Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Mnaovyoelezea magumu yenuPole mkuu tatizo nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaovyoelezea magumu yenuPole mkuu tatizo nini
Ndio mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1]Nawewe ni introvert?
Like serious mkuu[emoji848]Wewe introvert siamini
Mpaka nikuzoee sana na uwe ni rafiki yangu, zaidi ya hapo tutazamana tuu[emoji848]Serious hua nadhani ni mtu wa mstory mengiiii
[emoji120][emoji120]Pole sana mkuu I know how hard it is to fit in
Kunimiss au kusalimia gani huko kila baada ya siku mbili.afu ni she mwenzangu angekuwa man ningeweza kuhisi tofautiAnaweza kua kakumiss japo anatamani akusalimie ila hawezi jieleza vizuri
🤣🤣🤣🤣kumbe sipo peke yanguMpaka nikuzoee sana na uwe ni rafiki yangu, zaidi ya hapo tutazamana tuu[emoji848]
100% ndivyo nilivyo!!!!introverts wote wana sifa hizi
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
- Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
- Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
- Ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
- Wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati
- Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)
Sifa zao nyingine ni pamoja na;
- Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
- Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine
- Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)
- Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasani si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)
- Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)
- Wakata tamaa wanapokosolewa.
- Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.
Nyinginezo ni;
- Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)
- Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo.
- Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
- Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao
- Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa).
- Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.
- Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana.
- Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe.
- Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani
Pia, wanafahamika kwa;
- Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)
- Wana busara na hekima nyingi
- Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
- Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
- Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
- Ni kundi la watu wanoridhika haraka
- Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa.
- Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.
- Kundi linalopenda amani na utulivu
- Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto
- Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu.
Wana sifa nyingi sana, nyinginezo ni;
- Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
- Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
- Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
- Wakati mwingine hupenda kujikataa.
- Ni waaminifu na wasema ukweli
- Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
- Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
- Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu
- Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick
Kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani].
- Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}
- Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua.
100% ndivyo nilivyo!!!!
Kinachonikoseshaga raha ni suala la kuwaza sana aisee huwa nawaza mno toka nikiwa mdogo!
Nashukuru Mungu sijavipata,pia nashukuru kwa huu Uzi umenifanya nijitambue kwamba ndivyo nilivyo na siwezi kibadilikaVipi vidonda tumbo kwako
Ndo hivyo tena Mungu alivyotuumbaSio vizuri mkuu😢😢
Yaani mimi mtu ambaye hajanizoea akipata nafasi ya kuwa karibu nami anaweza akahisi nina tatizo kubwa sana nalitafakari, kumbe mwenzie wala naenjoy zangu kufikiria tuOne of my favorite thing I wanna do is Thinking...
I wish niwe na mashine ya kuchapa vyote navyofikiria..
Yaani umemaliza.Nina msemo wangu mwenyewe.Napenda kua On touch na wanaotaka on touch with me
Nadhani introvert wote huwaga na mawazo kama yakoKabla sijausoma huu uzi nilijuaga niko peke angu ila huu Uzi umenipa faraja sana kujua kama kuna wenzangu wanapitia hali kama yangu
Acha tu mkuu kati ya vitu vimenishinda humu duniani ni kubembeleza mtu,basi kimoyomoyo na move on mwenyeweHow about With or without you I shine??
Off course ni changamotoUkimpenda mtu ni ngumu lakini
Spirit of humbleness inasaidia maisha yanaenda, introvert wengi huwa sio watu wa kupenda ligi/vitaHow so you manage it...
That's me.. [emoji24] naweza nikawa sad ila natabasamUliyosema yote Ni ukweli ila aya hii Ni zaidi ya ukweli ni Mimi mwenyewe kabisa wengi wanatuona Kama viburi nk
Marahupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa