Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

Na wengi wao ni wanachama wa CHAPUTA hivyo wengi wao huishiwa nguvu za kiume na kupeleka kua stressed mwishoni hujinyonga Kwa kusalitiwa . Believe me
Mimi niliwahi kuwa chaputa ila miguvu bado ipo kama kawaida na kila demu ninayemchomeka lazima anisifie.
 
Ukweli mtupu niko hivyo pia.
Sipendi mtu ninapomuomba kitu aniwekee masharti huwa naumia sana hata kama hayo masharti nayamudu kuyatekeleza.
 
Introvert mie napata tabu sana ktk kufanya maamuzi magumu/seriously uongozi haunifai!!!!!

But vipi nikijengwa kuwa kiongozi nitashindwa kutimiza majukum yangu kwasababu n introvert??
Hata mimi niko hvyo.
Isipokuwa ninapokuwa kiongozi mahali na nikapewa nafasi ya kuongea za watu kwa vild ni mvivu wa kuongea huwa naingizia siasa na komedi kidogo ili kuwapunguza maswali.
 
Mimi ninazo chache za introvert na choleric..
mahusiano naona kama nipo maabara ya chemical hatari sana bado nachaguo hope ntapata malaika.
 
Kila kitu nimeguswa hapo Duh
 
dadeki huyo ni mimi kabisa,nimeshajaribu njia zote kujaribu kuchange ila hola,,
hapa Wana aibu nyingi sana hasa kwa watu wasiowafahamu wala kuzoeana nao ,..
Umegusa mulemule,,,
Kama umeona kuna mweusi hata mmoja kwenye hiyo list basi jiweke [emoji3][emoji3]
 
Mimi ninazo chache za introvert na choleric..
mahusiano naona kama nipo maabara ya chemical hatari sana bado nachagua hope ntapata malaika.
 
Tatizo ninyi weusi hamtunzi kumbukumbu.. wamgewekwa wengi humo
Ndo mana nashangaa hawa weusi wa humu kujiweka hapo wakati hata Ndela wala Mchonga wala Luter king hawapo humo[emoji3][emoji3]
 
Nimejikuta najicheka peke yangu tu, 75% ya uliyosema yananihusu ila once tukizoeana na mtu tunakuwa free kuongea sometimes mtu anakukwaza unabakia kumsamehe bila kumwambia....!!!

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mi binafsi nipo hivyo na najifahamu muda mrefu.
Hata marafiki huwa ni wale tunaokutana katika tukio fulani, michezo au kazi ila nje ya hapo napenda kutafakari vitu vipya nikiwa mwenyewe.
Mahusiano ni hadi mtu nimzoee sana na nimjue nje ndani ndio nakuwa nae.
Mimi ukitaka hata namba yako niifutilie mbali niletee habari ya "kuna mtu anakusema hivi na vile" ntakuchukia daima. Nafurahi na najikubali japo watu kunielewa huwa wanapata tabu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…