mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mimi zamani nilikuwa hivyo sasa kwa sababu niko na aibu kujumuika na watu live ikanibidi nifosi mitandaoni iwe ndio sehemu yangu ya kunifariji nikiwa idle.Mi mwenyewe facebook ilianza hivo hivo mwisho wa siku nikafuta na acount yenyewe[emoji1787][emoji1787]
Kiukweli imenisaidia sana kwani nimejifunza mambo mengi sana kuhusu fursa mbalimbali,kujuana na watu wa nchi mbalimbali na hata kazi zangu huwa nazipata kupitia mitandao.