Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,743
- 25,564
Huyu ni mimi kabisa sijui kwanini wanatuonaga kama tuna kiburi
Wehu kweli watu, yaani tukiwa bize na mambo yatu wanatuona tunakidai sana kmmmk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni mimi kabisa sijui kwanini wanatuonaga kama tuna kiburi
we ni Native Introvet aliyekubuhu
Kivipi mkuu?
Wanatuonaga wenye viburi kumbe sio ndo tulivyoumbwa
Duh! Mtu mmoja kama anaambiwa yeye
Je ukali WA wazazi uliopitiliza Kwa watoto wao pindi wakiwa wadogo/ ukali WA bekitatu Kwa watoto hauwezi pelekea mtoto kuwa introvert ukubwani?
Kongole mkuu,nmekuelewa sanaa hapaHapana mzazi akiwa mkali kwa mtoto hakubadirishi personality yake kwamba awe extrovert abadirike ajwe extrovert. Kumbuka Personality traits yaani kua extrovert au introvert ni mambo traits ambazo mwanadamu anazaliwa nazo tayari zipo ndani yake hivyo muhusika hawezi kubadirisha traits hizo au kuhama kundi moja kwenda lingine.
Ila wazazi kama ni wakali kwa mtoto wanaharibu behavioral model ya mtoto, tabia za ndio kitu mtu unaweza kubadirisha kutokana na mazingira fulani uliyopo...
Waleeni watoto wenu vizuri mkiwapa maneno ya ushindi na kutia moyo hata kama unaona mwanao hana uwezo mkubwa, we unamwita mwanao we mjinga njoo hapa,we mpumbavu, we zezeta njoo n.k....namwanangu mtu akimwita hivo tutauana haya maneno nayajua uchungu wake na madhara yake nayaona mpaka leo. mtoto anakua hana imani na maisha, anajiona hafai kwenye jamii mwisho inampelekea kua na msongo hata ufikiri wake unayumba mwisho anaanza kutenda maovu ili kulipa machungu ya maneno anayoambiwa.
Treat your son like king not like a asshole. Mentality disturbance za watoto zinaharibiwa nanyi wazazi. 5yrs ago nilisoma soma Psycology upande wa tabia za binaadamu na makuzi yake toka akiwa na wiki 2 baada ya mimba kutungwa hadi umri wa miaka 70 nafahamu vyema sana, Kwenye Behavioural model tabia za binaadamu zimegawiwa katika makundi matatu makuu:
[emoji3581]Agressive: Huyu mtu aliye kwenye kundi hili yeye jambo dogo analikuza linakua kuubwa (amplifying), kila kitu yeye anamind...mara nyingi hua wanajitanguliza wao kwenye vitu hawajali wenzao nk nk.
[emoji3581]Passive: Hawa ni wale watu wa kuchukulia poa hawana shida na watu wao ukiwaudhi wanatabasamu tu. Mark zuckenburg, Wentworth Miller (michaelscolfied) hili kundi ndio husongwa na Msongo zaidi
[emoji3581]Assertive: Hawa wao wako tayari kufanya chochote kwa ajili ya wenzao hata kupoteza maisha..wanachukulia wengine ni wathamani kuliko wao. mf Jesus, Nyerere,All freedom fighters.
Sasa fikiria mtu wa kundi la kwanza umemtendea mambo mabaya huyu lazima awe mbaya mbeleni tu si mnajua alichofanya hitler ajili ya kudharauliwa,akina Mao tsetung, serial killers wote, lakini kwa watu wa kundi la pili hua tofauti wao hua wanayatumia yale madharau wanayofanyiwa kufanya vitu kuwathibishia watu kua wao sio wajinga.
Mfano Mark wa Facebook alikua wanamchukulia poa sana kipindi yuko chuo ila ukizingatia kwa walikua maskini ila leo hii walio mdharau wako wapi? Thomas Edison hadi mama yake aliandikiwa barua na uongozi wa shule kua hana akili, mwisho kabisa kawa ndio mgunduzi na mfanyabiashara mkubwa sana kwenye maswala ya electrnonic na electricity. Akina Eminem leo hii wako level ipi? Wentworth Miller hadi sasa kutokana na kuwa abused hata hajielewi tena jinsia yake inataka nini (leo gay kesho mwanaume) mifano ni mingi mno.
Jamani wazazi wa leo na wazazi watarajiwa hatima ya mafanikio ya mwanao kiuchumi au kiakili yapo mkononi mwako, mwambie mema sio kumwambia mwanao maneno yanayo mfanya ajione inferior, hana thamani matokeo yake hua ni mabaya sana. Hata Jesus watu walimbeza ila mwisho wa siku kabaki kua ndio binaadamu ambae historia yake haitafutika kwa aliyoyatenda. Usimdharau mtu wala kumkandamiza hatujui hatima zetu. Serial killers wengi chnzo hua ni ugonjwa akili ambao unasababishwa na malezi mabaya.
Mate unachanganya kiburi+dharau na Introvertism. Kutokusalimia watu ni dharau sio introverts..Kuna demu hapa mtaani juzi kati amenichana ananiambia mimi ni mtu ninayejisikia sana , ninajiona mimi ndo mimi ,sina story na watu na hata kuwasalimia watu ni shida ,ikabidi nimwambie tuuh sio kwamba najisikia au ninadharau ila ndo nipo hivyo
Ilinichukua muda sana kuzoea the so called Discussion...Dah mimi cjui ni introvert au extroverts maana tabia zangu ni hizi
1. Sicheki na mtu, kucheka ni kwenye simu nikiwa naperuzi
2. Sikai kwenye sehemu yenye kelele, hata kikiwa kikao cha harusi ya ndugu sikai
3. Sipendi kufuatilia, naweza nikawa najisomea halafu nikute boya mmoja anapita huku anaangalia nachosoma nafunga daftar
4. Chuo marafiki wa kuongea nao ni wachache kuwajibu ni ok. Sawa, yes ila tukiwa kwenye grupu la Whatsapp akiwasha sio poa
5. Mademu naishia kuwala kwa macho. Sina taimu nao wote nawaona malaya tu
6. Sikai sebulen nikirudi chuo nipo ndani nachati,
simply i too kind but very fuckery if you try to mess my table (sorry for f word mate)Can you please elaborate and rephrase your opinion mate?? I want to hear more of it, from you
till now im not too good in openly (public) discussinsIlinichukua muda sana kuzoea the so called Discussion...
Mm Napenda kukaa mbele kabisa kama nipo Sehemu ya muunganiko wa watu. Siku tupo kwenye orientación nimekaa mbele nilikua nimevaa cheni ndogo ya rozali halafu hapo kuna sheria kali sana za mavazi ikiwemo cheni. Si nikatolewa mbele ya watu 1000+ nikatolewa mfano wa kutokuvaa cheni. It was the worst day of my life.. mimi aibu tu ndio huniponzatill now im not too good in openly (public) discussins
Kuna kusalimia na kusalimia kila mtu njiani, mimi watu ninaowafahamu ninawasalimia vizur kabisa ila kama sikufahamu tukipishana barabarani mimi ni mgumu kusalimia, Huyo demu aliyeniambia sababu tumekutana maeneo mengi sana alafu ananikuta mkimya tuu ikabidi achukue namba kwa mshikaji wangu akawa anashangaa mbona kwenye simu naongea na story kibaoMate unachanganya kiburi+dharau na Introvertism. Kutokusalimia watu ni dharau sio introverts..
nmekuelewa aseeHapana mzazi akiwa mkali kwa mtoto hakubadirishi personality yake kwamba awe extrovert abadirike ajwe extrovert. Kumbuka Personality traits yaani kua extrovert au introvert ni mambo traits ambazo mwanadamu anazaliwa nazo tayari zipo ndani yake hivyo muhusika hawezi kubadirisha traits hizo au kuhama kundi moja kwenda lingine.
Ila wazazi kama ni wakali kwa mtoto wanaharibu behavioral model ya mtoto, tabia za ndio kitu mtu unaweza kubadirisha kutokana na mazingira fulani uliyopo...
Waleeni watoto wenu vizuri mkiwapa maneno ya ushindi na kutia moyo hata kama unaona mwanao hana uwezo mkubwa, we unamwita mwanao we mjinga njoo hapa,we mpumbavu, we zezeta njoo n.k....namwanangu mtu akimwita hivo tutauana haya maneno nayajua uchungu wake na madhara yake nayaona mpaka leo. mtoto anakua hana imani na maisha, anajiona hafai kwenye jamii mwisho inampelekea kua na msongo hata ufikiri wake unayumba mwisho anaanza kutenda maovu ili kulipa machungu ya maneno anayoambiwa.
Treat your son like king not like a asshole. Mentality disturbance za watoto zinaharibiwa nanyi wazazi. 5yrs ago nilisoma soma Psycology upande wa tabia za binaadamu na makuzi yake toka akiwa na wiki 2 baada ya mimba kutungwa hadi umri wa miaka 70 nafahamu vyema sana, Kwenye Behavioural model tabia za binaadamu zimegawiwa katika makundi matatu makuu:
[emoji3581]Agressive: Huyu mtu aliye kwenye kundi hili yeye jambo dogo analikuza linakua kuubwa (amplifying), kila kitu yeye anamind...mara nyingi hua wanajitanguliza wao kwenye vitu hawajali wenzao nk nk.
[emoji3581]Passive: Hawa ni wale watu wa kuchukulia poa hawana shida na watu wao ukiwaudhi wanatabasamu tu. Mark zuckenburg, Wentworth Miller (michaelscolfied) hili kundi ndio husongwa na Msongo zaidi
[emoji3581]Assertive: Hawa wao wako tayari kufanya chochote kwa ajili ya wenzao hata kupoteza maisha..wanachukulia wengine ni wathamani kuliko wao. mf Jesus, Nyerere,All freedom fighters.
Sasa fikiria mtu wa kundi la kwanza umemtendea mambo mabaya huyu lazima awe mbaya mbeleni tu si mnajua alichofanya hitler ajili ya kudharauliwa,akina Mao tsetung, serial killers wote, lakini kwa watu wa kundi la pili hua tofauti wao hua wanayatumia yale madharau wanayofanyiwa kufanya vitu kuwathibishia watu kua wao sio wajinga.
Mfano Mark wa Facebook alikua wanamchukulia poa sana kipindi yuko chuo ila ukizingatia kwa walikua maskini ila leo hii walio mdharau wako wapi? Thomas Edison hadi mama yake aliandikiwa barua na uongozi wa shule kua hana akili, mwisho kabisa kawa ndio mgunduzi na mfanyabiashara mkubwa sana kwenye maswala ya electrnonic na electricity. Akina Eminem leo hii wako level ipi? Wentworth Miller hadi sasa kutokana na kuwa abused hata hajielewi tena jinsia yake inataka nini (leo gay kesho mwanaume) mifano ni mingi mno.
Jamani wazazi wa leo na wazazi watarajiwa hatima ya mafanikio ya mwanao kiuchumi au kiakili yapo mkononi mwako, mwambie mema sio kumwambia mwanao maneno yanayo mfanya ajione inferior, hana thamani matokeo yake hua ni mabaya sana. Hata Jesus watu walimbeza ila mwisho wa siku kabaki kua ndio binaadamu ambae historia yake haitafutika kwa aliyoyatenda. Usimdharau mtu wala kumkandamiza hatujui hatima zetu. Serial killers wengi chnzo hua ni ugonjwa akili ambao unasababishwa na malezi mabaya.
Bila shaka mkuu
kitu gani kimekuchekesha
Yes, na heshima ni kitu kikubwa sana.
Yes tunapenda wapole
Ila upole ule uliochangamka
Sikupingi babaake
Aisee hio namba 6 ni kweli kabisaa
Na wakishalewa wanaongea athari😁
Nimekuelewa mkuu.
Ila mkuu experiences has to give us lessons and to apply
Hauko sawa boss. Seek help ASAP!
Acha ujinga,hivi kuwa introvert ni kuto kuongea?
Eti hope ntapata malaika[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Kubal ulichobarikiwa Mkuu, hakuna Curse yoyote
Ngoja nisabusikaraibu kwanza then nirudi nipitie mdogomdogo
Acha umbea
Kivipi mkuu?
Yaan una FULL FEATURES za introvert