Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

📌
 
Bado nawauliza kuzaliwa Introvet ni kama balaa au
Kwan hakuna intro wenye FURAHA na MAISHA
 
Walimwengu wananifanya niwe extro baadhi ya nyakati na najisikia mwepesi sana nikiwa hivyo kuliko nikiwa kwenye asili yangu hiyo ya intro
Duuuh hatari sana aisee. Kumbe haya mambo yako hivi, hata ku-approach warembo ni shida
 
Nyie wanawake mnatukataa kwa kusudi tena mnasema hatujui kutongoza
Mie rafiki zangu wananiuliza we mwenzetu una demu kweli?

Hilo swali naulizwa sana wengine wananipa majina domo zege huezi kua na demu.

Mwengine aliwahi kunambia jamaa angu tatizo lako unatafakari sana hata sehem ya kukanyaga mguu unapotembea.

Sipendi sehemu ya watu wengi nikiona watu mara nyingine adi nawakimbia.

Nilipokua mdogo niliwahi kuugua sana hospitali madaktari waliponifanyia vipimo wakawambia wazazi mtoto anafikiri sana anahitaji kurelax nikapelekwa isolation kwa wiki tatu.

Nilizaliwa 10 september.
 
Hii haihusiani na mtu kuwa domo zege au la. Watu wanashindwa kuelewa maana halisi ya gentleman. Kuna watu mpka leo hii wanaamini ya kwamba mwanaume huwezi kukamilika bila demu na halikadhalika kwa upande wa pili vivyo hivyo. Its just most introverts don't want to rush things when it comes to relationships. We take relationships very seriously. We are vulnerable creatures means we easily get hurt physically and emotionaly. And thats why we would rather spend 3 years alone than being in a dramatic crazy relationship as we don't want to get hurt and thus we would never want to hurt others too.
Another thing that is mostly associated with introverts that so many people see it as bad thing is being single. Being single shouldn't be perceived as a negative thing but it should be looked at as an opportunity for you to grow as a person and truly be happy with every aspect of your being. I think anyone who can say that they're truly happy to be singly independent and show it with their amazing confidence and assuredness of themselves,they will find the soulmate when they least expect it becuz they're no longer focused on finding the next man/woman instead they're focused on being the best version of themselves that they can possibly be. Once you have achieved happiness and fulfilment in life without the need to have a gf or bf in your life that is when all the wonderful things fall into place.
So brother you are on this earth to live you life to the fullest, don't feel guilty or ashamed of whatever your life holds. Just shine and its okay to be single if you haven't found your queen yet.
Peace [emoji111][emoji111]
 
Kwamba kuna uhusiano kati ya tarehe/mwezi wa kuzaliwa na introverts? Nieleweshe tafadhali
 
Umetumwaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…