Ww unadhani kila mwanamke alikuwa kama mama yako aliye kuwa cha wote?Ukishavaa umevaa, hakuna kuvaa uchi,
Huu ndio ushamba walio nao Wa-Iran wanaosumbua nao raia kupitia Guidance/Morality police.
Wewe mwenyewe unaweza kukuta ulizaliwa kwa uzinzi
Mbona pesa ya kenya ina thamani kuizidi pesa ya Japan na K.kusini lakini kila wamejaa njaa tupu?Iran imesonga mbele kwenye nini wakati rial 66000inabadilishwa kwa dollar 1
Tupe habari za Helicopter na Kilichoqakuta waliokuemo umo..,Achana na IranDini ya muarabu ndio imewachelewesha.
Hahahaha mkenya anahaingaika na ya wenzie yake yanamshindaTupe habari za Helicopter na Kilichoqakuta waliokuemo umo..,Achana na Iran
Una uhakika kama mume wa mama yako ndiye baba yako halisi wa damu?Ww unadhani kila mwanamke alikuwa kama mama yako aliye kuwa cha wote?
Mm nimezaliwa ndani ya ndoa takatifu.
Kama kuvaa ni kuvaa kwanini hujawahi kwenda kariakoo ukiwa umevaa taiti na sindilia?
Mm na baba yangu tunafanana kuanzia sura na baadhi mambo mengine japo sio vyote .Una uhakika kama mume wa mama yako ndiye baba yako halisi wa damu?
Kwa hiyo botswana na namibia wameendelea kuliko iran?Inategemea unailinganisha Iran na nchi gani,
Iran GDP per capita ni 4700USD ambayo inazidiwa hata na Botswana na Namibia,
Kwahiyo hiki ndio kigezo chako..Iran imesonga mbele kwenye nini wakati rial 66000inabadilishwa kwa dollar 1
angalia wenzake saudia na uturuki walivomwacha mbali anapumulia machine, alitakiwa awe amewazidi wote hao, ila amejikuta amepitwa hata na nigeria kanchi ka juzi tuSasa kama hayo ma ayatola ni mabaya kwanini iran imezidi kusonga mbele, kwanini isirudi nyuma ama kubaki palepale kama sisi huku DANGANYIKA tunavyopiga hatua kurudi nyuma kimtindo.
Inategemea kwako maendeleo ni nini,Kwa hiyo botswana na namibia wameendelea kuliko iran?
ππ€£
Nitajie kitu chochote kinacho tengenezwa na Japan au S.korea ambacho akitengenezwi ndani ya Iran.Inategemea kwako maendeleo ni nini,
Kama kwako maendeleo ni nyuklia, makombora na mabomu basi Korea Kaskazini, Pakistan na Iran wameendelea kuliko hata Korea Kusini, Japan, Canada na Brazil.
Kwanini awazidi ,ya kwamba wao wamelala tu ili wazidiwe na Iran?angalia wenzake saudia na uturuki walivomwacha mbali anapumulia machine, alitakiwa awe amewazidi wote hao, ila amejikuta amepitwa hata na nigeria kanchi ka juzi tu
Iran imeendelea kuliko Botswana.Inategemea unailinganisha Iran na nchi gani,
Iran GDP per capita ni 4700USD ambayo inazidiwa hata na Botswana na Namibia,
Nigeria.. duh.. πangalia wenzake saudia na uturuki walivomwacha mbali anapumulia machine, alitakiwa awe amewazidi wote hao, ila amejikuta amepitwa hata na nigeria kanchi ka juzi tu
Basi mkuu, nashukuru kwa muda wako, naachia hapa.Inategemea kwako maendeleo ni nini,
Kama kwako maendeleo ni nyuklia, makombora na mabomu basi Korea Kaskazini, Pakistan na Iran wameendelea kuliko hata Korea Kusini, Japan, Canada na Brazil.
Ukumbuke Iran ina vikwazo vya kiuchumi toka 1979.Iran imesonga mbele kwenye nini wakati rial 66000inabadilishwa kwa dollar 1
Unaishangaa Iran kuwa na GDP per capital 4700$?Inategemea unailinganisha Iran na nchi gani,
Iran GDP per capita ni 4700USD ambayo inazidiwa hata na Botswana na Namibia,
Unajua akina Somalia, Yemen, Lebanon, Sudan ni wachovu zaidi yetu pamoja na kufuata imani hiyo.Kwahiyo kwako usasa ni wanawake kuvaa uchi na kupishana gest kufanya uzinzi badala ya kufanya kazi?
Mbona hiyo serikali yako haijakupa uhuru wa kuamini nje ya CCM kwa kuweka sheria za kuhakikisha CCM inatawala milele?
Mbona hiyo serikali yako haijakupa uhuru wa kujikwamua kwenye umasikini?
Huo uhuru wa kuamini unacho kitaka si ndo umeleta akina mwamposa wanao tapeli na kutia watu umasikini?
Huo uhuru wa kuamini unacho kitaka si ndo umeleta akina makanzie aliye uwa mamia ya watu kwa njaa?
Nyinyi mko kwenye usasa wa kinadharia wakati wao wako kwenye usasa wa kivitendo.
Na ndio maana Iran , Qtaar, UAE,Saudia ,Malasia zinahesabika kuwa n nchi za ulimwengu wa kwanza na wa pili wakati nyinyi wenye uhuru unao usema mnahesabika kama dunia ya tatu ,yaani watu wa mwisho kabisa hapa duniani ambao mnaishi maisha yaliyo pitwa na wakati.
Hapa tunaongelea habari za Iran wewe unatuletea habari za Somalia na Sudan hivi una akili?Unajua akina Somalia, Yemen, Lebanon, Sudan ni wachovu zaidi yetu pamoja na kufuata imani hiyo.
Akina Mwamposa wanafanya wanachokifanya na ni hiari yako kwenda kwake au usiende kwani hakuna anayekulazimisha na tunaona hata waislam wengi wakienda kwake kuombewa na hata tunaona wengine wakirejea tena kwake kushuhudia uponyaji.
Mtu kutoenda Guest House kufanya uzinzi hakumaanishi kwamba sasa wewe ndiye mwenye haki mbele za Mungu kwani dhambi sio hiyo moja tu.
Huwezi kuishi hapa duniani ukaepuka kufanya dhambi, hapo tusidanganyane. Kila mwanadamu kuna dhambi umefanya na usipotubu hukumu inakusubiri, Mungu hajui dini.