Jinsi Introverts wanavyopata tabu kuingiliana na watu wanaowazunguka

kabisa mkuu tunapata tabu Sana aisee.!
 
Yaani huu uzi umenifungua mengi sana. Hata job mie napiga kazi nafanya ma-creativity ila ukijaga msala ni lazima niachiwe na niwe victim. Kumbe personality huchangia
Sijakuelewa vizuri emb elezea personality inavyochangiaa
 
Yaani huu uzi umenifungua mengi sana. Hata job mie napiga kazi nafanya ma-creativity ila ukijaga msala ni lazima niachiwe na niwe victim. Kumbe personality huchangia
Sijakuelewa vizuri emb elezea personality inavyochangiaa
 
Watu :kwanini wewe ni mkimya ivoo

Ivi hili swali huwa unakutana nalo mara ngap kwa siku na je huwa unalijibuke
 
Introvert mie napata tabu sana ktk kufanya maamuzi magumu/seriously uongozi haunifai!!!!!

But vipi nikijengwa kuwa kiongozi nitashindwa kutimiza majukum yangu kwasababu n introvert??
Mweka mada hajagusia makundi manne ya watu huko ndo ungeelewa introvert na uongozi upoje... Nitagusia kiasi ktk introvert Kuna makundi mawili pia ya watu melancholic na phlegmatic.. ktk makundi haya mawili ya kiintrovert melancholic anafaa zaidi kuwa kiongozi maana kwanza ndie mtafakariji mkubwa kushinda makundi mengine.. hivyo huyu anaweza kutoa dira ya nini kifanyike au kipi kifatwe.. ktk extrovert pia Kuna aina mbili za watu sanguine na choleric,chorelic in natural kabisa ndio huwa wanapenda kuwa kiongozi! Huyu akiwepo mahali mbawa zake za uongozi hujionyesha ila tatizo lao hawana maamuzi yenye tafakari pana Sana na huwa ni konki yani Kama hutaki toka kama unataka twende.. huyu akiwa anaongoza ndio wale dizaini ya watu wasiotaka mchezo,hana la kulemba atakapotaka kupita yeye ni ama umpishe apite au akukanyage!!.. binafsi nawaona ni viongozi wanaofaa zaidi kwenye maamuzi magumu tofauti na melancholic maana hawa Mambo yao ya taratibu maana inahitaji muda kufikiri vya kutosha,pia wanasikiliza Sana I can say ni demokratic people!.. maana anataka kila mtu amridhishe.. akikaa kwenye uongozi huyu mtafurahia kufokewa si hulka yake,muelewa na wapole lkn ubovu ndio hapo kwenye maamuzi magumu hutumia muda Sana sana.. si wazuri kwenye maamuzi magumu!.. ndio maana huonekana ni dhaifu sometimes na akizinguliwa Sana hujiengua maana as you know introvert ni watu wa kujilaumu Sana!..

So kipi kinafaa.. kinachofaa ni kuwa na kombination ya choleric na melancholic.. ili walau kuziba gapes kadhaa za udhaifu.. melancholic atatoa wazo choleric atawaongoza wengine kulifuata wazo.. lkn hawa wote itafaa zaidi wakiwa wanaelewana kinamna maana Kama melancholic ndo anaongoza halafu choleric yupo chini yake basi melancholic akizubaa anaweza pinduliwa haswa akileta sana u demokrasia!
Ndio maana muda mwengine umekuwa ukisikia mapinduzi yakifanyika hata ktk ngazi za nchi!.. so hii sometimes ukijachunguza utajua ndani yake kuna hizi personality haswa kwa choleric hupenda Sana kuongoza.. we ukisema hapa hapana njia mwenzako anaona njia! Haijalishi mtapita kwa tabu ye anachoangalia mtapita tu!.. melancholic akiona hapana njia atataka kutafuta njia na akiipata mtapita Tena kiwepesi kabisa!..

Ukiweza kujichunguza ukaelewa upo wapi ndugu unaweza kuwa kiongozi Cha muhimu nikujielewa wapi upo imara na wapi haupo imara njia zote hizi zinafaa kuongoza isipokuwa tu ujue muda gani wa kutumia u choleric na ni muda gani wa kutumia u melancholic.. mifano ya viongozi ambao ni choleric ni Idd amin.. kwa upande wa melancholic tulishapata hapa kwetu ni baba wa taifa julias kambarage nyerere.. phlegmatic huwa namuhisi ni jakaya japo sijamchambua vyakutosha sana sina hakika asilimia Mia ila anaonyesha anahizo element za u phlegmatic.. tulienae sahivi sisemi sana ukiangalia tu utajua ni pure choleric..😂 naomba nisiseme Sana..

Moja Kati ya sehemu niliyokuja kumpendea nyerere ni ktk kufanya uamuzi wa Vita Kati yetu na Uganda.. ileweke hivi introvert people haswa melancholic hupenda kutumia logic sana hufanya vitu kwa kujibu haya maswali "how..? When..? Why..? Mengine nimeyasahau ila huwa yapo matano.. ktk vita ya Uganda na tz ile hotuba ya nyerere ukiiangalia inaviashilia hivyo alisema "Nia ya kumpiga tunayo,sababu ya kumpiga tunayo na uwezo wa kumpiga tunao" ukiiangalia hizo kauli unaweza zichukulia juu juu lkn hizo zinaweza kukuongoza hata kwenye kutatua tushida fulani Kama ukiwa muelewa..

Naomba niishie hapo.
 
Asante kwa maelezo mazuri lakin ivi KENZY A YOU INTROVERT OR EXTROVERT
 
Introvert wengi Ni magenius

Huwa hatupendi kelele kelele na huwa tuko serious sana very focused

Sisi sio charm in public Ila very charm tukiwa ndani .

Introvert tuna u-perfectionism [emoji2]

At early stage watu huwa wanatuchukulia poa but wakishatuelewa jinsi tulivyo unique huganda aisee wanakuwa washikaji wakudumu

Siku huwa tunawaza mbele ya muda so becareful unaookutana na introvert ata kua outsmart tu .

Kwakweli public speaking yetu sio nzuri sana kutokana na kwamba inakuwa ngumu ku spit out what is already in our mind japo we can express ourselves clearly eventhough we ain't good orators

Am trying to be an extrovert I will [emoji123]
 
Sawa mkuu umesomeka
 
Ha ha! In reality Mimi ni introvert ila kwenye key body au daftari ama namna yoyote ya kuandika ni extrovert!.. na huku ndipo introvert wengi tunapopenda kujifichia.
Aisee siamin humu ndan wewe ni msumbufu sana nkajia bonge la extrovert
 
I see ni kama unaelezea historia ya maisha yangu kwenye huu uzi.
 
Mnatamani kutoka Introvert peranoality kwenda Extrovert modal of personality, Jamani there's no turning back. Ukishakua intro ww ni intro tu huwezi kua extro maana hakuna mtu aliyechagua kuzaliwa intro au extro au aliAdopt kuwa intro or extro kutokana na mazingira aliyopo. Ni kitu tulichozaliwa nacho, huwezi kivua. Unaweza kujaribu kuishi na kutenda kama extro lakini bado utapwaya tu na utakua unarudi Kwenye kundi lako.. there's no middle ground or turning back on this. Jidaie tu na ulichonacho
Uliyosema yote Ni ukweli ila aya hii Ni zaidi ya ukweli ni Mimi mwenyewe kabisa wengi wanatuona Kama viburi nk

Marahupenda kuonesha sura za tabasamu hata kama wapo katika matatizo makubwa

Namjua mwenyewe😅😅

 
Intro inatesa lakini hasa msongo wa mawazo hapo tu ndo pananifanya sometimes nijaribu kuact Kama extro, na nahisi hata wagonjwa wengi wa akili, sonona na magonjwa ya kufanania hayo wengi ni intro's, inafanya kufikia maamuzi ya kujiua sasa hii ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…