Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Bongo hakuna introverts ni mmejaa kiburi na ubinafsi tu!

Mkibisha bisheni ila mitaani si tunawaona huku
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza maswali yako inakuwa kama aibu au kauoga fulani,kwamba akinikataa itakuwaje.
Kwa hiyo sasa hivi ninachofanya natongozea mbali na nyumbani ili kuikwepa hiyo aibu.
Ila mafisi wenyewe huwa hawajali hata wakikataliwa wanakomaa tu tena wanajionyesha live mbele za watu kabisa.
Hiyo hali inatesa sana naijua vizuri unakuta confidence huna ya kuapproach na watu hawajui hilo wanakuchukia na kukuita mkoloni
Yeah! Unakuta eti msichana anakuambia "mimi nakuogopa", yaani huyu no. yake siikawizi, nafutilia mbalu.
 
Kuna mademu wengine ambao nilitongezea mbali utakuta umemuita mahali kwa ajili ya stori baada ya muda kidogo anauliza"Wewe ni askari au usalama wa taifa" unamjibu hapana bado anasisitiza wewe lazima utakuwa askari au mpelelezi,nachukiaga sana
 
Kweli wewe ni introvert, hata mimi mara kadhaa huulizwa hivyo hivyo. Tuna-share vingi!
 
Ndio hvyo mkuu tuna vitu vingi sana common japo watu wanafikiri tunaigiza humu.
For sure kwenye hili mimi ni shahidi, hatuigizi bali tunafanana kitabia, hatu-pretend bali tupo hivi, japo kuna watu wanaitumia title ya u-introvert kufanya vitu tofauti, pia wengine huamua tu kujipachika jina la introvert na kuanza kwa makusudi mazoezi ili awe introvert!
 
Humu leo wote ni introverts? Haishangazi ila ni ajabu kidogo, kwa hiyo hakuna extroverts sio? Hapa ndipo ninapojifunza kuwa Waafrika walio wengi ni pretenders na hawana misimamo. Yaani kwa kuwa tu introverts wengi wanasifika kuwa smart, wana akili, ma-geneus, wabunifu n.k? Ingekuwa thread
Soma title ya uzi ndio uje u comment.
 
Kuna mademu wengine ambao nilitongezea mbali utakuta umemuita mahali kwa ajili ya stori baada ya muda kidogo anauliza"Wewe ni askari au usalama wa taifa" unamjibu hapana bado anasisitiza wewe lazima utakuwa askari au mpelelezi,nachukiaga sana
Kama hilo la askari au usalama wa taifa linanisumbua sana huku mtaani kwangu na kuna sehem huwa naenda jirani na hapo kuna watu wanala bangi mbaya kuna siku nimefika hapo kumuulizia mwenyeji wangu bac jamaa wakapata hofu kwamba nimekuja kuwapeleleza walinijibu dry ikabidi niondoke mwenyeji wangu aliporudi wakamwambia mbona unatuletea askari ikabidi jamaa aje aniulize tena kama mimi ni askari nikamwambia hapana
 
Hatari sana watu hawana amani na sisi mkuu
 
Na hata kwenye mahusiano huwa tunajudge vitu vidogo ndio maana mahusiano yetu huwa ayadumu na huwa tuna misimamo na atutaki kujishusha
Imenitokea hiyo mkuu yaani nakuwa nachambua vitu vidogo vidogo vya past,present na kupredict future events yaani kabla vitu havijafanyika naanza kuunga matukio hadi napata majibu kwamba huyu wife ana mpango wa kufanya vitu fulani mwezi ujao halafu mimi navikwepesha.
Sasa wanawake huwa wanaumia sana ukiwafuatilia na kuwashtukia mitego yao
 
Ndio hivyo mkuu yani kwenye uspy tuko vzr tunatumia akili zaidi kuliko na tunaweza kumsoma mtu anachopanga kufanya
 
Sisi ni watu wa kujiuliza sana kabla ya kuchukua maamuzi kitu ambacho kinatufanya tuchelewe kwa upande mwingine na hata kumtongoza dem huwa tunajiuliza sana kama akikumwaga itakuwaje kitu ambacho kinatufanya madem wengi tunaofahamiana tunawalia macho tu kwa kigezo cha kuogopa kumwagwa🤣🤣🤣🤣
 
Ndio hivyo mkuu yani kwenye uspy tuko vzr tunatumia akili zaidi kuliko na tunaweza kumsoma mtu anachopanga kufanya
kwenye sehemu zangu za kazi ninazopita watu huwa wananiogopa wanafikiri mimi mchawi,yaani kwa mfano ikitokea maboss wameandaa kikao cha kimya kimya bila kunishirikisha huwa nina uwezo wa kutabiri mada zilizoongelewa bila kuhudhuria kikao,halafu kama kuna mtego wanataka kunitegea naukwepa.
 
Sisi ni watu wa kujiuliza sana kabla ya kuchukua maamuzi kitu ambacho kinatufanya tuchelewe kwa upande mwingine na hata kumtongoza dem huwa tunajiuliza sana kama akikumwaga itakuwaje kitu ambacho kinatufanya madem wengi tunaofahamiana tunawalia macho tu kwa kigezo cha kuogopa kumwagwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lakini hii staili kuna muda huwa inatuokoaga sana na majanga.
Kwa mfano unakuta upo kitaa au ugenini unaona bonge la demu linajipitishapitisha ila unakausha tu then baada ya miezi kadhaa anatokea mshikaji anakwambia umeona yule demu huwa anapitapita hapa yule ana ngoma,unashika kichwa na kumshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom