Jinsi Lissu alivyoushtukia mtego uliopangwa na mamlaka wakishirikiana na Dkt. Slaa

Kiwango cha fikra za kitoto
 
lakini nikimwangalia Slaa kwa namna nyingine naona ni mzee flani asiyeaminika. sio?
Licha ya Slaa kutoaminika, lkn pia kitendo cha Lisu kumpotezea mpiga debe huyu kinaonesha ni jinsi gani alivyofanikiwa kuuelewa mtego huu mapema uliokuwa umetegwa kwa ajili yake.
 
Basi watu wa mfumo watakuwa wa hovyo sana. Chama kinaweza kuendeleaje na uchaguzi wakati makamu mwenyekiti wao na ambaye ni mgombea yuko ndani? Kama waliweza kumchagua kuwa makamu mwenyekiti akiwa ubeligiji anajiuguza huoni kama kumfunga Lisu ndio kutachochea ushindi wake hata akiwa hukohuko gerezani? Huoni kama kutachochea vurugu za kiuchaguzi ndani ya CDM kama uchaguzi utaendelea Lisu akiwa mahabusu?

Silaa amekamatwa kutokana na maneno yake jambo ambalo si vibaya kumshikilia atoe ushahidi kwa tuhuma nzito alizozitoa. Sidhani kama Mbowe ni mjinga kiasi hicho au watu wa kitengo kwamba wamekosa akili kwa kiasi hicho.
 
Mungu wa kweli na mwema, tunaweka uchaguzi huu mikononi mwako. Tunaamini kuwa kwa uongozi wako, matokeo yatakuwa ya kutangaza utukufu wako na kuimarisha mshikamano wetu.

Katika jina la Yesu Kristo tunaomba na kushukuru. Amina.
 
Story za vijiweni hizi
 
Lisu kashtukia mchezo. Utaona jinsi kesi ya Dr Slaa itavyoyeyuka baada ya uchaguzi mkuu Chadema kuisha.

Maana lengo kuu lilikuwa ni kumkamata Lisu ili asishiriki uchaguzi mkuu wa chama ili mwamba ashinde kiulaini bila upinzani wa maana.
Kwa hiyo kwa mantiki yako Mwenyekiti anahusika na mpango? Aisee
 
Watu wakubwa ktk nchi hawawekwi lupango kam watu wa kawaida ktk jamii bali sehemu maalumu ya kupata huduma zote ambazo unaweza ukazipata ukiwa nyumbani kwako
Kama kupiga simu, unakunywa supu, unaoga vizuri. Na Net ya kulalia inapewa.

Saluni tu ndio huendi ili uote midevu kama wafungwa
 
Mleta mada alivyo mpumbavu unaweza kukuta ameacha kupyambya kabisa eti kwa ajili ya kutunga huu ujinga. Kuna wakati mwingine unapitia nyuzi humu halafu unatafakari kuhusu familia ya mleta mada, hususani mkewe na watoto, kisha unasikitika sana.
 
Reactions: Tui
Lissu hakuweza kuingia barabarani kutetea katiba mpya na tume huru ya uchaguzi unafikiri angeweza kuingia barabarani kumtetea Slaa?
 
Kuna siku atapatikana tuu ,wapo watu wake wengi wa maana kuliko huyo unaemsakizia.

By the way anaempigania Slaa ni Lema na pengine wanadhani jambo Yao ikishinda wao watamsimamisha kama mgombea Urais.
 
Huenda Lissu ana watu wake katika system wanaompa habari ya kila kinachopangwa juu yake.
 
Huu uzi umejikita kwenye umbea na tetesi kuliko facts. Lowasa kuhamia CHADEMA haikuwa ishu za usalama wa taifa, tena hiki ndio kipindi CHADEMA ilipata wabunge wengi kuliko wakati wowote. Hata uchaguzi mkuu, hakuna uhakika kama JPM alishinda ule uchguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…