Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mkristo mingine mijinga sana yani jamaa lina leta maji afu mnalipa pesa hayo maji ya kitu gani nayametokea wapi
Ni mtu pekee ambae hana akili anaweza akaona hivo unavoonaSiongei sana. Sina maneno mengi!
Video yenyewe iliyosheheni operation za Hezbollah inajisemea. Tazama!
View: https://m.youtube.com/watch?v=JpONxjW0X9Q
dogo hio ni India channel ambayo wanawasaidia Israel kwenye vita.Israel wanazungumza kwa kupitia YouTube channel inaitwa TOI? Hao ni Israel wa uko kwenu Kimbangulile
Yani kufa we hutakufa au wewe umeisha pewa uzima wa milele hufi kabisa 😄Ni mtu pekee ambae hana akili anaweza akaona hivo unavoona
1000 Vs 370000 dealth
Mjinga hajifunzi mpaka siku ya kifo
Kila mtu atakufa lakini isikufanye uwe mjinga kupigania na kufa kutimiza malengo ya watu wengineYani kufa we hutakufa au wewe umeisha pewa uzima wa milele hufi kabisa 😄
Hizo kombora sio mchezoWambie hii leo wamechezea kichapo toka kwa Hezbullah au na hii pia imeungwa ungwa kijanja 😄
View: https://youtu.be/SWn7cIuZ1h8?si=t4XGDelk1Q7fD-tG
View: https://youtu.be/pahycTxE82M?si=f5zxHXgm_aVV9zR2
Mimi mkatoliki ila sipendi upuuziWacha weeeeeee, mwarabu wa kiembesamaki huyo.
Hezbollah wanakupa salamu mkuu. Wanamwaga moto tu hamna maneno mengi.Amka usijikojolee. Israel inarusha ndege kwenye anga la Syria ambapo Iran ipo miaka zaidi ya 10. Sembuse hapo Lebanon ambapo Iran hawana military presence?
Wakati Jenerali Soleimani anauwawa na drones kule Iraq hakukuwa na mifumo hiyo? Mbona Iran ipo miaka mingi na silaha zake Iraq.
Wakati majenerali wa Iran pale Damascus wanauwawa na shambulizi la ndege za Israel hiyo mifumo ya ulinzi wa anga haikuwepo? Iran ishindwe kulinda majenerali wake ije kulinda wanamgambo.
Pale Syria hadi Russia ina air defense systems ila hutokaa usikie Israel imeshindwa kufanya inavyojisikia kufanya.
Sa mbona unakacha swali dogo we utakufa vipi hebu tupe akili yanamna utakufa to kucopy 😄vaa bomu jilipue
😄 mimi niwe na hasira sababu yawavaa misalaba, peleka pesa kanisani huko hasa kama umekaa bench ya mbele ukatoe 1000 ili unywe maji alio leta Padr😄Naona unapata hasira nakuzuia usijilipue
Bas nenda naww kajitoe muhanga
1000 ni wanajeshi na 37000 ni watoto, wamama na vizee. Piga maesabu mwenyeweNi mtu pekee ambae hana akili anaweza akaona hivo unavoona
1000 Vs 370000 dealth
Mjinga hajifunzi mpaka siku ya kifo
Kila unaemuona umu unajua ni mutu wa kanisani😄 mimi niwe na hasira sababu yawavaa misalaba, peleka pesa kanisani huko hasa kama umekaa bench ya mbele ukatoe 1000 ili unywe maji alio leta Padr😄
wanajeshi walkua 300 IDF 71 foreigner akiwepo mtanzania hao 37000 n watoto na kina mama hamasi umewaweka wap??1000 ni wanajeshi na 37000 ni watoto, wamama na vizee. Piga maesabu mwenyewe
We bwege kweli wanaume gani wanavamia watu hawana hata silaha wemepumzika kwenye nyumba zao mbona hatujaona matekwa hapo tumeona ujinga tu.Hawa ndo wanaume sasa Sio hao wavaa vipedo na track wakujificha kwa raia ni hivi kipigo kiendelee mpaka wote wafutike kwenye uso wa hii dunia
View: https://x.com/Israel/status/1800240482947088454?t=0-SpmpTRMWctjQ_2n_aqqQ&s=19
Ajitambui huyo achana nayeAmka usijikojolee. Israel inarusha ndege kwenye anga la Syria ambapo Iran ipo miaka zaidi ya 10. Sembuse hapo Lebanon ambapo Iran hawana military presence?
Wakati Jenerali Soleimani anauwawa na drones kule Iraq hakukuwa na mifumo hiyo? Mbona Iran ipo miaka mingi na silaha zake Iraq.
Wakati majenerali wa Iran pale Damascus wanauwawa na shambulizi la ndege za Israel hiyo mifumo ya ulinzi wa anga haikuwepo? Iran ishindwe kulinda majenerali wake ije kulinda wanamgambo.
Pale Syria hadi Russia ina air defense systems ila hutokaa usikie Israel imeshindwa kufanya inavyojisikia kufanya.