Lecheminduroi
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 1,183
- 3,584
Bongo hakuna introverts ni mmejaa kiburi na ubinafsi tu!
Mkibisha bisheni ila mitaani si tunawaona huku
Mkibisha bisheni ila mitaani si tunawaona huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo introverts wanazaliwa wapiBongo hakuna introverts ni mmejaa kiburi na ubinafsi tu!
Mkibisha bisheni ila mitaani si tunawaona huku
Yeah! Unakuta eti msichana anakuambia "mimi nakuogopa", yaani huyu no. yake siikawizi, nafutilia mbalu.Hata mimi nilikuwa najiuliza maswali yako inakuwa kama aibu au kauoga fulani,kwamba akinikataa itakuwaje.
Kwa hiyo sasa hivi ninachofanya natongozea mbali na nyumbani ili kuikwepa hiyo aibu.
Ila mafisi wenyewe huwa hawajali hata wakikataliwa wanakomaa tu tena wanajionyesha live mbele za watu kabisa.
Hiyo hali inatesa sana naijua vizuri unakuta confidence huna ya kuapproach na watu hawajui hilo wanakuchukia na kukuita mkoloni
Hahahahahahahah halafu unakosea kusema ukweli direct hivyo.Bongo hakuna introverts ni mmejaa kiburi na ubinafsi tu!
Mkibisha bisheni ila mitaani si tunawaona huku
Kuna mademu wengine ambao nilitongezea mbali utakuta umemuita mahali kwa ajili ya stori baada ya muda kidogo anauliza"Wewe ni askari au usalama wa taifa" unamjibu hapana bado anasisitiza wewe lazima utakuwa askari au mpelelezi,nachukiaga sanaYeah! Unakuta eti msichana anakuambia "mimi nakuogopa", yaani huyu no. yake siikawizi, nafutilia mbalu.
Kweli wewe ni introvert, hata mimi mara kadhaa huulizwa hivyo hivyo. Tuna-share vingi!Kuna mademu wengine ambao nilitongezea mbali utakuta umemuita mahali kwa ajili ya stori baada ya muda kidogo anauliza"Wewe ni askari au usalama wa taifa" unamjibu hapana bado anasisitiza wewe lazima utakuwa askari au mpelelezi,nachukiaga sana
Ndio hvyo mkuu tuna vitu vingi sana common japo watu wanafikiri tunaigiza humu.Kweli wewe ni introvert, hata mimi mara kadhaa huulizwa hivyo hivyo. Tuna-share vingi!
For sure kwenye hili mimi ni shahidi, hatuigizi bali tunafanana kitabia, hatu-pretend bali tupo hivi, japo kuna watu wanaitumia title ya u-introvert kufanya vitu tofauti, pia wengine huamua tu kujipachika jina la introvert na kuanza kwa makusudi mazoezi ili awe introvert!Ndio hvyo mkuu tuna vitu vingi sana common japo watu wanafikiri tunaigiza humu.
Soma title ya uzi ndio uje u comment.Humu leo wote ni introverts? Haishangazi ila ni ajabu kidogo, kwa hiyo hakuna extroverts sio? Hapa ndipo ninapojifunza kuwa Waafrika walio wengi ni pretenders na hawana misimamo. Yaani kwa kuwa tu introverts wengi wanasifika kuwa smart, wana akili, ma-geneus, wabunifu n.k? Ingekuwa thread
Mbona unateseka kaka🤣🤣🤣Bongo hakuna introverts ni mmejaa kiburi na ubinafsi tu!
Mkibisha bisheni ila mitaani si tunawaona huku
Kama hilo la askari au usalama wa taifa linanisumbua sana huku mtaani kwangu na kuna sehem huwa naenda jirani na hapo kuna watu wanala bangi mbaya kuna siku nimefika hapo kumuulizia mwenyeji wangu bac jamaa wakapata hofu kwamba nimekuja kuwapeleleza walinijibu dry ikabidi niondoke mwenyeji wangu aliporudi wakamwambia mbona unatuletea askari ikabidi jamaa aje aniulize tena kama mimi ni askari nikamwambia hapanaKuna mademu wengine ambao nilitongezea mbali utakuta umemuita mahali kwa ajili ya stori baada ya muda kidogo anauliza"Wewe ni askari au usalama wa taifa" unamjibu hapana bado anasisitiza wewe lazima utakuwa askari au mpelelezi,nachukiaga sana
Hatari sana watu hawana amani na sisi mkuuKama hilo la askari au usalama wa taifa linanisumbua sana huku mtaani kwangu na kuna sehem huwa naenda jirani na hapo kuna watu wanala bangi mbaya kuna siku nimefika hapo kumuulizia mwenyeji wangu bac jamaa wakapata hofu kwamba nimekuja kuwapeleleza walinijibu dry ikabidi niondoke mwenyeji wangu aliporudi wakamwambia mbona unatuletea askari ikabidi jamaa aje aniulize tena kama mimi ni askari nikamwambia hapana
Na hata kwenye mahusiano huwa tunajudge vitu vidogo ndio maana mahusiano yetu huwa ayadumu na huwa tuna misimamo na atutaki kujishushaHatari sana watu hawana amani na sisi mkuu
Imenitokea hiyo mkuu yaani nakuwa nachambua vitu vidogo vidogo vya past,present na kupredict future events yaani kabla vitu havijafanyika naanza kuunga matukio hadi napata majibu kwamba huyu wife ana mpango wa kufanya vitu fulani mwezi ujao halafu mimi navikwepesha.Na hata kwenye mahusiano huwa tunajudge vitu vidogo ndio maana mahusiano yetu huwa ayadumu na huwa tuna misimamo na atutaki kujishusha
Ndio hivyo mkuu yani kwenye uspy tuko vzr tunatumia akili zaidi kuliko na tunaweza kumsoma mtu anachopanga kufanyaImenitokea hiyo mkuu yaani nakuwa nachambua vitu vidogo vidogo vya past,present na kupredict future events yaani kabla vitu havijafanyika naanza kuunga matukio hadi napata majibu kwamba huyu wife ana mpango wa kufanya vitu fulani mwezi ujao halafu mimi navikwepesha.
Sasa wanawake huwa wanaumia sana ukiwafuatilia na kuwashtukia mitego yao
Sisi ni watu wa kujiuliza sana kabla ya kuchukua maamuzi kitu ambacho kinatufanya tuchelewe kwa upande mwingine na hata kumtongoza dem huwa tunajiuliza sana kama akikumwaga itakuwaje kitu ambacho kinatufanya madem wengi tunaofahamiana tunawalia macho tu kwa kigezo cha kuogopa kumwagwa🤣🤣🤣🤣Imenitokea hiyo mkuu yaani nakuwa nachambua vitu vidogo vidogo vya past,present na kupredict future events yaani kabla vitu havijafanyika naanza kuunga matukio hadi napata majibu kwamba huyu wife ana mpango wa kufanya vitu fulani mwezi ujao halafu mimi navikwepesha.
Sasa wanawake huwa wanaumia sana ukiwafuatilia na kuwashtukia mitego yao
kwenye sehemu zangu za kazi ninazopita watu huwa wananiogopa wanafikiri mimi mchawi,yaani kwa mfano ikitokea maboss wameandaa kikao cha kimya kimya bila kunishirikisha huwa nina uwezo wa kutabiri mada zilizoongelewa bila kuhudhuria kikao,halafu kama kuna mtego wanataka kunitegea naukwepa.Ndio hivyo mkuu yani kwenye uspy tuko vzr tunatumia akili zaidi kuliko na tunaweza kumsoma mtu anachopanga kufanya
Lakini hii staili kuna muda huwa inatuokoaga sana na majanga.Sisi ni watu wa kujiuliza sana kabla ya kuchukua maamuzi kitu ambacho kinatufanya tuchelewe kwa upande mwingine na hata kumtongoza dem huwa tunajiuliza sana kama akikumwaga itakuwaje kitu ambacho kinatufanya madem wengi tunaofahamiana tunawalia macho tu kwa kigezo cha kuogopa kumwagwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]