Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

Jinsi Iran ilivyojipata chini ya utawala wa Ki-Ayatollah

Ukishavaa umevaa, hakuna kuvaa uchi,
Huu ndio ushamba walio nao Wa-Iran wanaosumbua nao raia kupitia Guidance/Morality police.
Wewe mwenyewe unaweza kukuta ulizaliwa kwa uzinzi
Ww unadhani kila mwanamke alikuwa kama mama yako aliye kuwa cha wote?
Mm nimezaliwa ndani ya ndoa takatifu.
Kama kuvaa ni kuvaa kwanini hujawahi kwenda kariakoo ukiwa umevaa taiti na sindilia?
 
Iran imesonga mbele kwenye nini wakati rial 66000inabadilishwa kwa dollar 1
Mbona pesa ya kenya ina thamani kuizidi pesa ya Japan na K.kusini lakini kila wamejaa njaa tupu?

We unadhani Iran ni kama nchi yako ambayo inaagiza kila kitu kutoka nje?

Iran inajitegemea na asilimia 80 ya bidhaa zinazo tumika ndani ya nchi hiyo wanajitenganezea wenyewe na ndio maana hawaathiriki na kupanda kwa dora.
 
Ww unadhani kila mwanamke alikuwa kama mama yako aliye kuwa cha wote?
Mm nimezaliwa ndani ya ndoa takatifu.
Kama kuvaa ni kuvaa kwanini hujawahi kwenda kariakoo ukiwa umevaa taiti na sindilia?
Una uhakika kama mume wa mama yako ndiye baba yako halisi wa damu?
 
Una uhakika kama mume wa mama yako ndiye baba yako halisi wa damu?
Mm na baba yangu tunafanana kuanzia sura na baadhi mambo mengine japo sio vyote .
Lakini hata kama tungekuwa hatufanani bado mimi ninamuamini mama yangu, sasa ww labda unamjua bimkubwa wako hajatulia ndo maana una mashaka na baba yako.
 
Sasa kama hayo ma ayatola ni mabaya kwanini iran imezidi kusonga mbele, kwanini isirudi nyuma ama kubaki palepale kama sisi huku DANGANYIKA tunavyopiga hatua kurudi nyuma kimtindo.
angalia wenzake saudia na uturuki walivomwacha mbali anapumulia machine, alitakiwa awe amewazidi wote hao, ila amejikuta amepitwa hata na nigeria kanchi ka juzi tu
 
Kwa hiyo botswana na namibia wameendelea kuliko iran?
😂🤣
Inategemea kwako maendeleo ni nini,
Kama kwako maendeleo ni nyuklia, makombora na mabomu basi Korea Kaskazini, Pakistan na Iran wameendelea kuliko hata Korea Kusini, Japan, Canada na Brazil.
 
Inategemea kwako maendeleo ni nini,
Kama kwako maendeleo ni nyuklia, makombora na mabomu basi Korea Kaskazini, Pakistan na Iran wameendelea kuliko hata Korea Kusini, Japan, Canada na Brazil.
Nitajie kitu chochote kinacho tengenezwa na Japan au S.korea ambacho akitengenezwi ndani ya Iran.
Hata hivyo Iran ni nchi inayo tumia bajeti ndogo kwenye mambo ya kijeshi inazidiwa mpaka na UAE.
 
angalia wenzake saudia na uturuki walivomwacha mbali anapumulia machine, alitakiwa awe amewazidi wote hao, ila amejikuta amepitwa hata na nigeria kanchi ka juzi tu
Kwanini awazidi ,ya kwamba wao wamelala tu ili wazidiwe na Iran?
Hata hivyo Iran anawazidi mambo mengi hao ulio wataja.
 
Inategemea kwako maendeleo ni nini,
Kama kwako maendeleo ni nyuklia, makombora na mabomu basi Korea Kaskazini, Pakistan na Iran wameendelea kuliko hata Korea Kusini, Japan, Canada na Brazil.
Basi mkuu, nashukuru kwa muda wako, naachia hapa.
😂🤣
 
Iran imesonga mbele kwenye nini wakati rial 66000inabadilishwa kwa dollar 1
Ukumbuke Iran ina vikwazo vya kiuchumi toka 1979.
Pia pesa sio kipimo sahihi cha uchumi.
S.korea pesa yao haijapishana sana na ya Tz ila hakuna taifa Afrika inaifikia Korea.
 
Inategemea unailinganisha Iran na nchi gani,
Iran GDP per capita ni 4700USD ambayo inazidiwa hata na Botswana na Namibia,
Unaishangaa Iran kuwa na GDP per capital 4700$?
Mbona hujaishangaa India nchi ya tano kwa nguvu za kiuchumi ulimwenguni kuwa na GDP per capital ya 2600$,kwahiyo Iran imeendelea kuliko India?😃😃😃😃😃😃😀

Mbona hujashangaa nchi zote zinazo jiita zimeendelea sijui G7 zote zimezidiwa tena mbali kabisa GDP per capital na Qtaar , Luxmbug na Burunei ambazo ukiziunganisha kwa pamoja zinazidiwa na Uchumi wa Nigeria?

Kwa hiyo tuseme akina Qtaar wameendelea kuliko akina Marekani na Ujerumani?
Ww jamaa pamoja na ujinga ulio nao uwe unaona aibu kuandika pumba.
 
Kwahiyo kwako usasa ni wanawake kuvaa uchi na kupishana gest kufanya uzinzi badala ya kufanya kazi?
Mbona hiyo serikali yako haijakupa uhuru wa kuamini nje ya CCM kwa kuweka sheria za kuhakikisha CCM inatawala milele?
Mbona hiyo serikali yako haijakupa uhuru wa kujikwamua kwenye umasikini?
Huo uhuru wa kuamini unacho kitaka si ndo umeleta akina mwamposa wanao tapeli na kutia watu umasikini?
Huo uhuru wa kuamini unacho kitaka si ndo umeleta akina makanzie aliye uwa mamia ya watu kwa njaa?

Nyinyi mko kwenye usasa wa kinadharia wakati wao wako kwenye usasa wa kivitendo.
Na ndio maana Iran , Qtaar, UAE,Saudia ,Malasia zinahesabika kuwa n nchi za ulimwengu wa kwanza na wa pili wakati nyinyi wenye uhuru unao usema mnahesabika kama dunia ya tatu ,yaani watu wa mwisho kabisa hapa duniani ambao mnaishi maisha yaliyo pitwa na wakati.
Unajua akina Somalia, Yemen, Lebanon, Sudan ni wachovu zaidi yetu pamoja na kufuata imani hiyo.

Akina Mwamposa wanafanya wanachokifanya na ni hiari yako kwenda kwake au usiende kwani hakuna anayekulazimisha na tunaona hata waislam wengi wakienda kwake kuombewa na hata tunaona wengine wakirejea tena kwake kushuhudia uponyaji.

Mtu kutoenda Guest House kufanya uzinzi hakumaanishi kwamba sasa wewe ndiye mwenye haki mbele za Mungu kwani dhambi sio hiyo moja tu.

Huwezi kuishi hapa duniani ukaepuka kufanya dhambi, hapo tusidanganyane. Kila mwanadamu kuna dhambi umefanya na usipotubu hukumu inakusubiri, Mungu hajui dini.
 
Hapa tunaongelea habari za Iran wewe unatuletea habari za Somalia na Sudan hivi una akili?
 
Back
Top Bottom