Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Kuna mpangaji wangu ananilipaga akitaka na wakati mwingine mambo yanakua yamenityt sana. nimeamua kumfujuza kisa siwezagi kumdai some tym nikimuona namkwepa... Dah!! Na bado hajahama ndio napanga kuwakabidhi madalali wamalizane nae.
Hahahahaaa dah hatari sana
 
Hahahaaa lo...no mercy au siyo
 
Mimi mpekuzi sana , sifa zite hizo nahisi 80% ninazo ,ila nasikitika kuwa introvert i need to be extro maan -*
-naweza shindwa omba msaada nikihitahi
-nashindwa jieleza sana mbele za watu...lakin mtandaon naandika natililika
-natafakari kuzidi uwezo ,kila kitu natafakari kwa kina.
-Napekua mambo mengi ambay yanawez yasinsaidie direct
-Nachagua sana marafiki
-nashindwa interact

Kuwa introvert sometimes ni mateso
 
Ni kweli mimi mwenyewe nilichelewa sana mahusiano.
Mimi nilipata demu wa kwanza na kumvua nguo nikiwa chuo na umri wa miaka 25.
Nilioa nikiwa na miaka 34
Naon kama naelekea kuchelew kuoa km ww...yaan hata interaction na warembo zero....hahaaha
 
Jitahidi uoe mdogo wangu,kucjelewa kuoa madhara yake ni makubwa sana mimi nimeyashuhudia
Madhara gan mkuu,tusaidie kwa faida ya wengi!!! Yaan naona km ntamsumbua mwanamke kwa sasa, im bisy na most of time i fall in love to be alone
 
Jaman leo introvert ni siku yetuu

It’s January 2nd here and I just wanted to say Happy world introverts day, friends ☺️🌻💖
 

Attachments

  • FB_IMG_1609564938986.jpg
    44.8 KB · Views: 21
Hii inanikuta sana mkuu, imagine upo mpweke ukiletewa watu unatamani kuwakimbia. Ukiwa peke yako tena kuna muda unatamani uwe na watu. Ukijaribu kubadilika ndo unaharibu kabisa.

Sent using Samsung J1
 
Mimi rafiki zangu wa kike huwa wananijua, wakiniudhi wanashangaaga tu niko kimya na huwa siwaambii kama wameniudhi ila ile hali ya kupungua kwa interaction huwafanya wanitafute kwa kasi na wakati mwingine wananifuata kazini na kuulizia shida nn.

Sent using Samsung J1
 
I see me here.

Sent using Samsung J1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…