Jinsi kauli ya hauna connection na GPA haina maana inavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu kuwa na matokeo duni vyuoni

Vijana wasome wapate GPA kubwa lakiniwasibaki chuoni kufundisha. Maana kuwa lecturer kutamfubaz akili. Hili ni mtazamo wangu
 
Umeongelea upande mmoja, je viwango vya ufundishaji huko chuoni vipo vile vile, kila mwaka vyuo vinaongeza idadi ya wanafunzi je huko chuoni kuna walimu wa kutosha ? vitendea kazi vya kutosha, maabara , vitabu n.k ? Wahadhiri wenyewe ndio hao hao wanapambana na maisha kufanya biashara nje ya taaluma yao ili kusogeza siku mbele, tunategemea hao vijana wafaulu kweli ?
Miaka ya nyuma ukisika mtu ni mwanachuo anakuwa na uwezo kweli kweli wakuchanganua mambo, kuna baadhi ya vyuo hata hao wahadhiri wakifungua kinywa unajiuliza huyu aliwezaje hata kutetea huo utafiti wake uliopelekea kupata shahada ya juu. Elimu inachezewa acha vijana waruke amapiano
 
Yaaani asipo chakarika kutafuta hela , hato pata hela ya kulipia expenses so wengine wana engage in moneying
 
Je ! Kwa akili ya kawaida ni kweli BOT wote Wana GPA ya 4.....? Japo walio nazo wapo Kama sista hapo Ila connection ni muhim tusizembee
 
Huku kwetu kuna first class za kutosha zinaendesha bodaboda
 
Hahah ndugu nashukuru nishakamilisha mchakato nasubiri majibu
Nikikwambia nitablow cover
Ila nilitoka na gamba la 4.5
O level one ya 9
Afu science
Mwanamke [emoji1787][emoji1787]Hawa wanao wadharau
Unadhani hawakufahamu mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…