Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yan we acha tu, tena huwa ni misemo yangu hiyo nimeiformulate ambayo ndio huwa inaniongoza ktk maisha yang ya kila siku na kiukweli huwa nachoma sana watu pale wanapotaka kunifanyia mambo meusiNilijua niko peke yangu katika hili...
With or without you, I shine
duu!!una miaka mingapi?dah hapana hata wanajilengesha nawaogopa sometimes hadi najiogopa mwenyewe
una demu?Dah, so sad I fall in this category. Hii haifai kwangu maana hata nashindwa kuomba msaada ninapokabiliwa na matatizo makubwa pengine nikafa najiona. Sijui niwaanzaje watu
Tuwaache waendelea kutokutuelewa Bora wenyewe tunajitambua inatosha [emoji3][emoji3]Hata Sijawahi kuelewa ila nadhani tutaelewana tu. Utakua katibu wa kikao. Mada ni jinsi gani tukabiliane na jamii hii ya extrovert
Utapata yule unayemtaka, niliwaza je namm nitakuja kupata aina ya mwanamke ninayemtaka but trust me,hakunaga kuchelewa ktk kutafuta au kutaka kile ambacho roho na moyo wako unapendaHapa kiongozi mim pamekuwa pagumu nikianzisha mahusiano sipendi yeyote ajue mpaka nijiridhishe kwamba yuko vzr kitabia cha ajabu nikiona makosa kidogo tu simwambii ikumbukwe hapo bado nimefanya siri, kwahyo direct najua kabisa huyu hanifaia nakoenda nako ndo hivohivo hata sijui nitapata mwansmke wa type gani.
Kamuulize, wenyewe angalau leo tumepata pa kujiliwaza wewe unataka kutulea ya Lisu, yupo JF muulize we vipi?Lissu yuko kundi gani?
Kwa me ni rahisi kupata mwenza, Ila Kwa ke ni ngumu kidogo hawatuelewi. jamaa wanapata shida kujieleza na mwisho wanaamua kutupa majina ya ajabu ajabu,Utapata yule unayemtaka, niliwaza je namm nitakuja kupata aina ya mwanamke ninayemtaka but trust me,hakunaga kuchelewa ktk kutafuta au kutaka kile ambacho roho na moyo wako unapenda
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] na wewe ni introvertpia hatujui kumnyenyekea mtu hata kama tuna shida
I find myself in every thing you said, bahati mbaya sasa mtaani niko peke yangu, hivyo ukuaji wangu umepitia changamoto nyingi sana ikiwemo abusiveness kama kutengwa,kuonewa,kusingiziwa, name calling, but nimekuja ku-emerge kama mtu ambaye ni fearless, so much ego, sipelekeshwi,najikubali, siongei sana, nafunguka na ni mcheshi na muongeaji hasa kwa watu nilionao karibu, nina huruma sana na ninaguswa na matatizo ya watu,dah nina upendo wa dhati mno na nadiriki kusema atakayekuja kuwa mke wangu atakuwa na bahati sana. Ila ktk yote vitu nisivyoweza weza kuvumilia ni uonevu,nilishawahi kukutwa na matukio ya kutaka kumkata mtu na panga,kurusha kisu, kumponda mtu na jiwe kubwa, na vingine vingi tu ila yote ni kuonewa ambako ndio siwezi kuvumilia hata kidgo. Nina marafiki wachache sana na ninaweza jitoa kwa ajili yao kwa hali zote za shida na raha.introverts wote wana sifa hizi
- Wana uwezo mkubwa kiakili (high intelligence Quotient)
- Ni wagunduzi wa mambo makubwa ya kisayansi
- Wanamudu vizuri masomo ya sayansi na hesabu
- Ni watu wenye pole pole na wasio na maneno mengi
- Wana hisia kali za upendo na ni kundi linalosadikika kuwa na upendo wa dhati
- Wanawajali sana wenzao hasa wanapokuwa katika shida na matatizo(i.e ndio maana hawa huwa waombaji –wanamaombi wazuri sana kiimani)
Sifa zao nyingine ni pamoja na;
- Wana huruma sana na hawapendi kuona wengine wakionewa
- Wanajitolea kwa haraka na kwa dhati katika mambo ya wengine
- Huondoa uchungu wao kwa machozi (wakiumizwa hulia haraka, hasa kwa upande wa wanawake/wasichana)
- Hawajiamini kwa mambo wanayoyafanya (hata wakiwa darasani si wepesi wa kunyoosha vidole ili kujibu maswali)
- Wanahesabu kushindwa kuliko kufanikiwa (mfano akitaka kuanzisha duka; badala ya kuwaza itakuwaje nikipata faida wanawaza itakuwaje kama duka litaibiwa ama kuungua moto, kwa maswali hayo anajikuta hata anafikia katika uamuzi wa kuahirisha uanzishaji wa mradi huo)
- Wakata tamaa wanapokosolewa.
- Wanapenda sana kutiwa moyo kiuhalisia.
Nyinginezo ni;
- Wanapenda kusoma, kusikiliza, na kusimulia mambo yenye tafakari na uchambuzi wa kina (hawapendi umbea)
- Wanapotoa mawaidha mahubiri ama ushauri wengi(wanaosikiliza) huwa wanaguswa nao na hubadilika haraka kutokana na mawaidha hayo ama ushauri ama mahubiri hayo.
- Hawapendi kuvunja taratibu, sheria za eneo husika.
- Wanapenda usafi na mpangilio mzuri wa vitu vyao
- Ni wa vumilivu sana katika hali mbalimbali (mfano wanapoonewa ama kuumizwa).
- Hawapendi kufuatilia mambo ya wengine pasipo sababu za msingi.
- Ni kundi mojawapo linaloathiriwa sana na magonjwa ya mashinikizo kutokana na kuwa wanawaza sana.
- Ni wagumu wa kusahau na hiyo imewasababishia kuwa wagumu wa kusamehe.
- Wanaumia sana wanapokosea ama kushindwa jambo Fulani
Pia, wanafahamika kwa;
- Wanajeruhika mioyo yao kirahisi (i.e wakiingiwa na pepo wabaya si rahisi kuwatoka kwa sababu ya kutunza uchungu kwa muda mrefu mioyono mwao)
- Wana busara na hekima nyingi
- Ni watu ambao wakiishika imani fulani wanajitahidi kuitimiliza sheria yote.
- Ni wepesi wa kutubia makosa yao na kutubu kwa ajili ya wengine.
- Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao
- Ni kundi la watu wanoridhika haraka
- Masikini wengi kiuchumi duniani ni wa kutoka katika kundi hili kutokana na uoga wao wa kuanzisha mambo kwa kuhofia kushindwa.
- Watoto wanaozaliwa katika kundi hili inasadikiwa ni wengi huwa na ndoto za kufanikiwa mapema lakini ni wachache mno ambao huweza kutimiliza ndoto zao kutoka na uoga wa kuanzilisha mambo mapya.
- Kundi linalopenda amani na utulivu
- Wanaogopa sana matatizo, vikwazo na changamoto
- Katika familia baba na mama wakiwa melancolin upo uwezekano mkubwa kwa watoto kuharibika maadili kwa sababu hawa melancolin si wepesi wa kuadhibu.
Wana sifa nyingi sana, nyinginezo ni;
- Mara nyingi hupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa
- Hawapendi kumueleza kila mtu mambo yao binafsi
- Ni kundi la watu wenye marafiki wachache
- Wakati mwingine hupenda kujikataa.
- Ni waaminifu na wasema ukweli
- Wanapenda kusaidia wengine kupita hata uwezo wao
- Ni waaminifu sana kwa mambo ya kawaida na yale ya kiimani
- Hawapendi kujionesha mbele ya macho ya watu
- Hawa hawafai kuwa viongozi (si wazuri sana) kwa sababu wanapenda kusikiliza na kutafakari kila wanachoshauriwa hivyo hujikuta kuwa wanayumba kimisimamo. (mfano kama mkurugenzi/mwenyekiti wa eneo Fulani akiwa ni melancolin yafaa sana msaidizi wake awe ni colerick
Kingine kinachowanyima sifa ya kuwa viongozi wazuri ni kutokuwa na uwezo wa kujieleza kwa kujenga hoja zenye ushawishi mkubwa [Musa wa biblia alikuwa ni mmoja ya watu wa kundi hili, alikuwa hajiamini, anakata tamaa mapema, mlalamishi, asiyeweza kujieleza, licha ya kupewa msaidizi na Mungu bado tabia zake zilimuathiri na akajikuta anakosa nchi ya ahadi-Kaanani].
- Wanauhesabu upendo wa dhati kutokana na mambo wanayofanyiwa na sio kuambiwa (wanafurahia sana vitendo kuliko maneno}
- Kwa upande wa wasichana inasemekana kuwa ndio ambao wanasumbuliwa zaidi na maumivu ya hedhi, na kujifungua.
Mimi ni keAmen brother..
Tumefanana, uonevu kwangu ni mwikoI find myself in every thing you said, bahati mbaya sasa mtaani niko peke yangu, hivyo ukuaji wangu umepitia changamoto nyingi sana ikiwemo abusiveness kama kutengwa,kuonewa,kusingiziwa, name calling, but nimekuja ku-emerge kama mtu ambaye ni fearless, so much ego, sipelekeshwi,najikubali, siongei sana, nafunguka na ni mcheshi na muongeaji hasa kwa watu nilionao karibu, nina huruma sana na ninaguswa na matatizo ya watu,dah nina upendo wa dhati mno na nadiriki kusema atakayekuja kuwa mke wangu atakuwa na bahati sana. Ila ktk yote vitu nisivyoweza weza kuvumilia ni uonevu,nilishawahi kukutwa na matukio ya kutaka kumkata mtu na panga,kurusha kisu, kumponda mtu na jiwe kubwa, na vingine vingi tu ila yote ni kuonewa ambako ndio siwezi kuvumilia hata kidgo. Nina marafiki wachache sana na ninaweza jitoa kwa ajili yao kwa hali zote za shida na raha.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
You are me in other dimensionI find myself in every thing you said, bahati mbaya sasa mtaani niko peke yangu, hivyo ukuaji wangu umepitia changamoto nyingi sana ikiwemo abusiveness kama kutengwa,kuonewa,kusingiziwa, name calling, but nimekuja ku-emerge kama mtu ambaye ni fearless, so much ego, sipelekeshwi,najikubali, siongei sana, nafunguka na ni mcheshi na muongeaji hasa kwa watu nilionao karibu, nina huruma sana na ninaguswa na matatizo ya watu,dah nina upendo wa dhati mno na nadiriki kusema atakayekuja kuwa mke wangu atakuwa na bahati sana. Ila ktk yote vitu nisivyoweza weza kuvumilia ni uonevu,nilishawahi kukutwa na matukio ya kutaka kumkata mtu na panga,kurusha kisu, kumponda mtu na jiwe kubwa, na vingine vingi tu ila yote ni kuonewa ambako ndio siwezi kuvumilia hata kidgo. Nina marafiki wachache sana na ninaweza jitoa kwa ajili yao kwa hali zote za shida na raha.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Sina, kwann unauliza hivo ?una demu?
Naweza nikawa beast kwa hili,yan nakuwa mtu mwingine kabisaTumefanana, uonevu kwangu ni mwiko
Na wengi wanaonizunguka ni extrovert sometimes tunagombana maana misimamo yangu na ya kwao inakinzana, lakn nimeshaambiwa sana kuwa mwisho wa siku they need a friend like meYou are me in other dimension
kwasababu huwezi kujichanganya introvertSina, kwann unauliza hivo ?