Firmino bobby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 228
- 594
- Thread starter
-
- #21
Ooh my God, mpaka leo sijawai kurudia kuusoma uzi ule, niliandika yale nikiwa na machungu sana moyoni. Nashukuruni sana wadau, nilichokiandika hapo ndicho kweli kilicho tokea leo hii.Moja ya aya zilizosisimua sana kwenye uzi wa jamaa.
View attachment 1455229
[emoji2021]Manners Maketh Man[emoji2021]
Kabisa mkuu.Pongezi sana ndo maisha yalivyo, lazima uandike history ya maisha ndo hiyo sasa
wengine tusha pitia changamoto ambazo unaweza kumshika mtu uchawi ila unakaza moyo maisha yanaenda
Ubarikiwe mkuu sana sana.very interesting and touching...
Hahahaha pale nje kulikuaga na vibanda vya wazi vya mama ntilie na maduka yale, nasimama pale nashangaa tu.Mkuu kuna kitu nikakwambia uwezo amini, kuna kipindi nilikuwa nafatilia mambo furani MlimaniCity nashukua gari Simu 2000 nakatiza Law School kwa mguu kuelekeza Mcity. Kuna siku nilivyokuwa napita kama nilikumbuka uzi wako nikavuta kama Imagination pale nje kwamba jamaa alikuwa anakaa wapi hapa kuangalia geti.
Ubarikiwe na wewe pia mkuu.Ubarikiwe mkuu sanaa sanaa.
Amina mkuu atuinue wote.Inapendeza sana..! Nimefurahi kuona na wewe unarudisha fadhila kwa wengine.. Mungu anajibu maombi kupitia watu..haya ni maisha tu,ukijaliwa kipato kidogo gawana na wengine bila masharti! Mungu aendelee kukuinua mkuu.!
Mkuu shukrani sana kwa maneno yako haya ya kipekee sanaa.Kuna wengi humu Jf wamegeuza ni genge la mzaha na kauli chafu, lakini kama mtoa mada alivyoeleza hili ni eneo muhimu sana linalokutanisha watu wa kada mbalimbali na wenye potentials kadha wa kadha, ni namna gani unaitumia Jf hilo ni jambo binafsi...
Asante mkuu, Mungu akubariki sana sana. Nikusihi endelea kujitoa kwa kadri Mungu anavyo kuwezesha, kuna siri kubwa kwenye kutoa na kujitoa kwa ajili ya wengine.Mkuu shukrani sana kwa maneno yako haya ya kipekee sanaa.
Ameen mkuuAsante mkuu, Mungu akubariki sana sana. Nikusihi endelea kujitoa kwa kadri Mungu anavyo kuwezesha, kuna siri kubwa kwenye kutoa na kujitoa kwa ajili ya wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani.Hongera kwa moyo ulionao wa kulipa fadhila, japo kwa wengine
Sio wote wana moyo huo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio sure mkuu, long live jf.Ubarikwe sana kwa kurudisha fadhila humu jukwaani.
Ila No matter what ..Hata kama jf kuna watu wana mizaha na masikhara, jamii forum ni mtandao naouheshimu sana Tanzania Hii. Watu humu wapo wanaofariji na kutoa ushauri mzuri wa kutujenga kama vijana na rika zote kwa kweli.
Wengine ila wachache wenye mihemko ni kutukana na maneno machafu lakini hawajui jf ni sehemu ya madini muhimu sana .LONG LIVE JAMIIFORUM.
MÊmENtO HoMO
Hahahahaha braza kubwa la maadui kuna siku ntakuanzishia uzi wako hahaha shukrani sana.aisee wewe ni hustler, fighter na kila kitu, safi, nashukuru pia kua mmoja wa watu niliofanikisha kiasi kufikia hapo 🤣🤣🤣 why haujanitaja mdogo angu. Endelea kupambana mwanangu, kaza mno ile kinoma noma🙌
Inna nikushukuru sanaa, maombi haya yatafika juu.Mtu special popote ulipo Mungu akuongezee mara elfu zaidi