Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Mkiambiwa CCM ni janga hivyo fanyeni kila namna ili tupate katiba mpya na nchi iwe na mabadiliko mnasema haiwahusu. Ukweli ni kwamba uongozi mbovu wa CCM unalingamiza taifa letu na kila mmoja atakuwa affected kwa njia moja au nyingine.
 
Kweli, Mimi naona kungekuwa na utaratibu wafanyakazi wa serikali wote wawe wanakopa hazina
Wenyewe vigogo wanahisi watumishi wakimiliki kila kitu watashindwa kufanya kazi(kubweteka).

Hawawezi kutoa mikopo ya namna hiyo mkuu.

Benki zetu hizi ni wezi sana . Mfano hayo mambo ya processing fees , sijui Bima ya mkopo n.k , vyote hivyo ni wizi tu.

Mteje akifanya up-dating halipwi fedha alizokatwa kama Bima ya mkopo uliopita, yaani bora hata NBC wanatoa chochote baada ya ku-update
 
Wanatuibia sana
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Hatulazimishwai ni shida zetu zinatupeleka,ukiona sio ni kuachana na mikopo tu
 
Mkuu yaani acha tuu.
Wanachokifanya kwenye ule mkataba just wanakuambia just usaini sehemu yako na shahidi wako tu. Ile sehemu utalipa kiasi gani wanajaza wao wakati haupo, apo utakachoambiwa ni makato ya mwezi ni kiasi gani.

Ni mtumishi mwenyewe azidishe makato ya mwezi na idadi ya miezi ya mkataba, hapo ndipo anaweza kugungua huu wizi.
Basi ni wahuni!
 
Miezi 96 ni miaka 8.ni mjinga pekee anayeweza kopa mdogo hivyo kwa kipindi cha zaidi ya miezi 48.

Mikopo ya muda mrefu mi ghali sana.

Yaani unakopa kabla ya mtoto kuzliwa unaendelea kulipa mpaka mtoto anafanya national ya std 4.
You are right mkopo sahihi na usio umiza ni wa miaka miwili yaani 24 months,mkopo mrefu ni hasara kwa bank na pia kwa mteja you have to know this
 
Ukiwa na shida hata huo mkataba kuusoma ni kazi nyingine. Wazo linakuwa kwenye uhitaji wa fedha!

Ila wanatuibia sana hawa watu! Mara bima ya mkopo, riba nayo kubwa! Nchi ngumu sana hii!
Shida gn ikufanye hata mkataba usisome unless mama yupo ICU lakini kama kununua kiwanja una haraka gn? Waambie wakupe mkataba maana mikataba Yao ni standard contract unakuta ishatengenezwa wewe ni kusaini tuu au kukataa. Ukiona hakufai unaleave ukiona uko poa unachukua mkopo.
 
Bank za biashara (commercial bank) ni wafanyabishara sawa na wafanyabiashara wengine wanaonunua(kutoka kwa wholesaler) na kuuza bidhaa. Pesa ndo bidhaa(goods) ambayo bank huifanyia biashara so ni lazima bidhaa hiyo itengeneze faida kumbuka wao wanakopa central bank(BOT) ambako na wao wanalipa riba ili hizi bank zipunguze riba ni lazima anayewauzia hiyo bidhaa yaani BOT ipunguze riba. So msiwalaumu nmb and others na msije mkadanganywa kuwa eti kuna bank hazitozi riba hiyo bank haipo!!!
 
Back
Top Bottom