Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

Captain mopao

Senior Member
Joined
Feb 25, 2021
Posts
133
Reaction score
384
Habar zenu wadau,

Nimetafakari sana leo juu ya vifo vya viongozi wetu vilivyotokea tangu mwaka jana. Asilimia kubwa ya viongozi wamekufa vifo vya ghafla.
Wachache sana ambao waliugua muda mrefu lakini akili imenifanya nitafakuri juu ya huyu ndugu anaitwa Lowassa; aliyeonekana ni mdhaifu kuanzia mwaka wa uchaguzi lakini mpaka leo yupo hai na wale tuliokua tunawaona ni wazima na afya ndio walioondoka.

Nakumbuka marehem mheshimiwa Samweli Sitta aliwahi kumzungumzia Lowassa vibaya kipindi cha kampeni kama sikosei, alisema hatuwezi kumpa ikulu mgonjwa lakini yeye alitangulia.

Dah, RIP Mh Rais
 
Karma is bitch! La kujifunza ni kwamba upumbavu unaua. Huwezi kudai kuwa hakuna Corona, ukaidharau halafu ukaishi. Kamwe!
His life well lived,legacy yake itabaki milele japo mlipiga mawe ila Africa ilihitaji viongoz wa kaliba yake ,Leo kachomeni nyama na kufurahi mlimchukia sana....nenda zako Mzee wangu nenda Simba.
 
His life well lived,legacy yake itabaki milele japo mlipiga mawe ila Africa ilihitaji viongoz wa kaliba yake ,Leo kachomeni nyama na kufurahi mlimchukia sana....nenda zako Mzee wangu nenda Simba.
Legacy ipi hiyo?Legacy ya kuiba kura?Legacy ya kugandamiza democrasia?Lagacy ya kuua akina Ben Saanane?Legacy ya kumpiga Tindu Lisu risasi?Legacy ya kuua watu na kuwaweka kwenye viroba kisha kuwatupa ufukweni?

Legacy ya kutunga sheria za kuua uchumi? Legacy ya kupambana na Corona kupitia nyungu?Legacy ya kubambikizia wapinzani kesi za uhujumu uchumi? Legacy za ukabila kwenye karne ya 21 hadi ubaguzi wa rangi? Unafikiri yote haya tumeyasahau?Mungu ni linene sana halafu lina Maguvu sana, acha Mungu aitwe Mungu!
 
Legacy ipi hiyo?Legacy ya kuiba kura?Legacy ya kugandamiza democrasia?Lagacy ya kuua akina Ben Saanane?Legacy ya kumpiga Tindu Lisu risasi?Legacy ya kuua watu na kuwaweka kwenye viroba kisha kuwatupa ufukweni?Legacy ya kutunga sheria za kuua uchumi?Legacy ya kupambana na Corona kupitia nyungu?Legacy ya kubambikizia wapinzani kesi za uhujumu uchumi?Legacy za ukabila kwenye karne ya 21 hadi ubaguzi wa rangi?!Unafikiri yote haya tumeyasahau?Mungu ni linene sana halafu lina Maguvu sana,acha Mungu aitwe Mungu!
Simulia sana, cheka sana ila omba yasikukute, matundu ya pua ya binadamu yote yanatazama chini.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
kifo bana,,,,,...piga kelele wee...ila Mungu Hadihakiwi....."rafiki yako wa karibu ndio adui yako mkuu" nukuu ya Bob Mlay......flight zote za DDM ziko full...duh
 
Back
Top Bottom