Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Shukrani sana bro
 
SIFA ZINGINE NILIZONAKUWA NAZO:

1, Kutongoza ni mtihani, yaani hata kuomba namba ya simu tu ni shida.
Naishia kuwaangalia kwa macho tu. Kuwatongoza labda rafiki zangu wa kike.

2. Nikiwa chuo napenda sana kuwatania washkaji wengine, ila nikitaniwa mimi lazima niumie.

3. Topunye ndio kama starehe yangu tu, nazama kwenye grupu najilipua. Mpaka demu ananiuliza hivi wewe una mpenzi kweli namdanganya ninaye.

4. Nikiwa nachati na mtu au demu tunaongea mpaka ananishangaa hivi huyu ni The Duke of Cambridge mwenyewe au ni mtu mwingine.

5. Napenda mazingira yawe na mpangilio, nikiona vururuvururu nayapangilia, yaani hata nikirudi home nikikuta papo ovyo napangilia safi.

6. Furaha zangu zipo mitandaoni, nakaa natulia napitiapitia mfano uzi wa vituko mitandaoni basi nafurahi.

7. Sipendi watu wajue sana kuhusu mimi. Ukiniliza unakaa wapi nakupa majibu ya uongo ili nikujatishe tamaa ili usiniulize zaidi kuhusu mimi.

8. Nikiwa shule majamaa wakisema wee unapigaga puta, nakosa raha kabisa, nikionana nao nawakwepa maana naona wananifuatilia.

9. Naweza nikawa na wazo la kufanya kitu kikubwa siku za mbeleni ila akija mtu akiniambia siwezi, mbona flan alishindwa badi na mimi nabadili mawazo.

10. Sipendi kuona mtu anaonewa, kupigwa ana kunyimwa haki yake.
Hata nikiwaona ombaomba natamani kuwasaidia lakini uwezo nakuwa sina.

11. Napenda kukaa na kisasi sana rohoni, mfano mtu nigombane nae basi sitakaa niongee nae hata kusalimiana nae.

12. Nikimkosea mtubnajikuta nasononeka sana why nimemfanyia vile, nikifikiria kumuomba msamaha najikuta nishachelewa.

13. Nikiwa na shida siwezi kuisema, labda nimwambie mtu ninayemuamini sana.


14. Napenda sana kufarijiwa pindi nipatapo tatizo.

15. Supendi kujionyesha, naweza nikavaa nguo ya aina moja zaidi ya siku 3 mpaka washkaji wananiuliza oya mwana hauna nguo zingine? Mbona kila siku nguo hiyohiyo kama fundi.

16. Kuna muda nikijiangalia kwenye kioo najikataa nasema huyu sio mimi kabisa.

17. Napenda kutabasamu hata kama nina hasira na wewe

18. Napenda utulivu, nikiona sehemu imetulia bila kelele basi naona raha ila nikisikia tu fyokofyo eeeh kwaheri, naondoka hapo naenda pengine.

19. Sipendi uongozi maana kuwaongoza wati siwezi kabisa kuliko kujiongoza mwenyewe, muda mwingine uletewe kesi uisolve najikuta namhurumia mshtakiwa.

20. Napenda kufuata utaratibu na sheria. Naweza nikaenda sehemu mfano bank nikakuta tangazo usikae hapa japo kuna watu wamekaa basi nafuata sheria zao.

21.
 
Nyingi zinafanana na zangu ila kuna baadhi zilibadilika baadae kama hiyo ya mademu zamani nilikuwa nawaonea aibu kuwatongoza ila nilivyoanza kuonja utamu wa K nimepitiliza nikawa master,japo kuwatongoza kwangu mara nyingi ni kwa njia ya kuchat na sio ana kwa ana bado kuna chembechembe za aibu hazijaisha.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Yeah, tukichati tunakuwaga noma
 
Kumbe EMINEM na mdomo wote ule kwenye Ngoma zake ni INTROVERT..[emoji23]......other famous people whom are said to be introverts and might surprise you include... Beyonce, the weekend( huyu inasemekana mpk baadhi ya interview anazikwepa), andre3000, Dwayne Wade( mchezaji wa NBA).....
 

Thanks for compliments mkuu, ndio tulivyo binaadamu so hakuna budi kuwazoea.
Siku yaleo naitumia kutazama series hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…