Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Mimi ni Muislam sina ukabila, hayo ya ukabila ni nyie ndio mnayaleta.Hawa Waarabu wanajifanya Wabongo kumbe ni kama Magaidi wenzao.
Kweli kuna makosa mkuu lakini kwa sasa Tanzania nani anaweza kuwa bora kuliko yeye nipe jina.Tizama sasa hivi nchi inaendaje mkuu kesha uone kama ni sahihi ama laah kumkubali huyu mama.
Kwahiyo ulisema "sisi" halafu ukasema "tuliwatawala" sasa wewe ni nani?!Sa we kwanza umejua vipi mimi ni mwarabu au mzungu au muhindi umeniona
Kheri hata angelikaa Kassim Majaliwa kwa mwanamke walau hata angekaa Tulia Ackson kuliko Samia.Kweli kuna makosa mkuu lakini kwa sasa Tanzania nani anaweza kuwa bora kuliko yeye nipe jina.
Tatizo nikisema sisi wewe si unatuita sisi warabu na wewe myahudi ngoma ipo draw 😄Kwahiyo ulisema "sisi" halafu ukasema "tuliwatawala" sasa wewe ni nani?!
Acha kudanganya Walemba wa Zimbabwe je?!Mimi ni Muislam sina ukabila, hayo ya ukabila ni nyie ndio mnayaleta.
We warabu huwezi kuwakataa wanadamu zakiafrika, tatizo wewe unarukia damu isio kuhusu ya Kiyahudi 😆
Hamna kitu hapo labda ukiniambia Makonda namkubali 😄Kheri hata angelikaa Kassim Majaliwa kwa mwanamke walau hata angekaa Tulia Ackson kuliko Samia.
Mimi ungenifananisha na Robert Mgabe na Mseven ningekubali sababu hao wanawachukia Western kama mimi 😄Acha kudanganya Walemba wa Zimbabwe je?!
Huwajui Walemba?!Mimi ungenifananisha na Robert Mgabe na Mseven ningekubali sababu hao wanawachukia Western kama mimi 😄
Udini umekujaa kichwani mpaka unatenganisha Marais wa Tanzania. We Ni kiazi sana. Kila wakati unaleta udini tu. Pale hakuna dini ulisikia wanagombania dini?. Kuza akili yako. Ndiyo nyinyi mlikua unashangilia wale wavaa kobasi WA kibiti wakati wanaua Magu akadili nao walitandikwa wakapoteana.Wachana nao hawa wavaa misalaba akili zao zilipotea walipo ona mtume fake Paulo akiongelea kuwa Israel atalindwa na Mungu, hapo Mungu alimkusudia Yakobo wao wakageuza kuwa hili taifa lilo undwa na Muingerreza 1948 haha, ni kiasi ufahamu vipi ukivaa msalaba akili zinakuwa zimegawanyika vipande vinne.
Mungu kawa binadamu 😄
Israel taifa teule 😄
Yesu alikuwepo kabla ya Ibraham 😄
IbrahIm ndio mzazi wa mitume hapo sawa, sa Yesu sio mjukuu wa Ibrahimu sababu alikuwepo kabla ya Ibrahim, lakini Mariam mama wa Yesu alikuja bada ya Ibrahim hi akili lazima ukae pembe nini ndio utawaelewa vichaa 😄
Kama wao wanasema hawako kidini vipi washangilie Israel kama si udini unawasumbua.
We wasome wakristo Rais wa Tanzania akiwa mkristo wao ndio wananshangilia hata avuruge nchi.
Nyerere kafanya nini zaidi ya kuiharibu nchi alikuta Tanzania iko mbali sana.
Magufuli kafanya mazuri lakini alikuwa dictator wao wanamsifia.
Mwinyi ndiye alie irudisha Tanzania ilikuwa imeanza kukata roho.
Kikwete ndio Rais aliye fanya Tanzania iwe ina pesa ndio Magufuli akapata mteremko.
Mkapa alifanya kitu gani?
Salma Suluhu kairudusha Tanzania kuheshimika duniani bada ya yule dictator magu kuharibu sifa za Tanzania nje.
Hata kama namkubali Magufuli alikuwa kaifikisha Tanzania mbali, lakini alikuwa dictator mulize Lisu atakupa jibu 😄
Hawezi kukuelewa dini imemtia upofuWapalestina wanatetea haki ya kuuwa na kuwafuta duniani wayahudi, wayahudi wanajibu unyama waliofanyiwa Oktoba 7, anayesema wayahudi wakae kimya wasijibu kitu ni wajinga mno. Israel ni nchi ya wayahudi tangu miaka 3,000 iliyopita wana haki ya kuidai na kujilinda na waarabu wanaodai mtume wao alipalizwa hapo.
Na ndiyo kinachowafanya Hamas kuwa na kiburi Kinga yao ni raia tuWaisraeli ni wana ujinga fulani kwa nini wanafuata sheria za vita dhidi ya magaidi wasiofuata rules of engagement, magaidi wanarusha makombora popote, wao wanachagua na kujipa shida kulenga viongozi wa magaidi, dawa ya moto ni moto wakirusha makombora maeneo ya raia na wao warushe mara 50 yake maeneo ya raia, dawa ya moto ni moto huwezi kupigana kistaarabu na wahuni.
Udini ni nyie ndio mnao uleta kila Rais wa Tanzania akiwa mkristo husikii watu kulalamika oh Rais hivi hata awe mbaya vipi, lakini akija shika Rais Muislam oh huyu dhaifu oh huyu mzururaji oh huyu kauza nchi vipi kauza nchi na nyie bado mko huru si ndio ajabu.Udini umekujaa kichwani mpaka unatenganisha Marais wa Tanzania. We Ni kiazi sana. Kila wakati unaleta udini tu. Pale hakuna dini ulisikia wanagombania dini?. Kuza akili yako. Ndiyo nyinyi mlikua unashangilia wale wavaa kobasi WA kibiti wakati wanaua Magu akadili nao walitandikwa wakapoteana.
Tuliwakamata Waarabu wa Libya kama Kuku katika vita ya Uganda halafu huyu Mwarabu wa JF anataka kuleta dharau.Usii look down hivyo JWTZ.
Kwani JWTZ walipigana na Libya? Mimi nilikuwepo Mtukula niliona wale si wanajeshi wale walikuwa wa Palestine si wa Libya Gadafi alikuwa hapeleki watu wake nje. tena kikosi kile cha kutibu sio askari kuvaa magwanda ya Jeshi si kama wao mi askari 😄Tuliwakamata Waarabu wa Libya kama Kuku katika vita ya Uganda halafu huyu Mwarabu wa JF anataka kuleta dharau.
Libyan leader Muammar Gaddafi (pictured) supplied Uganda with troops and materiel during the war. Libyan leader Muammar Gaddafi, an ally of Amin, felt that Uganda—a Muslim state in his view—was being threatened by a Christian army, and wished to halt the Tanzanians.Kwani JWTZ walipigana na Libya? Mimi nilikuwepo Mtukula niliona wale si wanajeshi wale walikuwa wa Palestine si wa Libya
Israel ni taifa na lazima lifuate Sheria za kivita bali gaidi Hana taifa na hakuna Sheria inayombana coz yeye ni mtuhumiwa kwa Kila taifa, so Yuko free kufanya chochote. Kwahiyo siyo kirahisi kama unavyofikiri.Waisraeli ni wana ujinga fulani kwa nini wanafuata sheria za vita dhidi ya magaidi wasiofuata rules of engagement, magaidi wanarusha makombora popote, wao wanachagua na kujipa shida kulenga viongozi wa magaidi, dawa ya moto ni moto wakirusha makombora maeneo ya raia na wao warushe mara 50 yake maeneo ya raia, dawa ya moto ni moto huwezi kupigana kistaarabu na wahuni.
Mimi ni Muislam sina ukabila, hayo ya ukabila ni nyie ndio mnayaleta.
We warabu huwezi kuwakataa wanadamu zakiafrika, tatizo wewe unarukia damu isio kuhusu ya Kiyahudi 😆
Unaona akili yako ilivyo? Mambo ya wapalestina na waisrael yamekujaje huku mpaka uanze kuzungumzia arais wa Tanzania huyu mkristo na huyu muislam?. Udini unakuharibu ubongo sanaUdini ni nyie ndio mnao uleta kila Rais wa Tanzania akiwa mkristo husikii watu kulalamika oh Rais hivi hata awe mbaya vipi, lakini akija shika Rais Muislam oh huyu dhaifu oh huyu mzururaji oh huyu kauza nchi vipi kauza nchi na nyie bado mko huru si ndio ajabu.
Hizo ni fitna za kanisani mkisha nyeshwa maji mnambiwa kapondeni Rais sababu ni Muislam 😄
Acheni udini serekali haina udini mtabaki hivyo hivyo, mimi naongea ukweli Nyerere aliharibu Tanzania akairudisha nyuma, si kwa nia mbaya lakini siasa yake ya kujidai kujitegemea ndio ilivuruga nchi.
Mwinyi akaja ikomboa ilikuwa hata dawa ya nswaki hupati dukani wakati wa Nyerere.
Alipotoka Mwinyi kaja Mkapa alicho fanya ni kipi cha maana?
Kikwete ameondoka Tanzania ina pesa ya kutosha.
Magufuli alipata mterezo wa pesa alizo wacha kikwete, hata hivyo ni Rais peke aliyo ipigisha Tanzania hatua mbele sana, sa huyu na msifia je ni Muislam? Lakini hakuna kizuri hakina kosa alikuwa dictator, kuna watu walifilisika Tanzania sababu yake.
Salma Suluhu yeye huwezi kumfananisha na Magufuli, lakini sioni kosa lake na sioni kama Tanzania watapa Rais wazuri kama hao nilio wataja hapo juu.
Nyie mnaye sema Salma Suluhu hafai, nani mnaona anafaa zaidi yake, kwa misingi ipi ziwe zina dalili.
Mwacheni Rais achape kazi nyie bakini na chuki zenu.