekwisha.Unaona hakuna cha dawa wala nini,hizo story ungejikuta umeshawishika,hata huko mnakomsindikiza mnakupotezea.
Mkuu kupumbazwa na dawa hilo nitalikataa kata kata. Kungekuwa na 'utaalam'' huo ni watu wengi wangelizwa.Sio Wote ni Kutapeliwa Mkuu! Wengine ni kupumbazwa TU! Shukuru Mungu TU Wewe hayajakufika. Usiwaona Wote Wajina na Waliponzwa na Tamaa zao!!
Kuna mama mmoja alikua mpangaji wetu mda kidogo, alikua wale mama(asili ya upemba) flani wapenda mikufu na urembo urembo wa ghali,Mkuu kupumbazwa na dawa hilo nitalikataa kata kata. Kungekuwa na 'utaalam'' huo ni watu wengi wangelizwa.
Huyo ''alileweshwa'' kwa maneno tu. Tapeli yoyote anachota akili za windo lake na kuaminisha kuwa lile jambo ni la kweli. Kwa mfano unapoambiwa utapata fedha nyingi za chap chap basi akili zako zote zinakuwa kwenye kupata na hutakumbukuka tena vitu vingine.Kuna mama mmoja alikua mpangaji wetu mda kidogo, alikua wale mama(asili ya upemba) flani wapenda mikufu na urembo urembo wa ghali,
Siku baada ya tukio mfanyakazi kazi alisema alitumwa na watu ambao alikutana nao barabarani akapewa maelekezo akafanya kama alivoambiwa aliingia ndani akachuku mikufu yote, simu na pesa akawapeleka kwa majama
Jamaa ni mafundi balaaa sijui mumewe atamwambia nini[emoji3][emoji3][emoji3]Ukiweza kujizuia na tamaa za pesa za haraka ,
Kamwe huwezi kutapeliwa
Nakumbuka siku moja zamani kidogo,
Nilikuwa pale ubungo maji,, Daresalam.
kabla ya hii barabara ya mwendo Kasi kujengwa.
Niliisubiri daladala kwa muda mrefu baadae daladala la posta likafika,
nikatulia zangu mbele kwa dereva
Kati ya watu tuliokuwapo ndani ya daladala alikuwapo dada mmoja umri kama 30 hivi,
Muda wote alikuwa na wasiwasi kama ana Jambo linamsumbuwa..
Baada ya daladala kufika kituo cha manzese,
Yule dada alifunguwa mkoba wake akatoa bahasha fulani ya rangi ya kakhi,
Baada ya kufunguwa alipiga Kelele kwa sauti
'''Mama!! Nimetapeliwa,""
Nitamueleza nini mume wangu.
Ikabidi nijaribu kumbembeleza na kujuwa kulikoni?
Baada ya kumsikiliza kwa makini,
Nikagunduwa tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..
Yule dada alitoka na mumewe kimara,
Wote wakashuka kituo cha ubungo maji,
Ila walikuwa na safari tofauti.
Mumewe akavuka barabara upande wa pili wa jengo la Tanesco ,
Ili akapande magari yanayoelekea buguruni.
Wakati huo bado Pana stand ya daladala pale ubungo Tanesco.
Sasa yule dada anasema wakati anaagana na mumewe,
Alipita Kaka mmoja akadondosha bahasha fulani ya rangi ya khaki.
Yule dada aliiona Ile bahasha akataka kumuita yule kaka aliyoangusha Ile bahasha,
Akatokea jamaa mwingine akaokota Ile bahasha,
mbele ya yule dada.
Akaifunguwa Ile bahasha ilikuwa na pesa kibunda cha noti ndani yake.
Kabla hajakaa Sawa akarudi yule Kaka wa mwanzo aliyedondosha Ile bahasha akaja kuulizia pale.
Nimeangusha bahasha ina 1.5 million,
Yule Kaka alilalamika pale mbele za watu,
Lakini jamaa alikana kuokota Ile bahasha.
Pale pale yule jamaa aliyeokota bahasha akamwambiya yule dada,
Hizi ni pesa nyingi,
Na huyu kijana lazima atarudi tena kabla daladala halijaja,
Sasa chukuwa hii bahasha nisubiri kituo cha mbele pale shekilango.
Mimi nakuja.
Jamaa alimwambiya yule dada
Kumbe muda wote mume wa yule dada yupo upande wa pili anaona tukio zima,
Ikabidi ampigie simu mkewe ,
vipi mbona upo na hao jamaa kuna nini?
Dada akamwambiya ni jamaa tu mgeni anauliza njia,
Lakini mumewe bado akawa anasumbuwa kwa simu,
Mwisho dada akawa hapokei simu ya mumewe.
Kilichofata baada ya dada kupewa bahasha,
Yule jamaa aliyeokota bahasha, akamwambiya yule dada,
Sasa Mimi nakuamini vipi?
Kukupa 1.5 milion wakati sikujuwi?
""Kama vipi niachie simu yako,''
Tangulia shekilango kituoni,
"Nakuja tugawane."
Dada alikuwa na simu nzr Sana smart.
Kabla dada hajatoa maamuzi ya kutoa simu ,
Yule aliyeangusha pochi akarudi tena,
Akasema jamani nimeangusha milioni na nusu,
Atakayeona bahasha plz ni pesa za Ada ya chuo.
Please, please,jamaa alijiliza pale kituoni
Yule dada akaona simu kitu gani mbele ya 1.5.
Akampa jamaa simu,
Akaingia ndani ya gari.
Daladala kufika manzese,
ndy dada akaamua kufunguwa Ile bahasha ili azihesabu pesa vizuri.
Anakutana na makaratasi yaliyopangwa vzr kama kibunda cha noti
Na mbaya zaidi hata yule dada mwenyewe,
alipanga kumdhulumu aliyeokota bahasha,
Sababu aliambiwa ashuke kituoni shekilango,
Matokeo yake akaamua kupitiliza kituo hadi manzese..
Tamaa ya pesa za haraka hupelekea kutapeliwa..
Hata wewe oooops nigga.Dadeki yani wale wahuni sioo nimetoka zangu home naenda kazini kwa mama mwaka 2011 hiyo nina visimu vile kinokia kile obama sijui na hela kama elfu 10 hivi... Mmoja akaja akaniuliza samahani unajua sehemu flani wanauza madini nataka nikauze madini yangu sema ukinionesha tutagawan hela alikuwa mbabu hivi.. nkasema sipajui ghafla akatokea mbaba kwa nyuma yule mzee akamuuliza pia yule baba akasema anapajua so akaniomba na mimi nimsaidie tumsindikize hela tutagawana mamaee laiti ningejua ambacho kingenikuta nisingeingia tamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nikaanza kuwafata ila kuna saa nikawa nasita yule mbabu akafika point akasema nimechoka kutembea wajukuu zangu mnaonaje mkauze hela mniletee aisee yule mbaba akasema sawa mzee tuamini yule mzee akasema bhasi mniachie hata Hela au kama hamna niachieni simu maana nawapa madini je msiporudi?? Aiseee sikujua sikujuaaa nikatoa simu na yule baba akampa yake tukachukua madini tukaanza kutembea tukakatisha kona kama mbili yule Baba akasema nisubiri hapa nihakikishe yule babu asijetutoroka shika haya madini nakuja yani Nkajiona bonge la mjanjaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] likapita nusu saa mtu harudi ndo akili ikaja nifungue kikaratasi dadeki udongoo tu na maweee pale nlipomuacha babu nimerudi kweupee nyie nyiee Kulia nksashindwa kucheka nkashindwa nikabaki nimeduwaa kama dak 10 siamini kisimu changu na hela vimeenda[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nkaanza safari ya kurudi home huku kama akili imeniruka ndo nkaanza kuliaa huku naendaa mbwaa wale walinifundisha uhuni mapema hadi leo Simuelekezi mtu yani hata iweje.
Pole sana [emoji23][emoji23]Dadeki yani wale wahuni sioo nimetoka zangu home naenda kazini kwa mama mwaka 2011 hiyo nina visimu vile kinokia kile obama sijui na hela kama elfu 10 hivi... Mmoja akaja akaniuliza samahani unajua sehemu flani wanauza madini nataka nikauze madini yangu sema ukinionesha tutagawan hela alikuwa mbabu hivi.. nkasema sipajui ghafla akatokea mbaba kwa nyuma yule mzee akamuuliza pia yule baba akasema anapajua so akaniomba na mimi nimsaidie tumsindikize hela tutagawana mamaee laiti ningejua ambacho kingenikuta nisingeingia tamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nikaanza kuwafata ila kuna saa nikawa nasita yule mbabu akafika point akasema nimechoka kutembea wajukuu zangu mnaonaje mkauze hela mniletee aisee yule mbaba akasema sawa mzee tuamini yule mzee akasema bhasi mniachie hata Hela au kama hamna niachieni simu maana nawapa madini je msiporudi?? Aiseee sikujua sikujuaaa nikatoa simu na yule baba akampa yake tukachukua madini tukaanza kutembea tukakatisha kona kama mbili yule Baba akasema nisubiri hapa nihakikishe yule babu asijetutoroka shika haya madini nakuja yani Nkajiona bonge la mjanjaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] likapita nusu saa mtu harudi ndo akili ikaja nifungue kikaratasi dadeki udongoo tu na maweee pale nlipomuacha babu nimerudi kweupee nyie nyiee Kulia nksashindwa kucheka nkashindwa nikabaki nimeduwaa kama dak 10 siamini kisimu changu na hela vimeenda[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nkaanza safari ya kurudi home huku kama akili imeniruka ndo nkaanza kuliaa huku naendaa mbwaa wale walinifundisha uhuni mapema hadi leo Simuelekezi mtu yani hata iweje.
Yani mbwa walee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Hata awe zew simuamini mtuPole sana [emoji23][emoji23]
Dah this is scaryKuna dawa inaitwa Scopolamine....unaweza kuangalia documentary hapo chini
Pia soma:
![]()
Devil's Breath: Urban Legend or the World's Most Scary Drug?
Stories circulating about “Devil's Breath” are making their way around the world. Are these sensationalized stories part of an urban legend or a factual crime scene?www.drugs.com
[emoji23][emoji23] walikufundisha namna ya kuishi town kwa akiliYani mbwa walee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787]Hata awe zew simuamini mtu
Home maza nikashindwa kumelezea imekuwaje ila mzee alielewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Adhabu sikununuliwa kisimu tena[emoji23][emoji23] walikufundisha namna ya kuishi town kwa akili
Tunajifunza kupitia makosa [emoji16][emoji16]Home maza nikashindwa kumelezea imekuwaje ila mzee alielewa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Adhabu sikununuliwa kisimu tena
Thomaso.Mkuu kupumbazwa na dawa hilo nitalikataa kata kata. Kungekuwa na 'utaalam'' huo ni watu wengi wangelizwa.
Dadeki yani wale wahuni sioo nimetoka zangu home naenda kazini kwa mama mwaka 2011 hiyo nina visimu vile kinokia kile obama sijui na hela kama elfu 10 hivi... Mmoja akaja akaniuliza samahani unajua sehemu flani wanauza madini nataka nikauze madini yangu sema ukinionesha tutagawan hela alikuwa mbabu hivi.. nkasema sipajui ghafla akatokea mbaba kwa nyuma yule mzee akamuuliza pia yule baba akasema anapajua so akaniomba na mimi nimsaidie tumsindikize hela tutagawana mamaee laiti ningejua ambacho kingenikuta nisingeingia tamaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani nikaanza kuwafata ila kuna saa nikawa nasita yule mbabu akafika point akasema nimechoka kutembea wajukuu zangu mnaonaje mkauze hela mniletee aisee yule mbaba akasema sawa mzee tuamini yule mzee akasema bhasi mniachie hata Hela au kama hamna niachieni simu maana nawapa madini je msiporudi?? Aiseee sikujua sikujuaaa nikatoa simu na yule baba akampa yake tukachukua madini tukaanza kutembea tukakatisha kona kama mbili yule Baba akasema nisubiri hapa nihakikishe yule babu asijetutoroka shika haya madini nakuja yani Nkajiona bonge la mjanjaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] likapita nusu saa mtu harudi ndo akili ikaja nifungue kikaratasi dadeki udongoo tu na maweee pale nlipomuacha babu nimerudi kweupee nyie nyiee Kulia nksashindwa kucheka nkashindwa nikabaki nimeduwaa kama dak 10 siamini kisimu changu na hela vimeenda[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nkaanza safari ya kurudi home huku kama akili imeniruka ndo nkaanza kuliaa huku naendaa mbwaa wale walinifundisha uhuni mapema hadi leo Simuelekezi mtu yani hata iweje.
Kuna mama mmoja alikua mpangaji wetu mda kidogo, alikua wale mama(asili ya upemba) flani wapenda mikufu na urembo urembo wa ghali,
Siku baada ya tukio mfanyakazi kazi alisema alitumwa na watu ambao alikutana nao barabarani akapewa maelekezo akafanya kama alivoambiwa aliingia ndani akachuku mikufu yote, simu na pesa akawapeleka kwa majama
Yani kuna saa nikajisemea huyu boya sijui nimtoroke[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie nyie sasa ningeenda kufungulia nyumbani ndo ningezimia kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah ukakaa zako unahisi una madini ya mamilioni
Katikati ya hii comment kuna jibu -Ukomaze akiliVuta ganja ukomaze akili ili uepushe matatizo madogo kama hayo...kwanza ni wachache watakaopata ujasiri hata wa kukusogelea🐒
Hao uliowataja wengine wameibiwa kwa ujinga wa kutaka kupata faida haraka haraka. Wewe unakutana na mtu usiyemjua anakwambia mambo ya nyota sijui anakuuliza akiba ya pesa bado unamjibu tu? Huo ni ujinga tu hamna ulozi hapo. Ngoja niwape visa vyangu viwili nilivyokutana na wapumbavu kama hao nikawatoa nishai.Hii imewakuta watu watatu tofauti ninaowafahamu sijui hawa wezi wanatumia dawa gani
Wa kwanza; Huyu yeye alizubaishwa Mwenge na akawapa kiasi cha pesa alichokuwa nacho pale, akaja nao mpaka anapoishi huko Skanska akawapatia Akiba, kama haitoshi akakopa kwa jirani akawapatia, akakopa kwa ndugu pia akawapatia. Baada ya jamaa kusepa ndo anakuja kustuka baada ya kuongeleshwa, ilikuwa kilio kuanza kulipa madeni.
Wa pili ni huko Bonyokwa, huyu dada yeye alipumbazwa akawapatia simu, pesa na bado akaenda nao kwake akaanza kuwapa vitu vya ndani. Majirani walipomuuliza mama fulani unahama? Fahamu zikamrudia jamaa hapo washasepa fasta.
Wa tatu ni mdada wangu wa kazi; na akaambiwa mambo ya nyota, pia akaambiwa ndani una akiba ya fedha akajibu ndiyo. Alikuwa na simu lakini hakuwapa na wala hawakuongozana but alivyofika nyumbani akaenda kukoga na simu aliweka kitandani but alivyotoka kuoga akakuta bahasha, kufungua akakuta mche wa sabuni, ile akiba nayo imetoweka. Kilio chake hakikuwa cha nchi hii ikabidi tu nimpatie simu na akiba yake.
Kwa haya mafunzo, wapendwa tuwe makini. Najua si rahisi kutomwongelesha mtu lakini tujitahidi kuepuka mitego ya namna hii.
Asante katikati ya hii comment kuna hints 'wahanga wengi ni wanawake' na pombe, zinaa, uchafu. Mi naona hivi ni viashiria vya kupenda kukubaliana na linalokuja mbele yako bila kujihoji[kumake sense kwanza]🤔.Ila Dar nyoso sana mm ndomana nikiwa na hela sicheki na mtu kwenye daladala kabisa haswa pale Mlimani City ndo pabaya pale kuna rafiki yangu kipindi niko Advance mama ake alikuwa hawezi pirika ikitokea huwa anampa Card mwanae akatoe pesa za matumizi.
Ile kutoka tu pale mlimani City wana hawa hapa Salimia wakaanza story za nyota jamaa akawapa pesa alizotoa kwenye ATM na Simu fahamu zilimjia baada ya kufika kwamama yake kwao Full kilio asahau ile siku.
Ila hawa jamaa kwa haraka na fikra zinazonijia aidha wanatumia Jini au Dawa na haswa zaidi ni jini kitendo cha kuitikia inamaana ummempa ruksa jini akuvae na akutawale na akuamrishe na wengi wahanga niwanawake kuliko wanaume na haswa ukiwa mchafu, pombe na mtu wazinaa ni rahisi sana kufanikiwa kwao.