Jinsi JamiiForums ilivyobadilisha maisha yangu (Mrejesho)

Hongera sana, inaonesha ni kiasi gani ulidhamiria kuishangaza dunia, keep going.

Funzo: kama upo katika nafasi ya kusaidia fanya hivyo, hauwezi kujua ni namna gani utagusa maisha ya mhusika, na yeye akaja kuwa potential katika jamii yake.

Funzo la pili, hakuna sababu yeyote ya msingi ya kuahidi ambacho nafsi yako inakushuhudia kuwa hutokitimiza.

Funzo la tatu: Kama mtu alikuahidi na hajatimiza jaribu kutokumhukumu sababu haujui kilichomkwamisha, na kama amepuuzia pia si kazi yako kuhukumu, msaada ni hiyari.

Mzidishiwe wote mliomshika mkono huyu ndugu yetu.
 
safii mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana mkuu Mungu ni mwema siku zote!!
Ukaendelee kuwa na moyo huo huo daima na kikombe chako cha mafanikio kitazidi furika siku zote
 
Hongera kwako na wale wote waliokusaidia mkuu
 
Cc: Mkuu Maxence Melo pitia huku uone moja matunda ya kazi yako njema. Najua ni wengi wamenufaika na Jf na huu ni moja ya mfano wake.

Pamoja na changamoto za hapa na pale unazopitia kuhusu Jf, ukweli utabaki kuwa wazo lako la kuja na hii Platform lilikuwa ni wazo jema sana.

Naamini matunda haya yanakuongezea morali na ustahimilivu unapopita kwenye 'mateso' ya kuwa umebeba hatma za watu wengi nyuma yako.
Mungu akubariki sana Maxence Melo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msomi nashukuru sanaaa, Seniority matter,,, ule usiku wa matokeo sito usahau Wakili, ilikua noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…