Jinsi kiswahili kinavyomrudisha nyuma Diamond

Éxito de la orquesta Makassy del año 1982 . Hit performed by Makassy Orchestra .Music from Dar-es-Salaam, Tanzania, East Africa by Orch. Makassy Band. The song title: "Mambo Bado"( in Swahili Language) that means "The best is yet to come" or "better things to com
 
Waliimba kwa kifaransa mataifa kibao africa yana zungumza kifaransa, Diamond mjanja sana aisee ana ngoma yake inaitwa wakawaka imekuwa banned hapa bongo ila inachezwa U.S jamaa kajitahidi kulenga japo kiswahili kinatuangusha sana.
Hakuna wanamzki anaejulukana wa tanzania hapa marekani,wanaomfahamu damu hapa marekani ni kama mimi nmetoka congo,na wengn kutoka kenya ,burundi,rwanda ,uganda,tanzania,lakini,unaweza hata kutembea mtaan ukamuhulza wenyj wa hapa unamjua diamond hatakuambia hapana,na sijaw kukutana na mtu anaijua nchi ya tanzania lbda anaetoka africa,wasanii wanaojulka hapa marekani,sema akon,davido na hata ukimwambia mtu akutajie nchi za africa lazma aanze na nigeria au south africa.
Mm nashangaa sana eti diamind marekani anajulika hamna ktu kama hchi na show zake viaz tu,,....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho kiingereza anachoimba Davido na Wiz Kid kama kuna watu wanasikiliza lyrics zao basi watakuwa watu wa hukohuko kwao.
 
Write your reply...

sema wasanii wa bongo nao wanaimba ushubwada,diamond mwenyewe nae anaimba mziki gani sijui,yaani sio intaneshno
 
Despacito ni kiingereza???

Danza kuduro je??



Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo lugha ni kihispanola ambayo inazungumzwa na watu wengi kuliko kiingereza , hata US kihispanola inazungumzwa Sana , Texas, California ( kumbuka California sehemu kubwa yake ilikuwa ni sehemu ya Mexico kabla ya kuporwa na marekani) , Puerto Rico etc , mtoa mada kiasi Fulani Yuko sahihi , kwenye active market ya muziki dunia kiingereza kinachukua nafasi , ndio maana Julio igleas sio maarufu Sana kuliko mwanae Enrique igleas , waimbaji wengi wa kihispanola na french utoa nyimbo hiyo hiyo kwa English version , kwanini unafikiri Celine Dion haimbi nyimbo kwa lugha ya kwao ( french ( Quebec) kwa sababu alishaimba kwa kifaransa lakini hakufanikiwa Sana , ndio maana the Scorpion wale jamaa wanaopiga rock wa Germany wanaimba kiingereza, music active market yake ipo Sana US na ulaya, ingawa kuna few exceptions
 
Hii video imenifurahisha sana,kumbe Saida karoli maarufu hivi na watu wanafurahia tu wimbo
Muziki ni zaidi ya lugha, kuna nyimbo kibao za Kiswahili zilizo maarufu mpaka Latino Amerika. Mwanamuziki Saida Karoli nyimbo zapigwa sana huko Latin Amerika ktk club na vilabu. Mfano huu hapa :

Como Bailan Saida Karoli Tanzania


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemsikia K'naan ?
 
Dah ingekuwa hivyo akina Franco Luambo Makiadi, Bongo man, Koffi Olomide n.k tusingewaju maana hata sielewi wanaimba nini ila miziki yao naipenda balaa...
Nahuu ndio ukweli
- Mfano hai wimbo huu
Je ni watanzania wangapi wanaoujua kina cho imbwa hapa?

Kwenye mziki kuna cha ziada zaidi ya lugha
 
Wimbo kama fall ya davido au assuarance unaweza kuilinganisha na wimbo gani ya Diamond kwa kipindi hiki??..Nyegezi??
 
Kina mondi(na crew yake hio) wamebakiza tu kuiba uhuni ambao washahili tu ndo tunaueewa. Sasa inakua vgumu kupata audience nje ya nchi coz wanachoimba hakieleweki.
 
Wimbo kama fall ya davido au assuarance unaweza kuilinganisha na wimbo gani ya Diamond??..Nyegezi??
Exactly mkuu.
Mond ajipange sana, hizo viewers za kulazimisha za TETEMA zinawapa kichwa sana
 
Mkuu acha masikhara aisee, diamond ameshakuwa nominated kwenye tuzo za BET hivyo anafahamika vizuri mno, Rayvanny ameshakuwa hadi tuzo huko BET WTF useme hawajulikani?? Acha chuki

Tanzania kuna msanii anaitwa Kimbunga huyu unaweza kuwauliza watanzania million 20 na wakwambie hawamjui ila ukiwauliza watu waliyoko kwenye industry ya muziki wanamfahamu
 
Unapoeleza tukuamini usituambie in "mtazamo wako tu"! Umeeleza vizuri.Kiingereza ni kiswahili cha dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…