Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Fellow introvert leo mmeenda viwanja gani kusherekea valentine na watu wenu
 
Hauko peke yako Mimi pia Niko hivyo nachukia sana kua hivyo Ila niliumbwa hivyo jamii inatakiwa ielewe kua tumeumbwa tofauti
 
Jitahidi kujichanganya na watu ndugu zangu...
Mimi nakosa mengi sana kwa hali hii[emoji22]
Hahaha ndugu, kwa nini usianze wewe kujichanganya? Dah... Mimi nilishafika age ya kuoa, Ila sina mahusiano wala ukaribu na mdada yeyote na nilishazoea hivi. Wadogo zangu walishaoa Mimi bado...! Tutajua mbele ya safari.
 
Weee mganga wewe
 
Haya yote umeyajulia wapi?
 
Jitahidi kujichanganya na watu ndugu zangu...
Mimi nakosa mengi sana kwa hali hii😢
Jikubali mkuu cause you have nothing to lose
Mi najikubali jinsi nilivyo japo home wananisema sana but I can't run from myself. To change the way I am is too risk for me , and I can't afford it.
I don't want to fake the real me
 
Jikubali mkuu cause you have nothing to lose
Mi najikubali jinsi nilivyo japo home wananisema sana but I can't run from myself. To change the way I am is too risk for me , and I can't afford it.
I don't want to fake the real me
Mimi mwenyewe napenda kua mimi I'm very Certain person. I preserve the Inner Me. Naona tu changamoto ambazo hua nakutana nazo ndio maana nawaambia wengine wajichanganye. The world is UnComfortable to people like Us
 
Mimi mwenyewe napenda kua mimi I'm very Certain person. I preserve the Inner Me. Naona tu changamoto ambazo hua nakutana nazo ndio maana nawaambia wengine wajichanganye. The world is UnComfortable to the people like Us
By the way, vipi kwenye swala la kuoa/kuolewa kwa upande wako au wewe unaonaje? Namaanisha, kwa upande wangu naona kama nabagua mno, nikiongea na mtu nataka na yeye awe na level kubwa/ya juu kwenye kuekewa mambo mbalimbali. Napenda mtu awe anajiuliza (reasoning), au walau awe na njaa ya kujifunza na kutamani kujua mambo mbalimbali. Hiyo imenifanya kuwa mbali na watu wa upande wa pili. Na taking into consideration kuwa, nachukulia mwenzangu kama ndio atakuwa rafiki yangu wa karibu, hivyo hii tabia ya Mimi kuwa na maswali mengi, yasiyoisha, inaweza kupelekea Mimi kuona huyo mtu in mzigo. Au, yeye anaweza kuona kama namnyanyasa kwa sababu ya elimy nk. Wewe una mtazamo gani katika hili kaka? Naomba elimu tafadhali.

Natanguliza shukrani kaka.
 
Nipe muda nitakurudia mate...✌️
 
Mate very sorry for taking too long to answer you ✌️
Firstly I'm not fond to sex... It's my last thing to regard when. Anyway niishie hapa!
Napenda Mpenzi wangu awe zaidi ya rafiki, nimpende nae anipende back tushee vitu (materials) na maarifa mbalimbali. Nikipenda mtu hua Napenda mtu mmoja tu..

Binafsi hua ninaangalia vitu vitatu ili nimpende mtu Deeply and Madly.
✓Smartness, hua napenda sana mwanamke Inteligent ambae mkikaa mnaongea mnajadiri vitu kwa utashi na akili sio kukaa tunaongea umbea au maisha ya Insta n the likes.
Namuheshimu sana mwanamke nayeweza kukaa tukajadili Imani,sayansi,Uchumi nk nk.. Napenda sana kujibu maswali hivuo basi hua napenda mwanamke anayeweza kuunda maswali technical kutoka field yoyote.

✓✓Being Humble
Mimi ni mtu mpole na mtulivu napenda pia nawake wa aina hii.. Mwanamke mwenye aibu zake na heshima sio kila kitu anaongea bila kujali wewe utachukulia vipi. Napenda mambo yangu kuyatatua kwa njia ya amani na upendo. Hivyo nikiona mwanamke anaweza kubishana na watu wawili au zaid hua namkwepa sana.

✓✓✓Kindness
Hapa ndio niko mbovu sana ukiwa mwema tu hata uwe mbaya kivipi mm nakupenda hadi nakufa..sioni sisikii coz I do believe that Mwanadamu wa kweli ni yule anayesikia maumivu ya mwenzake na kuyafanyia kazi. Ukinifanyia wema au kunijali basi nakupeeeenda sana.

Mkuu kuhusu wewe kua unapenda watu wa hivyo na unaona labda inakukosesha mengi wala usijali mate... That's You.
Kumbuka unapata kile tu unachokitafuta.. Referring uzi wa wangu ule Mind, Subconscious mind Cache and Cookies.
Kama unawapenda Inteligent Woman shikilia hapohapo soon utakua unawapata wa aina hiyo tu..Ila tu usijichnagnye ukachukua wasio na vigezo uvipendavyo for the sake of Sex..Utaharibu

Hopefully nimejaribu kujibu
 
Naam, nimekuelewa vema kaka, hasa pointi ya kwanza, huwa pana utata sana kwangu, kwa sababu kama ulivyoandika, sina marafiki kabisa...wa kiume wala wa kike. Nilikuwa nasita kwa muda mrefu kujiingiza mwenye mahusiano na wadada ambao nikiongea bao, naona kama wanaangalia mambo bila kuwa na mtazamo mpana, wanaangalia walipo tu.

Duuh umeishia njiani kwenye eneo la sex, kwa upande wangu, sijaoa...na hata sasa nimejiepusha na hicho kitu kwa miaka sasa, mwanamke mwenye akili, busara na hadhari ndiye atakayenifanya nivutiwe...tofauti na hivyo, ....! Naam, nashukuru mno ndugu.
 
bado introvert?
 
umeelezea vizuri sana.mengi yapo correct
isipokuwa machache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…