Vyovyote vile watu wanavyoamini kuhusu yaliyofanywa na JPM, yatabaki kuwa historia na pengine mlijenga hoja kupitia hayo, sasa hayupo, jengeni hoja za kutukwamua kiuchumi tuone. Mlitaka atoke madarakani, ameondoka kabisa, fanyeni yale mazuri ambayo mlishindwa kufanya kwasababu ya uwepo wake tuyaone. Unaposema kama taifa, unamaanisha unalisemea taifa la Tanzania?Itapunguza rate,idadi pamoja na speed ya watu kufa kitu ambacho ni jambo jema sana na ndicho tunachohitaji kama Taifa!
Kuondoka kwa Kayafa peke yake haitoshi na wala haitasaidia kitu,mfumo mzima wa CCM unapaswa kuondoka ili tuanze na mifumo mipya ya kiutawala.CCM kama CCM ni hatari kuliko Kayafa mwenyewe.Vyovyote vile watu wanavyoamini kuhusu yaliyofanywa na JPM, yatabaki kuwa historia na pengine mlijenga hoja kupitia hayo, sasa hayupo, jengeni hoja za kutukwamua kiuchumi tuone. Mlitaka atoke madarakani, ameondoka kabisa, fanyeni yale mazuri ambayo mlishindwa kufanya kwasababu ya uwepo wake tuyaone. Unaposema kama taifa, unamaanisha unalisemea taifa la Tanzania?
Ndio maana nimemuambia aendelee kucheka na kusimulia..Hata matundu yangeangalia juu kifo hakiepkiki ndg yangu
Mi hapa natetemekaa balaa[emoji848][emoji848][emoji22]Nimeamini kesho si ya kwetu.
Pole jitahidi kuikubali hali nilikuwa hivyo asubuhi ila naanza kuzoea sasaMi hapa natetemekaa balaa[emoji848][emoji848][emoji22]
nyani wako ufipa hapo,hata ujenzi wa ofisi wameshindwa kujenga.Wewe ni [emoji205][emoji205][emoji205]
ndio mnaondoa ccm kwa kuhamia nchi za mabasha wenu??Kuondoka kwa Kayafa peke yake haitoshi na wala haitasaidia kitu,mfumo mzima wa CCM unapaswa kuondoka ili tuanze na mifumo mipya ya kiutawala.CCM kama CCM ni hatari kuliko Kayafa mwenyewe.
Unatiwa!ndio mnaondoa ccm kwa kuhamia nchi za mabasha wenu??
sio kwa hiyari kama wewe.Unatiwa!
KABISA UMENENA VEMA. JPM AMETUANDAA VEMA. WATENGENEZA KORONA, WATENGENEZA CHANJO TUMEWAJUA NA HAKIKA TAIFA LITASIMAMA DHIDI YA WATESI HAO.Wewe huenda ni mzungu ila unajua kiswahili
Wewe ni bepari
Hujuwi magonjwa yanabuniwa vipi
Magufuli kafa kifo kama cha Gaddafi
Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona na kila mtu mwenye akili anajuwa ameuliwa kwa maksudi ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
Mwisho wa yote Mungu mwenyewe atajitokeza na huo ubeberu wa wazungu utatupwa huko baharini
Narudia tena wewe Hujuwi chochote
KABISA UMENENA VEMA. JPM AMETUANDAA VEMA. WATENGENEZA KORONA, WATENGENEZA CHANJO TUMEWAJUA NA HAKIKA TAIFA LITASIMAMA DHIDI YA WATESI HAO.
ajabu walioikubali chanjo bado hawana tumaini.Aliekataa Alaf imamfanyaje [emoji23][emoji23]
Hizi ni speculation tu ambazo nina uhakika huwezi kuleta Ushahidi; Kwa mtu mzalendo tunafuata taarifa kutoka kwa Subordinate wake kama ambavyo ametangaza kwamba ni Heart Desease;Kilichomuua ni kukataa uwepo wa Corona na kila mtu mwenye akili anajuwa ameuliwa kwa maksudi ili mchanjwe vizuri hizo chanjo
Una uhakika upi kama imemfanya nini?Aliekataa Alaf imamfanyaje [emoji23][emoji23]
MFUMO, nakubali. Kwamba Magu alikosea, Ankara. Tunahitaji utumikaji wa nguvu na mabavu kwa sasa ili tusogee angalau kwenye level ya kina India. Kama uko karibu na mabeberu, jaribu kufuatilia kisha ujiulize kwanini wamefurahia sana madiba huu, lakini zaidi nimeona maoni yao wakisema Samia ni msomi na ataivusha nchi, swali ni KWELI wanamaanisha?Kuondoka kwa Kayafa peke yake haitoshi na wala haitasaidia kitu,mfumo mzima wa CCM unapaswa kuondoka ili tuanze na mifumo mipya ya kiutawala.CCM kama CCM ni hatari kuliko Kayafa mwenyewe.
Ni noma madamPole jitahidi kuikubali hali nilikuwa hivyo asubuhi ila naanza kuzoea sasa
Kwanza ni vyema ukadefine unaposema "maendeleo" unamaanisha nini.Kwangu mimi maendeleo ni ule uhuru wa watu kuchagua watu wanaowapenda,uhuru na nguvu ya watu katika kuiwajibisha serekali iliyopo madarakani pale inapozembea,uhuru wa watu katika kujieleza,uhuru wa watu katika kukosoa watu waliopo madarakani,uhuru wa watu katika kupaza sauti zao,uhuru wa watu katika kuipinga serekali inayovunja haki za binadamu,uhuru wa mihimili ya serekali katika kufanya kazi zake na uhuru wa watu katika kujiamulia mambo yao.MFUMO, nakubali. Kwamba Magu alikosea, Ankara. Tunahitaji utumikaji wa nguvu na mabavu kwa sasa ili tusogee angalau kwenye level ya kina India. Kama uko karibu na mabeberu, jaribu kufuatilia kisha ujiulize kwanini wamefurahia sana madiba huu, lakini zaidi nimeona maoni yao wakisema Samia ni msomi na ataivusha nchi, swali ni KWELI wanamaanisha?
Naomba unielimishe kuhusu taifa mojawapo lililofikia maendeleo makubwa kwa kutumia DEMEKRASIA ya kweli ili nine umuhimu wake kwetu kwa sasa.
Na kama Luna raisi yeyote alitumia demokrasia kuleta maendeleo hapa nchini, ni maendeleo papi hayo?
Miaka 5 ya marehemu madarakani, inaweza kubeba miaka 15 ya waliomtangulia knowing kwamba hakuwa na mentor kama wengine
Umesema Maendeleo ni Uhuru? Uhuru ni nini? Demokrasia ni nini?Kwanza ni vyema ukadefine unaposema "maendeleo" unamaanisha nini.Kwangu mimi maendeleo ni ule uhuru wa watu kuchagua watu wanaowapenda,uhuru na nguvu ya watu katika kuiwajibisha serekali iliyopo madarakani pale inapozembea,uhuru wa watu katika kujieleza,uhuru wa watu katika kukosoa watu waliopo madarakani,uhuru wa watu katika kupaza sauti zao,uhuru wa watu katika kuipinga serekali inayovunja haki za binadamu,uhuru wa mihimili ya serekali katika kufanya kazi zake na uhuru wa watu katika kujiamulia mambo yao.