Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Vip kwenye sherehe kama graduation yako ya shule ivi ulifanyaje vp haujawah kutana na tukio lolote lililokutaka ucheze je ulifanyaje
Kwenye sherehe huwa sinyanyuki kwenda kucheza kama wengine.Nikinyanyuka ni ule mziki kwenda kutoa zawadi au pongeze kwa wahusika na naenda nikitembea sichezi kama wengine,kujiachia kama wengine siwezi.Sasa kwenye harusi yangu sijui nitafanyaje,nikiwazaga hili nakosa majibu
 
Spirit of humbleness inasaidia maisha yanaenda, introvert wengi huwa sio watu wa kupenda ligi/vita
Kabisa huyo ni Mimi sipendi ligi/vita.ukinikosea uniombe msamaha au usiniombe ukiniongelesha nitaongea tena kwa tabasamu,lakini moyoni mwangu sitakaa nikuamini wala sitakuchukia.naweza nikawa na huzuni sana moyoni ukaniongelesha nikakujibu kwa tabasamu at the same time machozi yakawa yananitoka halafu siwezi kusema kwa nini Niko hivyo basi naishia tu kusema Niko sawa!!!!
 
Naomba kuuliza ivi ma introvert wenzangu mnajua kucheza yaan kudance kwenye party stlye kama vile kwaioto shakushaku au yeyoye ile
Mimi huwa naweza kucheza tu kimoyomoyo practically mmh!
 
Naomba kuuliza ivi ma introvert wenzangu mnajua kucheza yaan kudance kwenye party stlye kama vile kwaioto shakushaku au yeyoye ile
Jamani jamani kwa jinsi nilivyo watu huwa hawaamini kama ni Mimi au laah!!!! Napenda kucheza na ninajua,na huwa nacheza mpaka majogoo,muda ule DJ anazima muziki!!
NB:sijawahi kuhudhuria madisco ya mtaani Mimi ni ezi zile za shule msimu wa graduation,Ukwata,tycs na graduu ya shule party za kazini,harusini basi!!!siwezi kutoka kwangu nikaenda kujichanganya disco!!! Pia hata home huwa nafungulia muziki nacheeeeza chumbani nikichoka nalala!!!¡lkn napenda sana kucheza na huwa naenjoy sana nasahau shida zote!!!kuna harusi moja nilicheza kesho yake kazini naulizwa hivi ni wewe yule au!!!
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Kwenye sherehe huwa sinyanyuki kwenda kucheza kama wengine.Nikinyanyuka ni ule mziki kwenda kutoa zawadi au pongeze kwa wahusika na naenda nikitembea sichezi kama wengine,kujiachia kama wengine siwezi.Sasa kwenye harusi yangu sijui nitafanyaje,nikiwazaga hili nakosa majibu
Daaah kama mimi yan najitahidigi sana kukweka kucheza kwenye masherehe lakin nikiwaza swala la harusi naishiwa nguvu kabisaa stlye nayojua kucheza mimi ni kupiga makofi tuu
 
Yaani mimi mtu ambaye hajanizoea akipata nafasi ya kuwa karibu nami anaweza akahisi nina tatizo kubwa sana nalitafakari, kumbe mwenzie wala naenjoy zangu kufikiria tu
Hahah! Me kuna dada mmoja tulikua tumepanga nyumba moja aliniuliza kwann napenda kukaa ndan kama utumbo hakujua kama na enjoy kukaa peke angu
 
Daah nimeona Kama unaniongelea Mimi, nakuaga na Huruma Sana hasa mtu akilia shda Kama naweza kumsaidia, namsaidia.. napia naogopa kuwaambia watu ukweli.. coz I hate hurting them..[emoji2960]
Daah! Mzee hii hali sema ndo hivyo hatuwezi kujibadilisha
 
Hahah! Me kuna dada mmoja tulikua tumepanga nyumba moja aliniuliza kwann napenda kukaa ndan kama utumbo hakujua kama na enjoy kukaa peke angu eti ama utumbo

Hahah! Me kuna dada mmoja tulikua tumepanga nyumba moja aliniuliza kwann napenda kukaa ndan kama utumbo hakujua kama na enjoy kukaa peke angu
eti kama utumbo😄.Mimi nina uwezo wa kukaa ndani hata mwezi mzima peke yangu na huwa siboreki kabisa,cha msingi niwe na mahitaji yote muhimu ndani.Wakati mwingine kama sina ratiba ya kutoka hata mlango wa kwanza ili nitoke nje huwa sifungui mpaka kesho yake.Nikiwa likizo huwa naenjoy Sana.
Nikiwa na kitabu changu pembeni,bundle kwa simu,basi nipo zangu ndani natafakari weeeeeh naenjoy sana.
Pia sipendi kelele kabisa,yaani mtu akitaka kuniweza mimi wala asiniendee kwa mganga kuniroga aniletee kelele tu atakuwa amenimaliza.
 
Back
Top Bottom