Cjui kama unajua population ya wanaooengea kispanish ni kubwa kiasi gani, karibia latin/south America yote inaongea kispanish.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cjui kama unajua population ya wanaooengea kispanish ni kubwa kiasi gani, karibia latin/south America yote inaongea kispanish.
M namshangaa anachokiandikaNafikiri wakongo walivyosumbua Afrika na Dunia ulikuwa hujazaliwa
Hakuna wanamzki anaejulukana wa tanzania hapa marekani,wanaomfahamu damu hapa marekani ni kama mimi nmetoka congo,na wengn kutoka kenya ,burundi,rwanda ,uganda,tanzania,lakini,unaweza hata kutembea mtaan ukamuhulza wenyj wa hapa unamjua diamond hatakuambia hapana,na sijaw kukutana na mtu anaijua nchi ya tanzania lbda anaetoka africa,wasanii wanaojulka hapa marekani,sema akon,davido na hata ukimwambia mtu akutajie nchi za africa lazma aanze na nigeria au south africa.Waliimba kwa kifaransa mataifa kibao africa yana zungumza kifaransa, Diamond mjanja sana aisee ana ngoma yake inaitwa wakawaka imekuwa banned hapa bongo ila inachezwa U.S jamaa kajitahidi kulenga japo kiswahili kinatuangusha sana.
Dash hizo Ngoma ni hatari hasa hiyo ya Luis fonzi na daddy Yankees ( despacito)
Hiyo lugha ni kihispanola ambayo inazungumzwa na watu wengi kuliko kiingereza , hata US kihispanola inazungumzwa Sana , Texas, California ( kumbuka California sehemu kubwa yake ilikuwa ni sehemu ya Mexico kabla ya kuporwa na marekani) , Puerto Rico etc , mtoa mada kiasi Fulani Yuko sahihi , kwenye active market ya muziki dunia kiingereza kinachukua nafasi , ndio maana Julio igleas sio maarufu Sana kuliko mwanae Enrique igleas , waimbaji wengi wa kihispanola na french utoa nyimbo hiyo hiyo kwa English version , kwanini unafikiri Celine Dion haimbi nyimbo kwa lugha ya kwao ( french ( Quebec) kwa sababu alishaimba kwa kifaransa lakini hakufanikiwa Sana , ndio maana the Scorpion wale jamaa wanaopiga rock wa Germany wanaimba kiingereza, music active market yake ipo Sana US na ulaya, ingawa kuna few exceptions
Muziki ni zaidi ya lugha, kuna nyimbo kibao za Kiswahili zilizo maarufu mpaka Latino Amerika. Mwanamuziki Saida Karoli nyimbo zapigwa sana huko Latin Amerika ktk club na vilabu. Mfano huu hapa :
Como Bailan Saida Karoli Tanzania
Umemsikia K'naan ?Hakuna wanamzki anaejulukana wa tanzania hapa marekani,wanaomfahamu damu hapa marekani ni kama mimi nmetoka congo,na wengn kutoka kenya ,burundi,rwanda ,uganda,tanzania,lakini,unaweza hata kutembea mtaan ukamuhulza wenyj wa hapa unamjua diamond hatakuambia hapana,na sijaw kukutana na mtu anaijua nchi ya tanzania lbda anaetoka africa,wasanii wanaojulka hapa marekani,sema akon,davido na hata ukimwambia mtu akutajie nchi za africa lazma aanze na nigeria au south africa.
Mm nashangaa sana eti diamind marekani anajulika hamna ktu kama hchi na show zake viaz tu,,....
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahuu ndio ukweliDah ingekuwa hivyo akina Franco Luambo Makiadi, Bongo man, Koffi Olomide n.k tusingewaju maana hata sielewi wanaimba nini ila miziki yao naipenda balaa...
Hahaha!!
Kina mondi(na crew yake hio) wamebakiza tu kuiba uhuni ambao washahili tu ndo tunaueewa. Sasa inakua vgumu kupata audience nje ya nchi coz wanachoimba hakieleweki.Kumekuwa ana Mjadara Mkubwa Tanzania,Katika Maendeleo Ya kimziki Kwa Diamond Platnumz Na Wasanii wengine! Watu wanajaribu kufananisha maendeleo ya kimziki ya Diamond Platnumz na Davido,Wizkid na wengine kwa Miaka 5 nyuma Kuwa Walikuwa wanafukuzana! Ni kweli kabisaa Walikuwa Sawa lakini nini kimetokea?
Binafsi Naamini Kaabisa Kuwa LUGHA YETU YA KISWAHILI imechangia kwa Asilimia 99% kutengeneza Gap kati ya Diamond Na Wasanii Wa njee Kama Davido Na Wizkid! Nipinge uwezavyo lakini kwangu Mimi Kama Danya Naamini Kiswahilii ndio sababu kubwa
Kwasababu naamini ili mziki wako Upendwe ni lazima kile unacho imba kieleweke katika Jamii na Dunia Kwa ujumla ya wale Unao waambia! Wimbo Wako unaweza Kuwa na Maana Nzuri kabisa lakini Kama Haueleweki kwa watu kupendwa Itakuwa ngumu! Lugh ni kitu cha Msingi sana! Watanzania Tunapenda Nyimbo za Nje kwasababu Baadhi yetu Tunaelewa Kingereza Tunaelewa Lugh inayo imbwa Kwasababu Ni lugha Ya Kufundisha Katika Vyuo vyetu na Shule zetu! Lakini Kiswahili Je? Huwezi kuona Nigeria,Marekani na Mataifa Mengine wanajifunza Kiswahili! Na wasanii wakubwa Wote Duniani Wanataka Kujua Kile kinachoimbwa Kina maana Gani? Nyimbo zetu Nyingi Zimetapakaa AFRIKA MASHARIKI kwasababu Ya Kiswahili lakini huwezi Kusikia Nyimbo zetu zikipigwa Kwa wingi South Afrika, Na mataifa Ya Ulaya Kwasabau ya Lugha
Sio Kwamba Diamond hana Kipaji hapana au uwezo wake ni mdogo hapana Lakini Lugha ndio sababu kubwa inayo mtesa! Ndio maana Huwezi Kumuona Davido Au Wizkid nyimbo zao Zote wanaimba kwa lugha hao hapana Wanaimba Kwa Kingereza na Ndio sababu kubwa zinasambaa na kupendwa Duniani kwasababu zinaeleweka! Hata kwenye Show Ni rahisi Msanii Kuimba na Mashabiki zake kwasababu wanaelewa kile kinacho imbwa lakini Sio Diamond Show Za nje kuimba Na Mashabiki zake kwasababu wengi hawaelewi lugha
Naamini Kabisa Mziki wa Tanzania Na Afrika Mashariki Kwa ujumla Bado Una safari ndefu sana Kwasababu Ya lugha Ya Kiswahili! Ni either Waache Kabisa Kuimba Kiswahili waimbe Kwa kingereza Au wasubiri kiswahili kienee Duniani Kote ndio mziki wetu Utafika Mbali! Hata Ikitokea Diamond Akaimba kwa kingereza basi Matamshi yake Hatakiwa vizuri kwasbabu sio Lugha anayo ituma mara kwa mara! Ndio maana Diamond anatumia Gharama Kubwa sana Kufanya Collabo na wasanii wa nje ya Tanzania Ili kufikisha Mziki wetu mbali kwasababu ya Lugha ya kiswahilii! Ukweli ni kwamba Kwa msanii Yeyote yule wa Tanzania ili mziki wako Ufike nje Ya afrika Mashariki Unahitaji Kufanya Collabo za Kimataifa nyingi kadri uwezavyo..... Kinacho mfanya Alikiba Asiwe Wa kimatafita ni kwasababu Ya ufinyu wa Kolabo za Kimataifa hivyo watu inakuwa ngumu Kuelewa Kishwahili/Lugha Inayo Imbwa
LUGHA YA KISWAHILI NI JANGA KWA MUZIKI WETU
Ni mtazamo Tuu
Exactly mkuu.Wimbo kama fall ya davido au assuarance unaweza kuilinganisha na wimbo gani ya Diamond??..Nyegezi??
Mkuu acha masikhara aisee, diamond ameshakuwa nominated kwenye tuzo za BET hivyo anafahamika vizuri mno, Rayvanny ameshakuwa hadi tuzo huko BET WTF useme hawajulikani?? Acha chukiHakuna wanamzki anaejulukana wa tanzania hapa marekani,wanaomfahamu damu hapa marekani ni kama mimi nmetoka congo,na wengn kutoka kenya ,burundi,rwanda ,uganda,tanzania,lakini,unaweza hata kutembea mtaan ukamuhulza wenyj wa hapa unamjua diamond hatakuambia hapana,na sijaw kukutana na mtu anaijua nchi ya tanzania lbda anaetoka africa,wasanii wanaojulka hapa marekani,sema akon,davido na hata ukimwambia mtu akutajie nchi za africa lazma aanze na nigeria au south africa.
Mm nashangaa sana eti diamind marekani anajulika hamna ktu kama hchi na show zake viaz tu,,....
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaongea kiGalatiaVipi Bongo tunaongea Kifaransa?!
Unapoeleza tukuamini usituambie in "mtazamo wako tu"! Umeeleza vizuri.Kiingereza ni kiswahili cha dunia.Kumekuwa ana Mjadara Mkubwa Tanzania,Katika Maendeleo Ya kimziki Kwa Diamond Platnumz Na Wasanii wengine! Watu wanajaribu kufananisha maendeleo ya kimziki ya Diamond Platnumz na Davido,Wizkid na wengine kwa Miaka 5 nyuma Kuwa Walikuwa wanafukuzana! Ni kweli kabisaa Walikuwa Sawa lakini nini kimetokea?