Captain mopao
Senior Member
- Feb 25, 2021
- 133
- 384
Nimeamini kesho si ya kwetu.Laiti tungekuwa tunaijua kesho
Mkuu leo unatema nyaraka tu nimependa hii "upumbavu unaua" tumalize msiba nikutafutie mdada mwenye Li churaaKarma is bitch! La kujifunza ni kwamba upumbavu unaua. Huwezi kudai kuwa hakuna Corona, ukaidharau halafu ukaishi. Kamwe!
🤣🤣🤣Mkuu leo unatema nyaraka tu nimependa hii "upumbavu unaua" tumalize msiba nikutafutie mdada mwenye Li churaa
Kuna mtu alisema tukatafute viwanja huko nikamwambia navyoijua chato hakuna kuendelea akimaliza muda haya yametimia.Naiyona Chato ikipotea kwenye Ramani.
His life well lived,legacy yake itabaki milele japo mlipiga mawe ila Africa ilihitaji viongoz wa kaliba yake ,Leo kachomeni nyama na kufurahi mlimchukia sana....nenda zako Mzee wangu nenda Simba.Karma is bitch! La kujifunza ni kwamba upumbavu unaua. Huwezi kudai kuwa hakuna Corona, ukaidharau halafu ukaishi. Kamwe!
Legacy ipi hiyo?Legacy ya kuiba kura?Legacy ya kugandamiza democrasia?Lagacy ya kuua akina Ben Saanane?Legacy ya kumpiga Tindu Lisu risasi?Legacy ya kuua watu na kuwaweka kwenye viroba kisha kuwatupa ufukweni?His life well lived,legacy yake itabaki milele japo mlipiga mawe ila Africa ilihitaji viongoz wa kaliba yake ,Leo kachomeni nyama na kufurahi mlimchukia sana....nenda zako Mzee wangu nenda Simba.
Unaamin ukikubali coronavirus ipo na ukachukua tahadhari zote hutokufa?Karma is bitch! La kujifunza ni kwamba upumbavu unaua. Huwezi kudai kuwa hakuna Corona, ukaidharau halafu ukaishi. Kamwe!
Itapunguza rate,idadi pamoja na speed ya watu kufa kitu ambacho ni jambo jema sana na ndicho tunachohitaji kama Taifa!Unaamin ukikubali coronavirus ipo na ukachukua tahadhari zote hutokufa?
Simulia sana, cheka sana ila omba yasikukute, matundu ya pua ya binadamu yote yanatazama chini.Legacy ipi hiyo?Legacy ya kuiba kura?Legacy ya kugandamiza democrasia?Lagacy ya kuua akina Ben Saanane?Legacy ya kumpiga Tindu Lisu risasi?Legacy ya kuua watu na kuwaweka kwenye viroba kisha kuwatupa ufukweni?Legacy ya kutunga sheria za kuua uchumi?Legacy ya kupambana na Corona kupitia nyungu?Legacy ya kubambikizia wapinzani kesi za uhujumu uchumi?Legacy za ukabila kwenye karne ya 21 hadi ubaguzi wa rangi?!Unafikiri yote haya tumeyasahau?Mungu ni linene sana halafu lina Maguvu sana,acha Mungu aitwe Mungu!
Tuungane tu kwenye hili mzee, ujue kifo hakina mjuziItapunguza rate,idadi pamoja na speed ya watu kufa kitu ambacho ni jambo jema sana na ndicho tunachohitaji kama Taifa!