Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Kuna mpangaji wangu ananilipaga akitaka na wakati mwingine mambo yanakua yamenityt sana. nimeamua kumfujuza kisa siwezagi kumdai some tym nikimuona namkwepa... Dah!! Na bado hajahama ndio napanga kuwakabidhi madalali wamalizane nae.
Hahahahaaa dah hatari sana
 
Kwaniaba ya familia tunasema asante.

Mazingira yamesaidia kidogo kuwa na mazoea nao coz wapangaji ndio majirani zangu... ilichukua muda sana kuzoeana nao na bado hata mazoea tuliyo nayo ni ya salaam tuu coz bado hawajaweza kunizoea watakavyo zaidi ya mimi nitakavyo.

ninachowashangaza kama ni issue yakupeana misaada ya kijamii najitoa kwa hali na mali na ikiwa ni issue wanezingua nawazingua live na katika mazingira ambayo hawayategemei..

Mfano japo nashindwaga kudai pindi wacheleweshapo kodi ila ninapokua katika kulizungumzia hilo nawabadirikia kabisa... kama hapa nimekomaa waondoke tena nimejataa na kodi yao ya mwezi huu kiasi wamemtumia hadi balozi ila binafsi roho yangu imekataa kabisa na nimewaambia hata miezi.miwili yakutafuta pakukaa nawapa wakae bure ila kwangu wasepe kisa kuchelewa kunilipa...

Kutokana na kulialia kwao nimewakabidhi madalali watafute mpangaji na nimewaambia ukifika muda niliowapa kuhama wawe wamehama mi nimejipa safari nitarudi wakishahama nisije kuwaonea huruma bure.
Hahahaaa lo...no mercy au siyo
 
Mimi mpekuzi sana , sifa zite hizo nahisi 80% ninazo ,ila nasikitika kuwa introvert i need to be extro maan -*
-naweza shindwa omba msaada nikihitahi
-nashindwa jieleza sana mbele za watu...lakin mtandaon naandika natililika
-natafakari kuzidi uwezo ,kila kitu natafakari kwa kina.
-Napekua mambo mengi ambay yanawez yasinsaidie direct
-Nachagua sana marafiki
-nashindwa interact

Kuwa introvert sometimes ni mateso
Naongezea sifa zengne tulizo nazo ma introvert...

1-: hatujui kuchagua vitu hasa rangi au umbo....yaani unaweza ukatoka nyumban kwenda dukan kununua labda nguo aina flan rangi flani ile nguo ukaikosa apo Sasa muuzaji anaweza akakuuzia rangi yyte ata usiopenda na ukashindwa ata kukataa...unalipa unasepa uku ukijifariji.

2-:wapekuzi sana wa mambo yaani Kama unamauhusiano na bint utampekua bila yeye kujua adi mambo yasiopekurika mwsho wa sku huwa tunabaki na siri moyoni wala hatuwaambii wale tulio wapekua..

3-: hatupendi kutishwaa....mfano kutishwa utoe kitu fulani ili upate kitu fulani,

4-:hatuwezi kusimulia vtu kwa mdomo...tunaweza tukasoma vtu tukavielewa Ila Kwenye kuvipresent tukashindwa.

5:- huwa tunatamani tuwe tofauti na tulivyo Ila tunajikuta tupo hvyohvyo,usipojijua utabaki unaishi maisha ya kuiga tu.

6-:tunapenda Sana kufanya mapenzi Ila hatupendi tuonekane katk hali hyo...

7-: wapenzi wetu Mara nyingi ni wale marafiki zetu wa karbu sana...tulio wazoea ndo hao hao tunawatongoza.
 
Ni kweli mimi mwenyewe nilichelewa sana mahusiano.
Mimi nilipata demu wa kwanza na kumvua nguo nikiwa chuo na umri wa miaka 25.
Nilioa nikiwa na miaka 34
Naon kama naelekea kuchelew kuoa km ww...yaan hata interaction na warembo zero....hahaaha
 
Jitahidi uoe mdogo wangu,kucjelewa kuoa madhara yake ni makubwa sana mimi nimeyashuhudia
Madhara gan mkuu,tusaidie kwa faida ya wengi!!! Yaan naona km ntamsumbua mwanamke kwa sasa, im bisy na most of time i fall in love to be alone
 
Jaman leo introvert ni siku yetuu

It’s January 2nd here and I just wanted to say Happy world introverts day, friends ☺️🌻💖
 

Attachments

  • FB_IMG_1609564938986.jpg
    FB_IMG_1609564938986.jpg
    44.8 KB · Views: 21
Dah aisee.

Mawazo, kuwaza Sana hii Hali inaniumiza sana. Nina marafiki wachache na sio mwepesi kushare kila kitu kwa watu.

Sio mwepesi kumzoea mtu, mara nyingi niko kimya, huwezi kunikuta vijieweni mara nyingi.

Kazini dereva wangu ni muongeaji Sana lakini kuna musa naona ananiboa Mana nakua kimya nikitafakari mambo mengi kichwani.

I hate this situation yani,I'm not happy wakati sitakiwi kuwa hivi.

Kipindi flani niko chuo nilienda hospital moja,daktari alivyoniona akaniita akaniuliza unawaza nini?akanipa ushauri na kunisihi nipunguze mawazo,haya maisha yapo tu.its almost 5 years lkn bado nakumbuka ushauri wake.


Sometimes nachukia kuwa introvert Mana nahisi najiua kimya kimya.
Hii inanikuta sana mkuu, imagine upo mpweke ukiletewa watu unatamani kuwakimbia. Ukiwa peke yako tena kuna muda unatamani uwe na watu. Ukijaribu kubadilika ndo unaharibu kabisa.

Sent using Samsung J1
 
Hivi kushindwa kusamehe ni tabia ya introvert pia au ni litabia langu tu libaya?. Binafsi huwa sio mtu wa kukasirika kirahisi, mtu anaweza kunifanyia kitu kibaya sana na nikawa namchekea tu. Ila ikitokea siku nikakasirika, hiyo ndo nitolee....hata atembee kwa magoti kutoka kwake hadi nilipo siwezi hata kifikiri kumsamehe.


Huu ni mwezi sasa tangu rafiki yangu wa karibu sana (jinsia ke) anitamkie kauli ambayo sikuipenda (si kauli mbaya sana kiasi hicho na nadhani alisema katika hali ya kunitania), kuanzia siku hiyo nilamfungia vioo. Ametuma meseji kibao akiniomba lakini sijajibu hata meseji moja na sina mpango wa kujibu, amepiga simu sana lakini sipokei na sina mpango wa kupokea. Mpango nilionao ni kumwondoa mbali kabisa na maisha yangu.


Yeye ndiye alikuwa alikuwa rafiki yangu wa pekee wa kike. Tumepitia nyakati nzuri sana na yeye tukiwa kama marafiki wa karibu.


Sasa hivi nimebaki mwenyewe tena, nikiwa alone ni mwendo wa kubadili vifaa tu. Mara nishike simu, mara nishike peni na daftari, mara nitupe peni nichukue penseli, mara nishike pc, mara nishike kitabu.


Ila napenda jinsi nilivyo.
Mimi rafiki zangu wa kike huwa wananijua, wakiniudhi wanashangaaga tu niko kimya na huwa siwaambii kama wameniudhi ila ile hali ya kupungua kwa interaction huwafanya wanitafute kwa kasi na wakati mwingine wananifuata kazini na kuulizia shida nn.

Sent using Samsung J1
 
Mimi maisha yananibadilisha, now ni introvert niliyechangamka.

Kilichobaki ni kutokuweza kuchangamana na watu kabisa, kutumia muda mwingi peke yangu, mtu akiwa hanipi amani namuondoa kabisa kwenye maisha yangu. Kukaa kimya kunazidi kupungua now mtu akinikera Nampa live.

Napata amani zaidi nikiwa peke yangu
I see me here.

Sent using Samsung J1
 
Back
Top Bottom