Udini umekujaa kichwani mpaka unatenganisha Marais wa Tanzania. We Ni kiazi sana. Kila wakati unaleta udini tu. Pale hakuna dini ulisikia wanagombania dini?. Kuza akili yako. Ndiyo nyinyi mlikua unashangilia wale wavaa kobasi WA kibiti wakati wanaua Magu akadili nao walitandikwa wakapoteana.
Udini ni nyie ndio mnao uleta kila Rais wa Tanzania akiwa mkristo husikii watu kulalamika oh Rais hivi hata awe mbaya vipi, lakini akija shika Rais Muislam oh huyu dhaifu oh huyu mzururaji oh huyu kauza nchi vipi kauza nchi na nyie bado mko huru si ndio ajabu.
Hizo ni fitna za kanisani mkisha nyeshwa maji mnambiwa kapondeni Rais sababu ni Muislam 😄
Acheni udini serekali haina udini mtabaki hivyo hivyo, mimi naongea ukweli Nyerere aliharibu Tanzania akairudisha nyuma, si kwa nia mbaya lakini siasa yake ya kujidai kujitegemea ndio ilivuruga nchi.
Mwinyi akaja ikomboa ilikuwa hata dawa ya nswaki hupati dukani wakati wa Nyerere.
Alipotoka Mwinyi kaja Mkapa alicho fanya ni kipi cha maana?
Kikwete ameondoka Tanzania ina pesa ya kutosha.
Magufuli alipata mterezo wa pesa alizo wacha kikwete, hata hivyo ni Rais peke aliyo ipigisha Tanzania hatua mbele sana, sa huyu na msifia je ni Muislam? Lakini hakuna kizuri hakina kosa alikuwa dictator, kuna watu walifilisika Tanzania sababu yake.
Salma Suluhu yeye huwezi kumfananisha na Magufuli, lakini sioni kosa lake na sioni kama Tanzania watapa Rais wazuri kama hao nilio wataja hapo juu.
Nyie mnaye sema Salma Suluhu hafai, nani mnaona anafaa zaidi yake, kwa misingi ipi ziwe zina dalili.
Mwacheni Rais achape kazi nyie bakini na chuki zenu.