Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Aisee kama mikopo ya wafanyakazi ni pasua kichwa hasa ukivhukua mkopo wa muda mrefu then mabank hayanaga urafiki na wateja no free lunch

Mim nilikopa 7.8m Kwa miaka 5 sabab salary yangu ilikuwa ndogo Sana(usinilaumu)
Makato Sasa
Processing fee 5%
Insurance 1%
Deductions 222000
Aisee
Nikuja kulipa almost 14m yaan pas pasu

Then nka plan
Nkjiunga na succos
Ndio huko nakopa nlichukua 4m makato ya194000 Kwa 24months
Then
Nkajuinga na vikoba
Kwa ajili ya kulipa viela vidogo vidogo vya kula bia na kuhonga vitoto siku Moja Moja niwe nakula K ..mpya
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Serikali ina mambo mengi sana ya kufanya na hili walishawaachia hao watumishi wa umma wapambane nalo kwa utashi wao. Yaani serikali iache kulipa vizuri wabunge na mawaziri ambao kimsingi ndio wenye nchi ije ihangaike na watumishi wa umma ambao wengi wao wana Elimu ya kutosha kupambanua mambo? Hizo riba zipo kisheria na mikataba wanayopewa hao wakopaji ipo wazi Sasa sijui kama huwa wanasoma kabla au shida ya pesa ndio inafanya wasielewe kama wanaibiwa?
 
Kwa calculations zangu,

Usichukue mkopo wa zaidi ya 2.5yrs. Ukifanya hivi bank watakuchukia saana,

Wale wenye mishahara mikubwa ndo wanaweza kuwa na luxury hii, otherwise hamna jinsi pambana tu na masharti ya mikopo
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Je ww unaweza mkopesha mtu pesa yko M6 akae nayo miaka 8 arudishe bila ongezeko?
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Sorry nani kakwambia hawatozwi riba
 
Yaani mkopo wa milioni 6 kwa miaka 8 huyo jamaa ni mpuuzi [emoji2][emoji2957] si achukue miaka miwili atakatwa kila mwezi 285,251 kwa miaka miwili na riba itakuwa 846,024 sawa na 6,846,024 kwa riba ya 13% huyo itakuwa mwalimu ndo wanapenda shida[emoji23][emoji23]
Hii elimu wengi hawana. Kadri muda unavyopungua wa mkopo, ndo riba nayo inapungua.

Mtu ukiweza kujipanga, ni mwendo wa kukopa isizidi Miaka miwili.

Sent from my SM-J200F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom