MFUMO, nakubali. Kwamba Magu alikosea, Ankara. Tunahitaji utumikaji wa nguvu na mabavu kwa sasa ili tusogee angalau kwenye level ya kina India. Kama uko karibu na mabeberu, jaribu kufuatilia kisha ujiulize kwanini wamefurahia sana madiba huu, lakini zaidi nimeona maoni yao wakisema Samia ni msomi na ataivusha nchi, swali ni KWELI wanamaanisha?
Naomba unielimishe kuhusu taifa mojawapo lililofikia maendeleo makubwa kwa kutumia DEMEKRASIA ya kweli ili nine umuhimu wake kwetu kwa sasa.
Na kama Luna raisi yeyote alitumia demokrasia kuleta maendeleo hapa nchini, ni maendeleo papi hayo?
Miaka 5 ya marehemu madarakani, inaweza kubeba miaka 15 ya waliomtangulia knowing kwamba hakuwa na mentor kama wengine