Pantomath
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 842
- 3,449
Boss naomba unieleweshee..Mnataka mkopo rahisi kaombeni hela kwa wazazi wenu. Mnadanganyana usikope je unabima ya kazi yako, au ndio ukifa asubuhi taarifa zishatumwa hazina unatolewa kwenye payroll. Kopa fanya maendeleo hio ndio nguzo kwa familia yako.
Hivi kimfamo mtu ukakopa lets say 70M(mdhamini ni mwajiri kupitia mshahara wako, specifically serikalini) ukarejesha kiasi halafu baada ya mda ukaafukuzwa kazi au ukaacha nini kitatokeaa...?