Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

Huna akili!Unaelewa kuwa uzalendo ni kuipenda nchi yako na wala siyo kumpenda mtu au chama?Wapi nimeichukia nchi yangu ya Tanzania?Mimi namchukia Kayafa pamoja na genge lake la kihalifu la chama cha mapinduzi na wala siyo nchi ya Tanzania!
Bado una akili zaki toto.
 
His life well lived,legacy yake itabaki milele japo mlipiga mawe ila Africa ilihitaji viongoz wa kaliba yake ,Leo kachomeni nyama na kufurahi mlimchukia sana....nenda zako Mzee wangu nenda Simba.
Well said
 
Zamani babu zetu walipelekwa utumwani na kwa kufungwa minyororo, leo hii bado tupo kwenye utumwa wa kifikra, mpaka West waongee ndo kitu kipo sahihi. We Africans we have a long way to go, let's wake up Africans... Rest in peace Mh Rais John Pombe Magufuli, tutakuenzi daima.
 
Mambo ya Mtanzania yanahusikaje hapa?🤔🤔🤔
Wewe huenda ni mzungu ila unajua kiswahili

Wewe ni bepari

Hujuwi magonjwa yanabuniwa vipi

Magufuli kafa kifo kama cha Gaddafi

Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona na kila mtu mwenye akili anajuwa ameuliwa kwa maksudi ili mchanjwe vizuri hizo chanjo

Mwisho wa yote Mungu mwenyewe atajitokeza na huo ubeberu wa wazungu utatupwa huko baharini

Narudia tena wewe Hujuwi chochote
 
Mji
Kwani ukiwa Mtanzania Lazima uwe mjinga?
Mjinga ni wewe unayeamini kuna ugonjwa unaitwa Corona au Kuna ukimwi

Mnaamini vipimo vya wazungu wakati wanapovitengeneza mnakuwa hampo
 
His life well lived,legacy yake itabaki milele japo mlipiga mawe ila Africa ilihitaji viongoz wa kaliba yake ,Leo kachomeni nyama na kufurahi mlimchukia sana....nenda zako Mzee wangu nenda Simba.
Sisi watumishi wa sirikali tulianza kushona viraka na kuvaa viatu vilivyoisha solo🤣🤣🤣
 
Wewe huenda ni mzungu ila unajua kiswahili

Wewe ni bepari

Hujuwi magonjwa yanabuniwa vipi

Magufuli kafa kifo kama cha Gaddafi

Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona na kila mtu mwenye akili anajuwa ameuliwa kwa maksudi ili mchanjwe vizuri hizo chanjo

Mwisho wa yote Mungu mwenyewe atajitokeza na huo ubeberu wa wazungu utatupwa huko baharini

Narudia tena wewe Hujuwi chochote
Wewe ni 🐒🐒🐒
 
Karma is bitch! La kujifunza ni kwamba upumbavu unaua. Huwezi kudai kuwa hakuna Corona, ukaidharau halafu ukaishi. Kamwe!
Watanzania bhana!!!,Sasa maneno yote haya ya nini??.Mzee amepumzika Basi.Maneno mengi hayatatusaidia sasa hivi.
 
Legacy ipi hiyo?Legacy ya kuiba kura?Legacy ya kugandamiza democrasia?Lagacy ya kuua akina Ben Saanane?Legacy ya kumpiga Tindu Lisu risasi?Legacy ya kuua watu na kuwaweka kwenye viroba kisha kuwatupa ufukweni?

Legacy ya kutunga sheria za kuua uchumi? Legacy ya kupambana na Corona kupitia nyungu?Legacy ya kubambikizia wapinzani kesi za uhujumu uchumi? Legacy za ukabila kwenye karne ya 21 hadi ubaguzi wa rangi? Unafikiri yote haya tumeyasahau?Mungu ni linene sana halafu lina Maguvu sana, acha Mungu aitwe Mungu!
legacy ya kukamata sawa sawa makalio ya wahuni kama wewe.

yaani mpaka amefariki lakini bado unataabika.
 
Back
Top Bottom