Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

Dunia ni Sayari hadaaa kuliko Sayari Mamilioni tusiyo zijua .

Hii ni Sayari isiyo salama na Rafiki kwa Mwanaadamu kuliko na zaidi tuionavyo.

DUNIA ni MAPITO. Tumuombe MUNGU atuvushe Salama.....
 
Itapunguza rate,idadi pamoja na speed ya watu kufa kitu ambacho ni jambo jema sana na ndicho tunachohitaji kama Taifa!
Hujuwi unachoongea

Na Kuna uwezekano mkubwa wewe siyo mtanzania
 
Ni kwelii huna uzalendo wowote, unadhani kuwa maraisi wa nchi.. nyingine mnazo zishobokea kwamba zina diplomasia nzurii wapo perfect. Baba ni baba hta akikuchapa still be your father
Huna akili!Unaelewa kuwa uzalendo ni kuipenda nchi yako na wala siyo kumpenda mtu au chama?Wapi nimeichukia nchi yangu ya Tanzania?Mimi namchukia Kayafa pamoja na genge lake la kihalifu la chama cha mapinduzi na wala siyo nchi ya Tanzania!
 
Kunyamaza kimya nayo ni hekima.
 
Ukisoma michango ya wadau utagundua kabisa kama taifa tulikuwa tumefika sehemu mbaya kabisa katika baadhi ya vitu hasa utu.
 

Mungu ni mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…