mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Mimi zamani nilikuwa hivyo sasa kwa sababu niko na aibu kujumuika na watu live ikanibidi nifosi mitandaoni iwe ndio sehemu yangu ya kunifariji nikiwa idle.Mi mwenyewe facebook ilianza hivo hivo mwisho wa siku nikafuta na acount yenyewe[emoji1787][emoji1787]
Extroverts ni rahisi kuwaspy ukiwavimbisha kichwa tu wanaropoka yote.Alafu sasa kuwaspy exroverts very simple, hawaoni tabu kubwabwaja, ila ssa kuwaspy introverts uwe na akili ya ziada, hawachelewi kukushtukia
Hahahahaha, umetisha mkuuExtroverts ni rahisi kuwaspy ukiwavimbisha kichwa tu wanaropoka yote.
Utasikia wakiongea"Mimi ni mtu hatari sana,kuna fala mmoja kajichanganya nikamchukulia hela yake"
Alafu sasa kuwaspy exroverts very simple, hawaoni tabu kubwabwaja, ila ssa kuwaspy introverts uwe na akili ya ziada, hawachelewi kukushtukia
Huyo jamaa level nyingine, nimemvulia kofiaHuyu jamaa anaeweza kuwashawishi wanawake mpaka wakavua nguo huko huko walipo akiwa nyuma ya keybord[emoji1787][emoji1787]
Nyuma ya keybord sisi ni wajuaji kweli kweli na tuna maneno mengi balaa kwa hapo sidhani kama kuna watu wanatushinda ila mbele ya hadhara cc ni wanyonge kupindukia🤣🤣🤣Huyo jamaa level nyingine, nimemvulia kofia
naunga mkono hoja 100%Alafu sasa kuwaspy exroverts very simple, hawaoni tabu kubwabwaja, ila ssa kuwaspy introverts uwe na akili ya ziada, hawachelewi kukushtukia
Haipingwi hiyo mkuunaunga mkono hoja 100%
Noo sidhani kama wanawake wanapenda wanawake wapole. Mwanamke anapenda wanaume wakorofi na Wababe wasio watulivu ukiwa mpole anakuchukulia kama she mwenzie.+that's too much fam!!...wanawake wanapenda Sana watu wapole Kama wewe[emoji3][emoji3][emoji3]
mzee fanya uchunguzi.... hujawahi kusikia demu anawambia introvert " jamani huyu kaka mpole mpaka raha" [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Noo sidhani kama wanawake wanapenda wanawake wapole. Mwanamke anapenda wanaume wakorofi na Wababe wasio watulivu ukiwa mpole anakuchukulia kama she mwenzie.+
(Kwa maelezo ya watu humu)
Nina sura mbaya ni ngumu sana mtu kunipenda labda apende yule wa ndani yangu (my inner me) yeye ni mzurii sana
Yes tunapenda wapolemzee fanya uchunguzi.... hujawahi kusikia demu anawambia introvert " jamani huyu kaka mpole mpaka raha" [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hapo kudance ni mwenzako sana cjui kwa nini napenda kudance.Jamani jamani kwa jinsi nilivyo watu huwa hawaamini kama ni Mimi au laah!!!! Napenda kucheza na ninajua,na huwa nacheza mpaka majogoo,muda ule DJ anazima muziki!!
NB:sijawahi kuhudhuria madisco ya mtaani Mimi ni ezi zile za shule msimu wa graduation,Ukwata,tycs na graduu ya shule party za kazini,harusini basi!!!siwezi kutoka kwangu nikaenda kujichanganya disco!!! Pia hata home huwa nafungulia muziki nacheeeeza chumbani nikichoka nalala!!!¡lkn napenda sana kucheza na huwa naenjoy sana nasahau shida zote!!!kuna harusi moja nilicheza kesho yake kazini naulizwa hivi ni wewe yule au!!!
😅umechelewa sasaSasa mbona mimi nimechangamka na hunitakagi😔
Kuchanga karata zako vizuriNimechelewa nini Mkuu
Sikupingi babaakeIntroverts wana tabia ya kuhifadhi vinyongo,yaani ukimuudhi anatulia tu kimya kimya ila moyoni ana hasira ila wewe hujui.
Sasa kinachokuja kutokea mbeleni akishachoka na maudhi yako anakushtukiza na tukio baya kulipiza hasira zote za nyuma.