Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kw
 
pigeni kelele,lalamikeni muwezavyo!!!
Sisi tupo paleee tunawasubiria mnavyokuja mikono nyuma mmejaaa shida..Kila mkataba mnasaini tuuu...

WW kama hutaki mikopo bana matumizi Yako,acha tamaaa ya vilivyo nje ya kipato chako,acha uzinzi maana wengi wenu ngono NDio zimewatia umaskini,, ..

Mnapiga kelele humu wakati mnapambana Kila Kona mpewe mikopo Kwa tamaaa zenu au ujinga wenu...
 
Attachments

  • IMG_1508.jpg
    IMG_1508.jpg
    78.2 KB · Views: 42
  • IMG_1507.jpg
    IMG_1507.jpg
    81.2 KB · Views: 44
View attachment 2676736
View attachment 2676737
Kibaya unapewa sound kua unakatwa kwa reducing balance af brother Mpwayungu Village sisi tuna lalamikia utaratibu mzee sio inshu ya utak Acha mbona kama mwalimu uliechangamka we jamaaa [emoji28]
Haya mambo ya mamikopo bhana wanaweza wafanyabiashara tu tena zaidi wawekezaji ila nyie hamjui ndio maana mnajipeleka na shida zenu ambazo hata ukisave mshahara wako unaweza ukaanza kabiashara kako ambako katatatua shida ndogo ndogo. Mikopo Kwa raia masikini haina Tija kwahiyo sio lazima sana

Masikini pambana upate nyumba na biashara ndogo ndogo tu basi
 
**Usiwastu
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Usiwastue tuzidi kujineemesha kupitia Walimu wa huko Halmashauri
 
Back
Top Bottom